If God knows the future (omniscient), can you change your destiny?

If God knows the future (omniscient), can you change your destiny?

Hao ndio watu wa mungu aliye hai!.Kumbe kuna mungu aliyekufa pia!.Ukitaka kujua mungu anaumbwa na wanadamu fuatilia maneno yao. 1.Mungu mmoja asiyeoneka-Kwa hiyo kuna miungu inayoonekana. 2.Mungu mwenye nguvu-kumbe kuna mungu lakini hana nguvu. 3.Alfa na omega-Kumbe kuna miungu mingine ni Alfa tu ama Omega tu. 4.Mungu muweza wa yote-Kumbe kuna mungu asiyeweza yote. 5.Mungu mmoja tu-Kumbe inawezekana wapo wengi. 5.Mungu wa amani.-kumbe kuna mungu wa vita. 6.Mungu asiyeshindwa kitu-kumbe kuna mungu anayeshindwa!. .Swali langu ni kwamba ikiwa mnajiamini mnamungu mwenye nguvu kwa nini mnatumia kauli ZA ULINGANIFU wakati mnamuelezea?
Mbona unajichoresha sana na sababu za wenzo ambazo ukiziweka hapa ni kituko?Mungu muda wote haonekani ila anaweza amua onekana kupitia attributes.Unadhani visibiliti ni strength?Ukishakuwa visibo ina maana unapimika.Thena utakuweje Mungu unayepimika na imagination za viumbe wako.Mungu mwenye Nguvu ni yule ambaye si wa kutengeneza kwa fikra za binadamu,asiye na nguvu ndio wale wa kufikirika au kuamua tengeneza.
 
EVOLUTION ni process..na concept ya process isiyo na processor(Chance) na kwa wengine ina processor ambayo ni "Nature though Selection",wengine "mutation ambayo nayo inahitaji cause ili kupata effects" kwa ujumla wake inapinga kitu inachokitetea.Process haiwezo jiendesha yenyewe....na wanaosema ina wa kuingoza basi wanaamua kumtoa Mungu na kuipa nature nafsi ya Mungu.
 
Evolution by natural selection

Evolution in the New Scientist.

The world is divided into things that look designed (like birds and airliners) and things that don't (rocks and mountains). Things that look designed are divided into those that really are designed (submarines and tin openers) and those that aren't (sharks and hedgehogs). The diagnostic of things that look (or are) designed is that their parts are assembled in ways that are statistically improbable in a functional direction. They do something well: for instance, fly.

Darwinian natural selection can produce an uncanny illusion of design. An engineer would be hard put to decide whether a bird or a plane was the more aerodynamically elegant.

So powerful is the illusion of design, it took humanity until the mid-19th century to realize that it is an illusion. In 1859, Charles Darwin announced one of the greatest ideas ever to occur to a human mind: cumulative evolution by natural selection. Living complexity is indeed orders of magnitude too improbable to have come about by chance. But only if we assume that all the luck has to come in one fell swoop. When cascades of small chance steps accumulate, you can reach prodigious heights of adaptive complexity. That cumulative build-up is evolution. Its guiding force is natural selection.

Every living creature has ancestors, but only a fraction have descendants. All inherit the genes of an unbroken sequence of successful ancestors, none of whom died young and none of whom failed to reproduce. Genes that program embryos to develop into adults who can successfully reproduce automatically survive in the gene pool, at the expense of genes that fail. This is natural selection at the gene level, and we notice its consequences at the organism level. There has to be an ultimate source of new genetic variation, and it is mutation. Copies of newly mutated genes are reshuffled through the gene pool by sexual reproduction, and selection removes them from the pool in a way that is non-random.

What makes for success in the business of life varies from species to species. Some swim, some walk, some fly, some climb, some root themselves into the soil and tilt green solar panels toward the sun. All this diversity stems from successive branchings, starting from a single bacterium-like ancestor, which lived between 3 and 4 billion years ago. Each branching event is called a speciation: a breeding population splits into two, and they go their separately evolving ways. Among sexually reproducing species, speciation is said to have occurred when the two gene pools have separated so far that they can no longer interbreed. Speciation begins by accident. When separation has reached the stage where there is no interbreeding even without a geographical barrier, we have the origin of a new species.

Natural selection is quintessentially non-random, yet it is lamentably often miscalled random. This one mistake underlies much of the skeptical backlash against evolution. Chance cannot explain life. Design is as bad an explanation as chance because it raises bigger questions than it answers. Evolution by natural selection is the only workable theory ever proposed that is capable of explaining life, and it does so brilliantly.

Even college students put blind trust in whatever Google throws up to them; trust me MR. Free ideas!
 
Last edited by a moderator:
I BELIEVE God exists. I have FAITH that He exists. Dude, can you prove FAITH? What do you think about proving FAITH scientifically?

There is no such a word Faith scientifically,and we don't use the word,""Believe"" in science.Coz when you say that,"I believe ",it means you have failed to prove.So tell me if you have failed to prove your God.
 
All i wanna know is GOD'S thoughts the rest are details

.made in mby city.
 
There is no such a word Faith scientifically,and we don't use the word,""Believe"" in science.Coz when you say that,"I believe ",it means you have failed to prove.So tell me if you have failed to prove your God.


kiranga akiwa rais basi ww utakuwa waziri mkuu mwenye mamlaka...

msinisahau hata ukatibu tarafa
 
Kusema kuwa hakuna intelligence ambayo iko in person na utashi wa kimaamuzi kufanya choices kama designing ya uumbaji,ni itikadi inayopingana kabisa na principles zinazogovern existence ya haya maumbile ambayo ni ushuhuda tosha kuwa yuko mwenye akili aliyefanya haya.Kuwa atheist ni kukubali automatically kwamba ulimwengu uliumbwa by chance and not by design,na ukishaweka habari ya chance hiyo ni imani sawa tu na wanaoamini kuwa Mungu yupo,na kwangu mie,kusema sayansi yote hii imejitokeza tu by chance and not design ni matusi makubwa kwa sayansi.Twende kwenye dunia yenyewe,mimea,miti,bahari,how they work so as to be in harmony with other creation,twende kwenye jua,anga,nyota,twende kwa binadamu na wanyama,moyo,figo,ini,kutoa jasho,immunity,eyes to see,ears to hear,nose,mouth etc,metabolism process etc,mfumo wa jinsi mvua inavyojitengeneza na kunyesha,seasons,weather etc,..all this science came just by chance and not design?wait a minute!
 
Siwezi kukubali matusi haya,kwamba nimetokea by chance,wewe kama unakubali haya.Design inaprove uwepo wa designer kwa sababu haitokei by chance.hebu tumia tu akili yako,jitazame mwili wako ulivyo,unavyofanya kazi,halafu niambie,ipi ni rational thought kwako kati ya uwepo au kutokuwepo designer wako?umetokea tuu au yuko aliyeamua utokee na uweje?kila mtu hapo alipo ajitazame,atafakari freely na kuchagua upande,maana kwa kuelimishana imeshindikana humu ndani,last thing ni kuamua kufuata lile unaloona ni meaningful kwako.
 
1.Why did god created the cultural isolation of the Hindu ?.

2.How did you know that your god need to be worshiped ?.

3.If god created us then who created him? or how do you know that god was not created ?

4.If god created us the same y should you teach me about him?y dont i know him automatically ?

5.Tell me how comes the nex generation after Adam &Eve forgot about god and started to worship the sun,the moon n stars ?.Where were god or why did the spirit of knowing god automatically (inborn ) from Adam &Eve disappeared ?.

6.If god loves us y did he gave us the book which supports slavery ?.And tell me if ""we,the people ""were wrong by abolishing slavery because it was wrong /inhuman ?.Doesn't this means that we are clever than your god?aren't we the best thinkers than your god?.I think we are!

7.Mention at least 2 problems which has been solved by religions?

8.Show me the vivid evidences that the Universal was designed ?

9.Are the Muslim/Christians praying to the wrong god?.How do you know that your god is the right god?.

10.Tell me why don't god stop the Satan from operating ?.
 
Mlaleo we ni muongo na unasoma bible nusunusu...hebu jitahidi basi usome hadi mstari wa kumi na saba kuanzia hapo ulipo cite hiyo hesabu huenda utaelewa zaidi nini bible inaongelea
 
[size=+2]Siwezi kukubali matusi haya,kwamba nimeumbwa by chance[/size],wewe kama unakubali haya.Design inaprove uwepo wa designer kwa sababu haitokei by chance.hebu tumia tu akili yako,jitazame mwili wako ulivyo,unavyofanya kazi,halafu niambie,ipi ni rational thought kwako kati ya uwepo au kutokuwepo designer wako?umetokea tuu au yuko aliyeamua utokee na uweje?kila mtu hapo alipo ajitazame,atafakari freely na kuchagua upande,maana kwa kuelimishana imeshindikana humu ndani,last thing ni kuamua kufuata lile unaloona ni meaningful kwako.

Kaaazi kweli kweli!
 
Taratiibu mchoma mkaa, lakini bado hujaelezea na au pinga kwanini most of non theists are gays. Zaidi ya hapo, kuwa gay sidhani kama ni matusi zaidi ya kuwa ni tabia ya mtu kama ile ya kupinga kuwa hakuna Mungu. Zote hizo ni tabia.

Umefanya utafiti yakinifu au ndio armchair thinking??? Hii thread haiongelei homos hivyo its wise tubaki kwenye mada husika.
 
Siwezi kukubali matusi haya,kwamba nimetokea by chance,wewe kama unakubali haya.Design inaprove uwepo wa designer kwa sababu haitokei by chance.hebu tumia tu akili yako,jitazame mwili wako ulivyo,unavyofanya kazi,halafu niambie,ipi ni rational thought kwako kati ya uwepo au kutokuwepo designer wako?umetokea tuu au yuko aliyeamua utokee na uweje?kila mtu hapo alipo ajitazame,atafakari freely na kuchagua upande,maana kwa kuelimishana imeshindikana humu ndani,last thing ni kuamua kufuata lile unaloona ni meaningful kwako.

unachofanya ni kuhamisha tatizo kwa designer wako, huyo designer nani alimdesign at first place? Au alitokea tu by chance?
 
Back
Top Bottom