Andrew Nyerere
JF-Expert Member
- Nov 10, 2008
- 3,007
- 2,451
Kwa sababu Raila anatakiwa kuonyesha tu kwamba point seven percent ni batili na uchaguzi utarudiwa kwa two horse race.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmh...kweli?mzee tumia "were" badala ya "was"....na pia two "horses" badala ya "horse"
mzee tumia "were" badala ya "was"....na pia two "horses" badala ya "horse"
so what's ur suggestion? a two horse race? to me a two horses race is most appropriate!two horses race? Lol
Kwa sababu Raila anatakiwa kuonyesha tu kwamba point seven percent ni batili na uchaguzi utarudiwa kwa two horse race.
so what's ur suggestion? a two horse race? to me a two horses race is most appropriate!
Why would he (Uhuru Kenyata) be worried? would you please clarify if you don't mind?Kwa sababu Raila anatakiwa kuonyesha tu kwamba point seven percent ni batili na uchaguzi utarudiwa kwa two horse race.
mzee tumia "were" badala ya "was"....na pia two "horses" badala ya "horse"
Kwa sababu Raila anatakiwa kuonyesha tu kwamba point seven percent ni batili na uchaguzi utarudiwa kwa two horse race.
Andrew Nyerere kuna jimbo moja waliandikishwa wapiga kura 29,000 Uhuru amepata kura 61,000 ina maana wakiweza kuthibitisha hilo jimbo moja matokeo yanatenguliwa? Jee kuna hakikisho uchaguzi ukirudia Uhuru si bado atambwaga kwa maana ya kura za Wakikuyu na Wakalenjii + Mudavadi + Peter Keneth?