If God knows the future (omniscient), can you change your destiny?

Hakuna kipya hapa!,Nitaujibu huu uzi kwa kifupi ka ifuatavyo.
1.Kwanza kuwepo kwa neno"IN GOD WE TRUST",katika noti ya marekani halisababishi mimi(Atheist )nisiitumie.Kwanza lazima ujue Atheism sio DINI,ukishajua hivyo hutauliz aswali kama hilo.
Kuitumia kwako ni kukiri kuwa unakubali kuwa IN GOD WE TRUST na hauna jinsia bali kuendelea kukubali kufuata MFUMO KRISTO. Kwa taarifa yako vilevile UKRISTO SIO DINI. Sasa niulize Ukristo ni nini? Maaa wewe umejaa assumptions na huwezi kuzisaida kwa verifiables facts.

Hapa namaanisha kwamba mfano,mwislam niarufuku kwenda kanisani na kusali ama mkrito kwenda mskitin kusali.Sisi hatuko hivyo .Atheism IS THE COMMON SENSE.
Pole sana kwa kuendelea kujidanganya. Nyie mnaenda kanisani kama sie, labda wewe ni mpagani wa ki non theist. Hili hapa ni kanisa lenu. Sina haja ya kuandikaia mate wakati wino upo.

2.Kutumika kwa bandiko lile halituondolei chohote maana sisi sio dini na hatuko kurumbana ama kugombea kitu(afuasi wala maslahi,We are the best thinkers).Na ndio maana 96% ya kila kitu duniani tunaendesha sisi(scientists ).
You are not the best thinkers but sinkers. A thinker is a person who can support her/his belief. You can not support either the negative god or the fallacy that God does not exist. You are a BLIND FOLLOWER of a CULT that can not support her belief.

3.Ukitaka tusitumie dola ya marekani eti kwa sababj ina neno,"IN GOD WE TRUST",Basi mwambie Papa(baba yenu mtakatifu) atoe zile mike zote pale Vatican,na pia atumie majani ya migomba kuhifadhi Documents zake badala ya Laptops ambayo ni kazi ya scientists mnaowapinga.Kisha mwambie akitaka kwenda kwao Argentina ama popote katika safari ya kikazi asitumie ndege bali aende kwa miguu ama ngamia au mwanapunda.
Sio, usitake kutumia USD, nyie hamna chenu hapa duniani. Nyie mnatendelea kuwa TEGEMEZI katika kila jambo. Hata jina lenu ni TEGEMEZI kutoka kwetu, ZAIDI YA HAPO, Hamna ubavu wa kuanzisha fedha zenu.

Pia mwambie shekhe mkuu wa pale mecca ama medina,awe anatumia ngamia kwenda misri sio ndege!.
Mbona mnataka kukata tawi mlilokalia? Nyie wazima kweli?
Kwa taarifa yako, sio scientists wote ni WAPINGA MUNGU na GOD HATERS kama wewe. Ndio maana bado hujajibu swali. KWANINI MNATUMIA HELA ZETU ZILIZO ANDIKWA "IN GOD WE TRUST"? Why are you using our monies?

PATA List fupi kwa msaada: Famous Scientists Who Believed in God

Kuna siku niliwauliza swali kwba mnbie matatizoatatu ambayo dini imeyatatua mapaka sasa hakuna aliyenijibu zaidi ya blah blah!!,
Tatizo la kwanza ni MONEY. The money you are chasing everyday is from us. NDIO MAANA HAKUNA ATHEIST TAJIRI HAPA DUNIANI. Jiulize, kwanini nyie ni MASKINI TU?

Pole sana kwa kuwa BLIND FOLLOWER of a diabolical cult that can not support her BELIEF. Do you believe that God does not exist and you can support your BELIEF or you are SURE THERE IS NO GOD and you can give us impeccable evidence of your fiendish belief?

KWA TAARIFA YAKO:
Albert Einstein BELIEVED IN GOD
 
Last edited by a moderator:
Hakuna kipya hapa!,.Kwanza lazima ujue Atheism sio DINI,ukishajua hivyo hutauliz aswali kama hilo.

,
Let me teach and give you some food for thought.

1. Religion and or cult is a philosophy of life. So is non theism.

2. Religion and or cult is a means of understanding our existence. Non theism fits that bill.

3. Religions and or cults has its leaders, the preachers of its tenets. So does non theist (Nietzsche, Feuerbach, Lenin, Marx).

4. Religion and or cult has its faithful believers, who guard the orthodoxy of the faith. So does non theism.

You are a believer and part of a cult that can not support her notions of negative god, to wit.

NON THEISM is a DIABOLICAL RELIGION.
 
Umeelewa nini niliposema Atheism sio dini?.Sisi hatuna haja ya kurumbana kwa vitu visivyo na maana.Je wakristu wote hawatumii bidhaa za Saudia ama dubai kwa sabau hawamtambui mtume Mohammad ?.Mbona palestina ni wateja wakubwa wa bidhaa toka Israel japo haziivi?.We use the common sense and struggling to make the earth a better placce to live!,You with your god have nothing to do with this Universal !okay!?

Watakupiga mawe shaur yako!,Mpaka uulizwe?Hujiongezi hilo ndo tatizo lenu.

Unajua maana ya dini?,Unajua maana ya kanisa ?

We are the best thinker !.Did the Mike used in Vatican come from Heaven?,Y do Pop's documents stored in Laptops instead of leaves and flat stones ?.Did Jesus say so?.Or did Laptops come from Heaven?

Did you ever supported your Arguments that God exists with even one evidence for his existence ?

Are you sure?Prove!

Atheism na Theism nani tegemezi.Dini imewahi kugundua nini cha maana?.Okay basi hata kisicho cha maana?

Hata tukianzisha fedha haitasaidia kama watu kama nyie (wenye uoga wa kuhoji na wasio jitambua)mtaendelea kuwepo!.

Mi sijasema scientists wote ni Atheist!,Na sio lazima wote wawe Atheist.

Swali lako litakuwa na maana iwapo Papa atasafiri kwa mwanakondoo kwenda kwao Argentina!,ama aandike mahubil yake kwenye majani ya migomba.Na pale mecca watumie vijinga vya moto kumulikia wakati wa swala!,na shekhe apande ngamia kwenda jordani.

Ninayo tangu mwaka jana lakini asante.

Sio kwel,Unatakiwa ujue hakuna tajiri anayeamini katika Mungu na kufuata yale asemayo,kama yupo ni mnafiki.Na hakuna Atheist maskini ila kuna Believers mabilini ambao ni maskini.

Prove that god exists

Sio kosa aliplay part yake na sio lazima tumfuate.Kwani padri akibaka na wewe utabaka?.Si mnaambiwaga mfuate mafundisho yao sio matendo yao!?.
 
It seems you got it. Christianity is not a religion, in contrast, non theism is a religion.

Unajua maana ya dini?,Unajua maana ya kanisa ?
read my first reply. Nimekufundisha maana ya dini yenu. Church means congregation. Ndio maana nilisema nyie mnaenda KANISANI.
images

We are the best thinker !.Did the Mike used in Vatican come from Heaven?,Y do Pop's documents stored in Laptops instead of leaves and flat stones ?.Did Jesus say so?.Or did Laptops come from Heaven?
You are not. You FAILED o support your notions, ad infinitum. HUWA HAWAJISIFII.

Did you ever supported your Arguments that God exists with even one evidence for his existence ?
A MILLION TIMES

Are you sure?Prove!
You did already. Jikumbushe post zako, utao ulisha kiri wee na yule God Hater kuwa kuna Mungu na mnatumia IMANI. I don't have to remind you this.

Atheism na Theism nani tegemezi.Dini imewahi kugundua nini cha maana?.Okay basi hata kisicho cha maana?
NON THEISM NI TEGEMEZI. Bila ya SISI Nyie hampo. You know that. Sisi Mungu wetu Katengeneza Dunia na kila kitu, wewe umefanya kipi zaidi ya kutumia materials zetu na kugeuza creation. WE STARTED EVERYTHING, you are a follower.

Hata tukianzisha fedha haitasaidia kama watu kama nyie (wenye uoga wa kuhoji na wasio jitambua)mtaendelea kuwepo!.
SASA BILA YA Pesa unawez hata kuetengeneza Pombe ya Ulanzi mnayo ipenda nyie non theists?

Mi sijasema scientists wote ni Atheist!,Na sio lazima wote wawe Atheist.
KUMBO UNAANZA KUOGOPA NA KUKIRI. Naam we control the ball.

Swali lako litakuwa na maana iwapo Papa atasafiri kwa mwanakondoo kwenda kwao Argentina!,ama aandike mahubil yake kwenye majani ya migomba.Na pale mecca watumie vijinga vya moto kumulikia wakati wa swala!,na shekhe apande ngamia kwenda jordani.
NINA FAHAMU KUWA HUWEZI KUNIJIBU, WEWE SIO WA KWANZA KUKIMBIA MASWALI YANGU. Eti swali langu halina maana, unafahamu maana ya maana?

Ninayo tangu mwaka jana lakini asante.
You are most welcome

Sio kwel,Unatakiwa ujue hakuna tajiri anayeamini katika Mungu na kufuata yale asemayo,kama yupo ni mnafiki.Na hakuna Atheist maskini ila kuna Believers mabilini ambao ni maskini.
Acha uongo weye. Mtaje non theist ambaye ni tajiri.

Prove that god exists
JESUS IS GOD and does exist.

Sio kosa aliplay part yake na sio lazima tumfuate.Kwani padri akibaka na wewe utabaka?.Si mnaambiwaga mfuate mafundisho yao sio matendo yao!?.
Sasa wee unafuata mafundisho yenu kuwa wewe unandugu pale Mikumi "Monkeys"? Do you believe in that malarkey?

atheist-church1-e1380035534136-620x371.jpg
 
Hakuna kipya hapa!,Nitaujibu huu uzi kwa kifupi ka ifuatavyo.
1.Kwanza kuwepo kwa neno"IN GOD WE TRUST",katika noti ya marekani halisababishi mimi(Atheist )nisiitumie.Kwanza lazima ujue Atheism sio DINI,ukishajua hivyo hutauliz aswali kama hilo.

Hapa namaanisha kwamba mfano,mwislam niarufuku kwenda kanisani na kusali ama mkrito kwenda mskitin kusali.Sisi hatuko hivyo .Atheism IS THE COMMON SENSE.

2.Kutumika kwa bandiko lile halituondolei chohote maana sisi sio dini na hatuko kurumbana ama kugombea kitu(afuasi wala maslahi,We are the best thinkers).Na ndio maana 96% ya kila kitu duniani tunaendesha sisi(scientists ).

3.Ukitaka tusitumie dola ya marekani eti kwa sababj ina neno,"IN GOD WE TRUST",Basi mwambie Papa(baba yenu mtakatifu) atoe zile mike zote pale Vatican,na pia atumie majani ya migomba kuhifadhi Documents zake badala ya Laptops ambayo ni kazi ya scientists mnaowapinga.Kisha mwambie akitaka kwenda kwao Argentina ama popote katika safari ya kikazi asitumie ndege bali aende kwa miguu ama ngamia au mwanapunda.

Pia mwambie shekhe mkuu wa pale mecca ama medina,awe anatumia ngamia kwenda misri sio ndege!.
Mbona mnataka kukata tawi mlilokalia? Nyie wazima kweli?

Kuna siku niliwauliza swali kwba mnbie matatizoatatu ambayo dini imeyatatua mapaka sasa hakuna aliyenijibu zaidi ya blah blah!!,

Kabla sijajibu hoja zako zozote ningependa kujua wewe unaendesha kitu gani hasa maana naona unajiita na wewe ni mwanasayansi? Na kwa taarifa yako sayansi haiendeshi chochote. Soma tena historia uone ni nani ana-run things hapa duniani. Wanasayansi wanafanya kazi chini ya mamlaka za wanasiasa.
 
Nice to see you here once again.

Tatizo kubwa ni hili: God is not a "scientific" person with "biological" attributes that can be proven in the lab or using logical findings which are based on assumptions. God said in the Bible that "He is the Spirit".

Hivyobasi, ili kumwelewa Mungu inabidi utumie Vitabu vyake na sio otherwise, kama ilivyo, ili kuelewa Hisabati inabiti utumie vitabu vya Hisabati na sio otherwise. Lakini inashangaza kuwa wanaojiita kuwa na elimu wana kubali kuwa, huwezi soma Psychology kwa kutumia kitabu cha somo la kujifunza Kiswahili, lakini wanataka kusoma kuhusu Mungu kwakutumia kitabu kinacho husu Fizikia. Je, Kitabu cha Fizikia kinaweza kukufundisha lugha ya Kiswahili?

Hivyo basi:
1. Ujuzi hauwezi kumtambua Mungu wala kumpinga Mungu maana hauna uwezo wa kuelewa nini maana ya Roho.
2. Faith "Imani" ambayo ni evidence of things not seen ndio pekee ina hold watertight.
3. Yesu ni Mungu

Watakabahu

Good, good! I like how you put it here.
Nice comments on complex topic.
 
you can not change your destiny at all, but stop being heartless, challenge your limitation.

If you can not change your destiny then, what is the purpose of being here on earth?
If we don't have free will, then why are we here?
What is the point of life if we can not choose our own paths?
Are we automatons creatures without the ability to choose? Can we be held responsible for our own crimes without being given free will?
Look dude, If a criminal defendant has no free will, then he can not be held responsible for his crime, b'se he could not have chosen otherwise.
 
Kinachosumbua hapa ni kwanini anaacha mtu aende kuangamia ilhali anajua kuwa jaribu/mtihani huu utaushindwa?? kwanini asikinusuru kiumbe chake?? Hapo ndipo panahitaji elimu/maelezo sheikh

Unafikiri kwa jinsi ya kibinadamu; Mungu amekupa wewe option ya kumfuata au kinyume chake; the choice is yours. Kujua kwamba alijua mapema kuwa utakengeuka na alipashwa kunusuru kiumbe chake huo ni upuuzi maana ulipewa free will kuchagua njia sahihi wewe mwenyewe.
 
Kabla sijajibu hoja zako zozote ningependa kujua wewe unaendesha kitu gani hasa maana naona unajiita na wewe ni mwanasayansi? Na kwa taarifa yako sayansi haiendeshi chochote. Soma tena historia uone ni nani ana-run things hapa duniani. Wanasayansi wanafanya kazi chini ya mamlaka za wanasiasa.

Huo ni mfumo wa utawala na uongozi.Tofautisha nilichosema na ulichoandika.Lakini muhimu jibu hoja.
 
If you can not change your destiny then, what is the purpose of being here on earth?
If we don't have free will, then why are we here?What is the point of life if we can not choose our own paths?
Are we automatons creatures without the ability to choose? Can we be held responsible for our own crimes without being given free will?Look dude, If a criminal defendant has no free will, then he can not be held responsible for his crime, b'se he could not have chosen otherwise.
we can not without God help..
kumbuka hata mbakaji anabaka na anafungwa, japokuwa kilichomtokea wakati anabaka ni involuntary sexual drive...Na hii iko kwenye ubongo kama vile eye blink,heartbeat, digestion. Hivyo sio free will kwa maana ya voluntary decision.In the end he's is guilty of rape.
bahati mbaya huu uzi una-discuss about God lakini haujamweka shetani kwenye equation.thats how problem begin...
 
If you can not change your destiny then, what is the purpose of being here on earth?
If we don't have free will, then why are we here?
What is the point of life if we can not choose our own paths?
Are we automatons creatures without the ability to choose? Can we be held responsible for our own crimes without being given free will?
Look dude, If a criminal defendant has no free will, then he can not be held responsible for his crime, b'se he could not have chosen otherwise.

I Strongly Agree.
 
Alola
Kwanza naomba utambue kwamba kila jaribu limpatalo mwanadamu, ana uwezo wa kulishinda. shetani amepewa ruhusa ya kuijaribu imani yako lakini ana mipaka yake, maana Mungu hawezi kuruhusu ujaribiwe zaidi ya uwezo wako.
Kimichezo tutasema ni kama sio "fair play".

"Jaribu halikuwapata ninyi, isipokuwa lililo kawaida ya wanadamu; ila Mungu ni mwaminifu; ambaye hatawaacha mjaribiwe kupita mwezavyo; lakini pamoja na lile jaribu atafanya mlango wa kutokea ili mweze kustahimili." 1 Wakorintho 10:13

Mstari huo unatosha kukupa nguvu ya kustahimili kila jaribu, ukiamini liko ndani ya uwezo wako utalishinda, ukiamini vinginevyo, utashindwa na utaishia kumlaumu Mwenyezi Mungu.
 
Word ........!!
 
we can not without God help..
kumbuka hata mbakaji anabaka na anafungwa, japokuwa kilichomtokea wakati anabaka ni involuntary sexual drive...Na hii iko kwenye ubongo kama vile eye blink,heartbeat, digestion. Hivyo sio free will kwa maana ya voluntary decision.In the end he's is guilty of rape.
bahati mbaya huu uzi una-discuss about God lakini haujamweka shetani kwenye equation.thats how problem begin...

Mkuu uoni kuwa huyu mbakaji atakuwa ameonewa tu ikiwa issue nzima ni involuntary action?
 
Alola
Kwanza naomba utambue kwamba kila jaribu limpatalo mwanadamu, ana uwezo wa kulishinda. shetani amepewa ruhusa ya kuijaribu imani yako lakini ana mipaka yake, maana Mungu hawezi kuruhusu ujaribiwe zaidi ya uwezo wako.
Kimichezo tutasema ni kama sio "fair play".

"Jaribu halikuwapata ninyi, isipokuwa lililo kawaida ya wanadamu; ila Mungu ni mwaminifu; ambaye hatawaacha mjaribiwe kupita mwezavyo; lakini pamoja na lile jaribu atafanya mlango wa kutokea ili mweze kustahimili." 1 Wakorintho 10:13

Mstari huo unatosha kukupa nguvu ya kustahimili kila jaribu, ukiamini liko ndani ya uwezo wako utalishinda, ukiamini vinginevyo, utashindwa na utaishia kumlaumu Mwenyezi Mungu.

Well well!
 
Last edited by a moderator:
Then why there is judgment day,according to your books? .Or why did he judged Adam and Eve if he knew everything before

Did they know they weren't supposed to eat of the tree of the knowledge of good & evil?

God's great wisdom is His capability to know from the beginning to the finale.
God's wisely uses His ability of foreknowledge SELECTIVELY. He uses it when it makes sense to do so & fits the circumtances.

God evidently chose not to SEE how things would turn out. Rather He chose to wait and see, as events unfolded, see how His earthly children (Adam & Hawa) would conduct themselves. Dude, do you understand?
 
Back
Top Bottom