Future-Tanzania
JF-Expert Member
- Dec 14, 2008
- 334
- 7
Because religion is a personal matter, and because JK cannot separate JK the president and the person, and because JK the person is a Muslim entitled to 4 wives, don't you think to attack him on his personal choice is a bit superfluous?
And who is to say that JK is not setting a good example to good muslims? If affluent Muslims are urged to marry and not delve in zinaa, and the president is doing that, isn't that setting an example?
Unasema kama ingekuwa nchi ya kiislamu ingekuwa halali, kama sivyo si halali, unaifahamu sheria ya ndoa ya Tanzania na options zake? Umeshawahi kuona marriage certificate ya serikali ya Tanzania? Je inakataza kuoa mwanamke zaidi ya mmoja? Kama haikatazi huku kutokuwa halali kunatoka wapi?
Unajuaje kama mke mkubwa hajakubali? Na "equal treat" ni nini anyway?
Sijatetea wake kumi, nimesema JK yuko entitled kuwa na wake wanne kwa dini yake.Suala la vimada silijui, na hata kama ni la kweli, mi nitampongeza JK kwa kuoa kwani kuoa ni kuondoa relationship ya kimada na kuihalalisha.Vipi kama JK amejishtukia kwamba yeye ni moto chini? Na kwa sababu hiyo kaamua kuoa ili kuondoa zinaa? Hii ndiyo ilikuwa sababu rasmi ya kuwa na wake wengi. My only problem ni kwamba inafanywa kisiri.
Tatizo letu tunataka ku impose Judeo-Christian values katika systems ambazo hazitakiwi (kidini na kiserikali JK hafanyi kosa kuoa mke wa pili, uislamu na sheria ya ndoa ya serikali vyote vinamruhusu kuoa)
Hao watu wa magharibi wenyewe ni polygamist, the only difference ni kwamba wao ni serial polygamist, if you can use that term in that context (wanaoa na kuacha na kuoa tena, check the divorce rates at over 50%) while sis waafrika kama kina Kikwete tunataka kuoa mke zaidi ya mmoja kwa wakati mmoja.
Ni bora kuoa na kudivorse or kuoa na kumletea mtu magonjwa? what i have read here from other people comments, Tanzanian marriage certificate KUNA ONLY OPTIONS TO THE MAN TO HAVE MORE THAN ONE WIFE! now is this right kwa wanawake? kwanini wanawake wanakiritibwa kwenye maamuzi ya ndoa?
na kama ulivyosema serikali inaruhusu hayo yote, sawa iyo sheria ilitungwa mwaka gani? and isnt really applicable to todays society where sexual transmitted Diseases are every where? Is this forum not a place to put our ideas on what it should be amended in our book of laws? for the betterment of our country? this isnt about JK only its about Tanzanian movements to development, wee kuwa na watoto kumi and 4 wives can you provide love, education and future security to them? have you look at villages what this way of living bring to them?