WomanOfSubstance
JF-Expert Member
- May 30, 2008
- 5,457
- 963
Usjali kaka!WomenofS....sijafikiria kama lugha yangu hapo ingeleta mushkeli...am sorry bro/sist for that!!!!..Bro Chuma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usjali kaka!WomenofS....sijafikiria kama lugha yangu hapo ingeleta mushkeli...am sorry bro/sist for that!!!!..Bro Chuma
If this is true, I have a bigger problem with JK keeping it hush hush that actually marrying a second wife. Remember, JK is muslim and entitled to four wives according to his religion. Human rights include freedom of worship and if you impose Judeo-Christian values on him, he can simply say he is not part of the Judeo-Christian world.
As much as marrying more than one wife may sound as a human right violation, imposing one;s way of life on an established religion and cultural lifestyle is equally condescending.
My question is why is this woman denied her human right of being known as JKs second wife?
But then again Muslim wives are supposed to be under the veil!
Aren't you overlooking something here fella? Dini imempa uhuru; haimlazimishi. Tafuteni sababu nyingine ya kuihusisha dini kwenye huu mjadala.
Nawapongeza wanaojitahidi kuepusha wachangiaji wasitoke nje ya mada.
Mkuu, mi nimechoka kurudia: religion has nothing to do with this! Maana hata Nepal kuna polygamy lakini wanawake ndo wanaoa waume wengi. Sasa hiyo imekaaje? It is also abot human rights kwa sababu wanaume wanalazimishwa ku-share mke kwa sababu za kiuchumi!
Future-Tanzania...pls mie ni mtu Mme...(Mr)...kama umelowea tanzania..Jina la Chuma maarufu..hasa ni Jina la kiume...Kama utakuta mtu mke akaitwa Chuma bahati Mbaya...
Unavyoona kama nawaonea wazungu...Wewe hukuwa na hizi Hoja za polygamy..wewe umemezeshwa sumu....kuona ukewenza ni mbaya na Genge lenu la TGNP....unafikiri bila fedha za wazungu hizi Taasis uchwara zenu zinge-exist?...Mnakaa mkiandika proposal kuwashawishi hao jamaa wawapeni pesa ili sumu zenu zienee!!!bahati nzuri mie sio Mjinga...na nina elimu ya kutosha ktk viwango vyote uvijuavyo!!!..pls usiwatie watu Ujinga kwa Upinzani wenu wa ukewenza!!!
Wao wanawake wanaofanya "revolution"...acha wafanye...
Mpaka sasa nimeshindwa kuelewa hii mada inafanya nini kwenye eneo la siasa.....
Kwikwikwii! I was missing your presence, bro! Afadhali umeibuka tena! Hapa tunazungumzia mkuu wa nchi kuwa polygamist imekaaje?
Ukisema kama ni hiari basi polygamy is ok, lakini kumbuka kama sheria inasema msichana wa miaka 14 anaweza kuolewa na akiolewa "kwa hiari yake" utaamini kuwa ni hivyo? Sam applies to economically and financially weak women, do they really have a choice?
Ok Mr Chuma, at least i now know naongea na mwanaume and hence i understand u possibly try kujitetea maovu yako, au wewe unapiga mke wako and kumkiritimba? na hii topic pamoja na watu wanaotete haki za wanawake wanakuogopesha kwamba mkeo atajua what is the right thing?
Na kwataarifa yako kuna watu wanafanya yaha mambo ya kutetea haki za wanawake from their own life experience, they have realised how much they can change in the society, ni kama wewe and wengineo ambao tunakemea ufisadi, na sielewi kwanini kutetea wanawake iwe issue kwako? are you womanizer?
mmmhhh ! huyu alieanzisha mada ni kweli anajali haki za wanawake au ana lake rohoni tu?. najua atakuwa kaathirika na vile vijiutamaduni vya hawa wazungu wanaojifanya kama ni miungu watu , haki ya mwanamke utaijua wewe bwana? unamjuaje ndani ya mwili wake ana hisia gani au fikra zake zikoje?. aaakh tutapata wazimu kwa kuona kwamba kila analosema mzungu yupo sawa na tukafikia sehemu tukaona lile analofanya mzungu ndio la kuiga hata kama halina maslahi wala heshima. ndio maana leo wanawake wetu wanatembea uchi, wanafanya umalaya, wanatumiliwa kinyume na maumbile yao lakini just bcoz kwamba mzungu kafanya basi yote hayo tunayaona ni sawa. Ufukara unatufanya tuige kila kitu na naamini iko siku ndoa za mashoga hapa tanzania zitakuwa ni fashion kwa vile wazungu wanafanya. afanaalek!
Hata kama anataka kuoa wake wanne hilo binafsi halinipi shida midhari jamii yake ya kiimani inamruhusu hivyo ila serikali inao wajibu wa kumtunza first lady, hapo nadhani tumekosa hoja ya msingi dhidi ya tunayemzonga.
Niulize tu, lipi jema kuoa mke wa pili kama dini yake inavyomtaka au awe mr.hit and run kama masela wetu mtaani.
Tuyawache haya yenye majibu fasaha ya kiimani na kibinadamu tukomae na yale yenye ugumu na kubomoa jamii.
Ama kweli mjadala huu umenoiga na hizo haki za wanawake..
Sasa tunapozungumzia haki ya wanwake inaonyesha wazi tunazungumzia tu kundi la wale waliobahatika kupata mume... Je, sheria gani ewekwe kwa wale wanawake ambao hawakujaliwa kupata mme! maanake nao wanatakiwa kuwa na haki kama wanawake wengine au nakosea!.. Mnaonaje wanaume walazimishwe kuoa kukidhi haki ya mwanamke kuolewa na mwanamme mmoja au hii ni haki ya mwanamme kutokuoa kwa hiyo wasilazimishwe!...Hata sielewi hizi haki zwnu zinatokana na kitu gani haswa!
Vichekkesho kweli... Badala ya sisi wakuu zangu kuzungumzia maswala kama UTUMWA wa wanawake ktk ndoa na chembechembe zake ambazo hadi leo zinaendelea majumbani mwetu..mbali na wanawake kuna watumishi, viongozi wetu wana watumishi kibao ambao wanalipwa chini ya kiwango na wengine kuwa kutumiwa kama mistress, lakini tunavamia swala la ndoa na wake wengi wakati hii inampa rights mwanamke anayetumiwa na mwanamme iwe kwa ngono au mapenzi kweli..
Reality inaonyesha wazi kabisa kuwa wanaume wote wenye mke na wakatamani nje ya ndoa hakuna sheria ama kitu kinachoweza kumzuia.. tena basi wengi wetu huhamia huko.. wakatunza hao mistress vizuri zaidi ya wake na familia zao na mara nyingi mke hana uhuru hata wa kusema.. Lakini kama kuna mfumo ambao unaweza kuhalalisha tamaa hii ya wanaume ambayo mara nyingi imekuwa sababu ya kuharibu ama kuvunja ndoa za watu ni bora kuhalalisha huyoi mistress kwa ndoa..Pia inawapa sheria na uhalali watoto ktk familia hiyo!..
Mke wa kwanza atakuwa akijua linaloendelea, hata kama ni swala la maradhi mke wa kwanza ana nguvu ya kusema huyo mke anayekuja apimwe kwani hahitaji ushahidi kuonyesha kwamba kuna kitendo cha matusi hapa kitaingia..
Reality pia inaonyesha kwamba hapa swala kubwa ni ngono tu hakuna jipya!..na wanaume wataendelea kutembea nje ya ndoa hata kama kuna sheria ya namna isipokuwa tu kuetembea nje ni kitendo ambacho hata mwanamke anaweza kufanya.. Hivyo ndoa inakuwa kama vile ni mashindano kati ya mume na mke!...
Sasa tutazame watu wenye wake wanne, mimi nadhani mwanamme ndiye anayetumiwa hapa..kama gari kubeba mizigo mikubwa (majukumu) wakati hawa wanawake walioolewa wamekaa ndani wakisubiri kuletewa tu.. Ni maisha ambayo nimeyaona na yapo kwa familia zote zinazotukuza Polygamy.. wanawake wamekuwa kama malkia wanalindwa hata kwenda sokoni, wanaume wana wivu wa ajabu kutokana na nguvu na utajiri waliowekesha kwa wanawake hao. Hivyo kuna abuse fulani ktk ndoa hizi kiasi kwamba wanaume wengi huwa Possessive..
Katika ndoa za mke mmoja sii sana kwani ndoa imebadilishwa kuwa biashara ama njia ya nyumba moja kuwa sustainable economically..Mchango wa mwanamke ktk ndoa imekuwa ni kiasi gani cha fedha ataweza kuchangia na kadhalika..
Hivyo, sio tu mwanamke anabeba jukumu la malezi ya nyumba nzima anatakiwa pia kuwa na uwezo kifedha..I mean system nzima kuhusiana na ndoa ni ngumu sana kulaumu upande mmoja na nadhani sii swala la haki za wanawake ktk ndoa isipokuwa tumepoteza values zatu na tumebeba zile za wazungu. Tumebadilisha kabisa malengo na madhumuni ya ndoa acha nje swala la wake wangapi wanaohusika..ndoa kwetu imechukua tafsiri ya mzungu na ndicho nilichokuwa nikizingumzia muda wote!..
Kwa wale mnaokataa kuwa hii sio mila ya wazungu nawaomba wanipe somo moja hapa...
Hivi ni mwaka gani Polygamy ilipigwa marufuku nchi za Ulaya na sababu hasa ilitokana na kitu gani labda hapo naweza kuelewa hiyo haki mnayoizungumzia..
Mpaka sasa nimeshindwa kuelewa hii mada inafanya nini kwenye eneo la siasa.....
It is political, because the man at the highest position (whch is political) is practicing polygamy!
Jamani, hapa ndipo ugomvi wetu unakuja; hivi DINI kwa nini iwe ni kipimo chetu kwa mazingira yetu? DINI zote ni replacement and victimization of our culture; kwa nini nyie msiokuwa na hoja manaleta mambo ya dini? This GOD who is NOTHINGNESS, we never meet in our own lives, and whom is almost wa KUFIKIRIKA, kwa nini atusumbue huyu Mungu? Mie nafikiri UPENDO wangu kwa rafiki zangu na wote nilio karibu nao ni bora kuliko UISLAM na Unkristu. UISLam au Ukristo ni dhambi ambazo Mungu ametuletea tusiwe na AMANI!!!
Hata kama anataka kuoa wake wanne hilo binafsi halinipi shida midhari jamii yake ya kiimani inamruhusu hivyo ila serikali inao wajibu wa kumtunza first lady, hapo nadhani tumekosa hoja ya msingi dhidi ya tunayemzonga.
Niulize tu, lipi jema kuoa mke wa pili kama dini yake inavyomtaka au awe mr.hit and run kama masela wetu mtaani.
Tuyawache haya yenye majibu fasaha ya kiimani na kibinadamu tukomae na yale yenye ugumu na kubomoa jamii.
Well said mkuu. But you should remember that this thing is indirectly provided withing our constitution. Polygamy is inseparable part of islam and we all know that our constitution allows us to worship freely and practice what our religions want us to do. I do not know why you say this is a primitive act. It is a very social act and it strengthen sisterhood and family ties between man and a couple of families of married women. If you think this is primitive, we should first have a one wife, one husband law in our constitution and see whether that one contradicts with the clause on freedom of worship. Then we can tell what kind of act is it.