Ishmael
JF-Expert Member
- Oct 18, 2011
- 15,039
- 6,017
Kuitumia kwako ni kukiri kuwa unakubali kuwa IN GOD WE TRUST na hauna jinsia bali kuendelea kukubali kufuata MFUMO KRISTO. Kwa taarifa yako vilevile UKRISTO SIO DINI. Sasa niulize Ukristo ni nini? Maaa wewe umejaa assumptions na huwezi kuzisaida kwa verifiables facts.Hakuna kipya hapa!,Nitaujibu huu uzi kwa kifupi ka ifuatavyo.
1.Kwanza kuwepo kwa neno"IN GOD WE TRUST",katika noti ya marekani halisababishi mimi(Atheist )nisiitumie.Kwanza lazima ujue Atheism sio DINI,ukishajua hivyo hutauliz aswali kama hilo.
Pole sana kwa kuendelea kujidanganya. Nyie mnaenda kanisani kama sie, labda wewe ni mpagani wa ki non theist. Hili hapa ni kanisa lenu. Sina haja ya kuandikaia mate wakati wino upo.Hapa namaanisha kwamba mfano,mwislam niarufuku kwenda kanisani na kusali ama mkrito kwenda mskitin kusali.Sisi hatuko hivyo .Atheism IS THE COMMON SENSE.
You are not the best thinkers but sinkers. A thinker is a person who can support her/his belief. You can not support either the negative god or the fallacy that God does not exist. You are a BLIND FOLLOWER of a CULT that can not support her belief.2.Kutumika kwa bandiko lile halituondolei chohote maana sisi sio dini na hatuko kurumbana ama kugombea kitu(afuasi wala maslahi,We are the best thinkers).Na ndio maana 96% ya kila kitu duniani tunaendesha sisi(scientists ).
Sio, usitake kutumia USD, nyie hamna chenu hapa duniani. Nyie mnatendelea kuwa TEGEMEZI katika kila jambo. Hata jina lenu ni TEGEMEZI kutoka kwetu, ZAIDI YA HAPO, Hamna ubavu wa kuanzisha fedha zenu.3.Ukitaka tusitumie dola ya marekani eti kwa sababj ina neno,"IN GOD WE TRUST",Basi mwambie Papa(baba yenu mtakatifu) atoe zile mike zote pale Vatican,na pia atumie majani ya migomba kuhifadhi Documents zake badala ya Laptops ambayo ni kazi ya scientists mnaowapinga.Kisha mwambie akitaka kwenda kwao Argentina ama popote katika safari ya kikazi asitumie ndege bali aende kwa miguu ama ngamia au mwanapunda.
Kwa taarifa yako, sio scientists wote ni WAPINGA MUNGU na GOD HATERS kama wewe. Ndio maana bado hujajibu swali. KWANINI MNATUMIA HELA ZETU ZILIZO ANDIKWA "IN GOD WE TRUST"? Why are you using our monies?Pia mwambie shekhe mkuu wa pale mecca ama medina,awe anatumia ngamia kwenda misri sio ndege!.
Mbona mnataka kukata tawi mlilokalia? Nyie wazima kweli?
PATA List fupi kwa msaada: Famous Scientists Who Believed in God
Tatizo la kwanza ni MONEY. The money you are chasing everyday is from us. NDIO MAANA HAKUNA ATHEIST TAJIRI HAPA DUNIANI. Jiulize, kwanini nyie ni MASKINI TU?Kuna siku niliwauliza swali kwba mnbie matatizoatatu ambayo dini imeyatatua mapaka sasa hakuna aliyenijibu zaidi ya blah blah!!,
Pole sana kwa kuwa BLIND FOLLOWER of a diabolical cult that can not support her BELIEF. Do you believe that God does not exist and you can support your BELIEF or you are SURE THERE IS NO GOD and you can give us impeccable evidence of your fiendish belief?
KWA TAARIFA YAKO:
Albert Einstein BELIEVED IN GOD
Last edited by a moderator: