Katila Mkumbo: If a man wants to marry hundreds wives let him do so, so long as there are wives wanting to be treated as such.
Ukiukwaji wa haki za binadamu ni kosa hata kama wanaoonewa wanakubali. Kwa mfano, wako watoto wadogo wanaoajiriwa na kufanya kazi ngumu kwa hiari yao, lakini bado kuna ukiukwaji wa haki za binadamau.
Mzalendo Halisi: Kwa hiyo unashauri wenye wake zao wawili au watatu kwa sasa wawaache wake zao? Kwa nini? Watoto walelewe na nani? na hao wake wamekosa nini? Je lipi zuri? Homosexuality or polygamy?
Wenye wake zao wasiwaache. Kinachotakiwa ni sisi kupiga vita hiyo tabia ya kuoa wake zaidi ya mmoja. Kuna maji ambayo yameshamwagika. Sasa tuzuie kuendeleza hii kawada mbaya. As to whether homosexuality is better than polygamy, I would say we do not have to choose between two aberrations. It is possible to practice neither homosexuality nor polygamy.
Nyani Ngabu: Ingekuwa wanalazimishwa kuchangia mume mmoja hapo mimi na wewe tungekubaliana. Lakini kama wanachangia huyo mume kwa hiari yao basi sina tatizo.
Nilishajibu hii hoja. Angalia jibu nililompa Katila Mkumbo.
Sober: huku kudharau kila mila yako na kuabudu cha west, sijui tutafika wapi... Vipo vitu vya kuiga lakini sio kila kitu. Ni wapi pameonyeshwa hao wanawake wa west wako happier kwenye ndoa zao kuliko wanawake wa kiafrika waliokua kwenye ndoa za mitala?....... utumwa wa fikra ni hatari kuliko ufukara!
Zamani ilikuweko mila ya kuua mmoja kati ya mapacha. Tumeiacha kwani ilikuwa mbaya. Mila ya kuoa wake wengi ni mbaya vile vile, tuiache.
Huko nyuma, uonevu uliwafanya wanawake wa Kiafrika wakae kimya. Hiyo haikuwa furaha. Wale wa kisasa wanaonekana kuhoji mambo, na ukimdhalilisha mno anaondoka.
Kuna utumwa wa fikara kwamba kuoa wake wengi ni sawa. Si sawa.
SMU : Whether polygamy is bad or good, I think is a more of a personal opinion than of fact. I don't think there is any scientific reason of why polygamy is necessarily a bad thing.
It is a mater of human rights, and that is not personal. It is a societal issue.
Waberoya: Kitila uishofu, rais wetu anatuwakilisha wengi sana, wengi wana nyumba ndogo mkuu na wanaficha! yeye Kikwete naye yumo humohumo".
We do not like to be ruled by a promiscuous person. A President ought to be a man of character.
Bongolander:Polygamy is inseparable part of islam and we all know that our constitution allows us to worship freely and practice what our religions want us to do. I do not know why you say this is a primitive act.
It cannot be true that polygamy is an inseparable part of Islam. I know many Moslems who are married to one spouse. Polygamy is primitive because it is a bad import from the past. It no longer fits into the modern concept of equal dignity between men and women.
Augustine Moshi,
Unajua mkuu unajaribu sana kulerta hoja inayohusu serikali wakati maelezo yako yote yame base ktk dini.. Hakuna kifungu chochote cha sheria ambacho kinamlazim rais kuwa na Mke mmoja wala kutembea na mkewe.. Hii ndio hoja kamilifu na ndio maana Mkapa na Nyerere hawakulazimika kuwa na wake zao kila msafara..
Unajaribu sana kupotosha Umma kwa sababu ya imani yako ya dini na hakuna sheria yoyote ambayo imekataza Polygamy bila kutukuza Value za wahusika..Kwa maana hiyo Wazungu wametukuza Ukristu (value) ktk kupitisha ndoa ya mke mmoja...haina maana kuna ubaya uliopitishwa dhidi ya polygamy ambayo wewe na mimi tunaweza kuitumia nje ya vitabu vyao na wala haihusiani na haki ya mwanamke au watoto.. Nitakueleza baadaye..
Mkuu Interested Observer,
Nitarudi kwako baada ya muda kukuelezea kuhusu Civilisationa na mazuri/mavaya ilokuja nayo na vizuri zaidi kupima mafanikio ya mila ama desturi yeyote kwa matunda ya mila hiyo..Kwa hiyo huwezi kusema mila fulani imepitwa na wakati kwa sababu tu wewe unafikiria hivyo ama wazungu wameutukuza.. Ni hawa hawa wazungu wamekuja na Ushoga wa kike na kiume, sasa siel;ewi kaa ni civilisation na inatakiwa sisi sote tunaze kumenyana wenyewe..
Naposema hivi sipingi Usenge kwa Jumuiya zote kwa sababu tu imani ya dini na utu wangu unanambia ni VIBAYA...kwani hata hao mashoga wa kike na kiume husema hivi ikiwa usenge ni mbaya inakuwaje wenzetu bado mnabonyeza Kizenji wakati uharamu wa Usenge ni kitendo hicho hicho mnachokitukuza chini ya pazia la mke na mwanamme!...which is true to some extent..now is this civilisation!
Nitarudi kwako baadaye sina muda sasa hivi kuzungumzia mabaya ya mila hii ya kuiga!..pamoja na kwamba mimi nina mke mmoja na nategemea kubakia na mke mmoja lakini sioni sababu ya kuifanya sheria ktk swala ambalo ni choice ya wahusika...
Dah mzee sina muda wa kutosha.
but anyway.utafiti unaonyesha idadi ya wanawake imezidi sana idadi ya wanaume,hata tz ni hivyo.WANAWAKE AMBAO HAWATOLEWA WATATIMIZA VIPI MATAMANIO YAO YA KIMAUMBILE. NDIO MAANA HAWALAZIMISHWI ILA WENYEWE WANAONA KUNA HAJA YA HILO. what du u thınk.....
you answered all the questions; that is the best conclusion;excellent debate and i applaud augustine moshi for the challenge: Very interesting point, but i think that it is important to look at polygamy in our society from a historic point of view.
The multiple wives were a result of economic security, political manuevering and status, and had nothing to do with 'customs', 'love', 'high sexual activity' or even religion!!
Those who want to take insult do so because they do not want to discuss this issue openly, but moshi has some very valid arguments even if we may not agree with him.
Polygamy in tanzania is not 'african custom' but a solution to a given situation at a given time. Many women got married because it was a way to sustain them in a community, or they were rewarded to the victorious tribe leader, or as a result of competition between two chiefs.
But it did objectify women making them equal to other 'posessions' that men should have. Now if you agree to that it is your prerogative, but do not make excuses like indignation, religion, pan africanism and everything else for polygamy.
Interested Observer,
Mkuu sina mashaka kabisa kwamba unapopinga matumizi ya kitu chochote ni lazima liwe na sheria fulani unayoitumia, iwe sheria ya dini au iliyofuatana na mazingira fulani in the case of Polygamy nadhani ni haki kusema kwamba tafsiri yako imetokana na uzungu na ndio maana unatumia maneno kama Primitive na civilisation..Sasa nikifuta hivyo itakuwa vigumu kukuelewa kwani mifano yako mingi inatokana na mtazamo wa wazungu au Kikristu..Sina maana they are wrong isipokuwa ni ktk kujenga hoja lazima kuwepo na sheria inayotufunga sote kulingana na mitazamo yetu tofauti..
Mkuu, labda hatuelewani hapa..binafsi sitetei Polygamy kwa sababu nafikiria kuwa ni ni haki ya mwanamme au commandment fulani ktk maisha ya binadamu isipokuwa natetea kwa sababu ni swala la choice ambayo kila mmoja wetu anaweza kuwa na mtazamo tofauti...
Siwezi kuoa wake wawili kwa sababu nje kabisa ya ukweli unajaribu kusema hapa kwani wapo watu wengi hawafungi ndoa kabisa kwa sababu zao wenyewe nje ya kutazama ndoa ya mke mmoja kuwa ni Civilisation ama Primitive..Na utaratibu huu ulikuwepo toka Adam yaani watu walichagua kuoa mke mmoja, wawili au watatu maadam wake wenyewe wameridhia hivyo sio jambo jipya hata kidogo.
Mkuu swala la ndoa halihusiani kabisa na civilisation kwa sababu mara nyingi Civilisation hulenga maendeleo ya jamii ktk swala fulani na asilimia kubwa ya matukio ya civilisation yametokana na Sayansi na technologia na bado kuna mazingira ambayo bado hayawezi kubeba ustaarabu mpya... Naweza tu kukubali kama utasema Polygamy imepitwa na wakati kutokana na mazingira tunayoishi..yet bado huwezi kusema ni primitive... Kwa mfano tulitoka ktk utumiaji Ngamia kama chombo cha Usafiri, tukatumia magari, gari moshi ndege na kadhgalika haya ni mageuzi ambayo yanakubalika na sote lakini huwezi kumwambia kitu mwarabu ya jangwani Saudia na yemen kuwa utumiaji ngamia ni kuwa uncivilised, Huko jangwani hakuna gari linaloweza kusafiri hata kama limetengenezwa vipi..
Hata hivyo nadhani ni bora zaidi nikirudi ktk mada hii kuelezea yale niliyo promise pamoja nna kwamba naweza jaza kurasa mia kwa maelezo..
Mkuu saikologia ni kipaji ambacho namshukuru Mungu kanipa na nimeweza kuona mengi, kusoma na kusikia mengi..Ktk dunia hii tunayoishi hakuna kitu kisichokuwa na sura mbili na zote zinaweza beba mazuri na mabaya lakini mara nyingi tunapokea yale ambayo hujenga na kuimarisha jamii zetu..
Nikitazama swala la kuoa mke mmoja ambalo hata mimi nimo, siwezi kutoa sifa zaidi ya experience yangu mwenyewe, lakini napotazama mabaya yake naona kwamba leo hii kutokana na mfumo huu tumekuwa na broken families kuliko wakati wowote ule..
Ni kweli badala ya mwanaume kuwa na wake wengi kwa mara moja tunaona ziku hizi wanawake wakipitia ndoa zaidi ya moja wakizaa watoto kibao kila mmoja na baba yake..Kwa hiyo wale wanawake wanaodai kuwa wanataka nao uhuru wa kuwa na waume wengi (ngono) nadhani wanaupata sasa hivi lakini does it help them! au kujenga familia zao.. Ukweli ni kwamba hapana!.. wanawake kwa hesabu kubwa sana leo hii ni single mothers kuliko wakati wowote ule na bahati mbaya hawana uwezo wa kufanya mambo mawili kwa wakati mmoja yaani Ku provide na kulea watoto, hata kama wamepewa nafasi kubwa ktk kujiendeleza lakini bado nguvu ya mwanaume kuwa responsible to provide, protect and head of the family inahitajika ili kuwapa watoto malezi mazuri..
Sasa pamoja na yote haya tumeona kuwa leo hii nchi hizo unazofikiria kuwa wako civilised wanaongoza duniani kwa 1. Single mothers, 2. Wanawake wanaohitaji social assistance (childcare), 3. Watoto wengi wametupwa foster homes, 4.Adoption, 5. Kufunguliwa kwa NGOs nyingi kama World vision zinazolea watoto..na kadhalika..
Nyuma ya yote haya utakuta kwamba kukosekana kwa mwanaume yaani baba ndio chimbuko lake, tofauti na ukitazama nchi ambazo swala la ndoa limetazama zaidi nje ya ngono na badala yake kujenga familia, na asilimia 80 ya ndoa zinazovunjika nchi hizi zinatokana na ngono..na Ukweli utasimama kwamba wanaume wengi hawapendi kuoa mwanamke ambaye tayari kisha kuwa na watoto wanaona ni mzigo.. wanaepuka responsibility ambayo ndio malengo ya ndoa na sio sex!.. Sisi wote tumekuwa tukifanya matusi tulipokuwa vijana na single kuliko wakati wowote ule na kama kweli ndoa ingekuwa inahusiana na sex basi nadhani kila mmoja wetu angebakia single maanake huko hatufungiwi na sheria ya aina yoyote!..
Je, kuna abuse ktk ndoa za wake wengi?.. Yes zipo na zipo sio kwa sababu ya wake wawili au watatu isipokuwa inatokana na tabia ya mwanaume mwenyewe kwani abuse wanazopata wanawake zinatokana na akili mbovu ya wanaume iwe mke mmoja, wawili au watatu... Mwanamme mshenzi ni mshenzi tu..
Je, ukewenza ni adha kubwa kwa wanawake?.. Yes lakini kama hutaki hakuna mtu anayekulazimisha na ustaarabu wa mapenzi ni kwamba mwanaume huomba na mwanamke ndiye mwenye maamuzi ya mwisho!..It's her Choice!
Kwa wasomaji wengine,
Hakuna sehemu yoyote ktk Biblia ama Kuran au kitabu chochote kile kinachosema (as commandment) kuwa ndoa ni ya mke mmoja. Yesu na Muhammad wote walipendekeza (maoni) kuoa mke mmoja na kama ingekuwa ni Amri hata Yesu mwenyewe angetakiwa kutuonyesha mfano kama alivyofanya ktk maswla mengineyo..
Mwisho, kwa wale wanaofikira kuwa Uislaam unawanyima haki wanawake na kuwatumia wao kama tool..kusema kweli watu hawa wamekosa busara ya kutazama undani wa jambo hili kwani ktk swala la ndoa siku zote mwanaume ndiye TOOL, Kama vile gari limetengenezwa kubeba abiria, lakini haiwezekani abiria kubeba gari..(kwa wale mnaofikiria otherwise).. Hii ni logic tu kwani mwanaume ndiye kizazi cha falimia zote..Familia nyingi zenye baba tofauti huwa hazina mapenzi wala mshikamano kwa ndugu kuliko zile zinazobeba jina moja..Ukweli huu hauna cilivisation hata kama Wayahudi wamemtumia Mama ktk kuongeza hesabu yaTaifa (Wayahudi) zima badala ya familia...
Excellent debate and I applaud Augustine Moshi for the challenge: very interesting point, but I think that it is important to look at polygamy in our society from a historic point of view.
The multiple wives were a result of economic security, political manuevering and status, and had nothing to do with 'customs', 'love', 'high sexual activity' or even religion!!Those who want to take insult do so because they do not want to discuss this issue openly, but Moshi has some very valid arguments even if we may not agree with him.
Polygamy in Tanzania is not 'African custom' but a solution to a given situation at a given time. Many women got married because it was a way to sustain them in a community, or they were rewarded to the victorious tribe leader, or as a result of competition between two chiefs.
But it did objectify women making them equal to other 'posessions' that men should have. Now if you agree to that it is your prerogative, but do not make excuses like indignation, religion, pan Africanism and everything else for polygamy.
Kuna Murra!!! mmoja mkoa wa mara (kati ya Musoma na Tarime) ana kijiji cha wanawake!!!!! Huyo nae mnasemaje???
Wa(Mi)afrika ndivyo tulivyo-N. Ngabu
Ameeleza vizuri. Soma tena post yake na utapata jibu.