If our President has more than one wife: The question of human rights

If our President has more than one wife: The question of human rights

Bado wengi wanaotetea ndoa za wake wengi wanatumia hoja isiyo sahihi. Wanasema:

“Uislamu unaruhusu ndoa za wake wengi, kwa hivyo hatuwezi kuzikataza”

Uislamu haulazimishi ndoa za wake wengi. Kuruhusu kitu hakukifanyi kiwe cha lazima. Kwa mfano, imani ya Kiislamu inaruhusu kukata mikono ya wezi. Sasa hilo linatosha kwa wenzetu kama Kinyambisi waseme hatuwezi kukataza kukata mikono ya wezi?

AbdulKensigton argues that polygamy should not be disallowed “because” there are more women than men in the world. Which world? In our world, Tanzania, there is gender balance. In some worlds, like in China, there are a lot more men than women. In Botswana, you do indeed have more women than men. All in all, there is pretty much gender balance in the world. The one who made us can’t have had polygamy in mind.

Allow me to conclude by revisiting the frequently repeated argument that JK is a Muslim and can therefore have many wives. He shouldn’t. He is President, and our Presidency is profaned by his having many wives. Hiding them just worsens the matter. It makes him a hypocrite.

The occupant of our Presidency ought to be guided not only by his beliefs, but also by nationally and internationally accepted norms of behavior. Promiscuity tarnishes our IKULU in an extraordinarily profound manner.
 
Augustine Moshi,
You still have not answered the question I posed to you a couple of days ago. I will ask again: Between polygamy and infidelity, which one is worse?
 
Nyani Ngabu,

Thanks for asking a question. We do not have to choose between two evils. In this case, both can be avoided. In any case, I take it that infidelity is built into polygamy. In what way can fidelity be shown to one woman while sleeping with another? Polygamy is, I submit, open and cruel infidelity
 
So correct me if I'm wrong here. What you are saying is polygamy and infidelity are one and the same, correct? If so, then why would you want to legislate one (polygamy) but not the other (infidelity)? Or you are in favor of legislating infidelity also?
 
They are not the same. I never said they were. It is possible to practice infidelity without being a polygamist. But polygamy necessarily involves infidelity.
 
Interested Observer,
To uproot such mentality we need people like you; education system that allows pepole to understand it is their country first. A country must have roots, and in Tanzania we have very strong laws, but the presidents are the law breakers. Reinforcement of ethics and rule of law will lead to that level. That is why we are asking about a president who hides himself from a real picture who he is!
Mkuu,
Up to now, I failed to understand - Is Polygamy illegal according to the laws of Tanzania!, Tanganyika! or where?...refresh my mind..
For me all those (Islam and Christianity) are tools and poisons which have cripled our thinking. And in the same process it is true to say Islamic or chritian ideologies or beliefs (call them what) are the first tools which made us absolete!
..
Mkuu, We practiced Polygamy before Islam landed or Christianity intoduced monogamy in our country..So who did poison who!..
Again mkuu tutashindwa kuelewana kama mtaendelea kutumia lugha za dini, na hata kama unaposema Wewe ni Mtanzania wakati Watanzania au Watanganyika wengi wame practice Polygamy bila kupitia Uislaam inakuwaje..
As a fact a minority of Muslims take second wives, while majority of Tanzanian (rural) practice polygamy..
Again Polygamy is a human right issue, since it involves the avowal that Christian or Western civilization is more humane in this regard than Islam/Tanzanian civilization..Kisha basi ajabu ni kwamba through their preaching wanatuambia kwamba wanawake are inferior beings created to serve men... damn!....supplant the idea of the equality of dignity!
As I have said before monogamy originated in a Christian context on to them laws were passed, Sasa hatuwezi kuvuta sheria dhidi ya Polygamy bila kuzungumzia monogamy hata kidogo.. Na Hakika binadamu akili yetu zina mipaka.. hatuwezi kuona beyond the line of our understanding ambayo hutokana na elimu, ama hisia (senses)zetu..

Augustime Moshi,
Dunia hii ina Umri gani mkuu!.. Na monogamy imeanza lini kiasi kwamba umefikia kutoa hukumu kwa hesabu zako..halafu unamshirikisha Mungu katika imani yako wewe mwenyewe! hiyo balance umefikia vipi..
UKWELI ni kwamba siku zote mwanamme ndiye atakaye omba mapnenzi, kuoa hata kama kutatokea mageuzi ya wachache wanawake kutongoza wanaume..Hakuna balance yoyote ikiwa mwanamke siku zote atasubiri kuposwa, jambo ambalo linawa limit uwezo wa kuolewa. Ni vigumu sana kwa mwanamme kukosa mchumba akitaka lakini ni rahisi sana kwa mwanamke kufa hajaolewa, siku hizi wanawake wakifika umri wa miaka 30 tu kama hawajaolewa inakuwa shida..

Miaka ya Nabii Abraham hadi miaka michache iliyopita Umri wakuolewa wanawake unazidi kuongezeka..
Enzi za Nabii Ibraham (Abraham), mtoto wa kike aliozwa akiwa mdogo wengine wakizaliwa tu waliposwa.. Mama zetu sisi in the 40's and 50's - majority wameolewa wakiwa na umri usiozidi miaka 16...ni majuzi tu ktk umri wa dunia hii.. Lakini leo hii mwanamke kuolewa na umri chini ya 25 ni bahati, kwani kuna swala la ELIMU na pili KUJITEGEMEA kwani maisha ya leo ni kutegemeana kiuchumi according to....
Hapo hapo kuna asilimia kubwa ya wanawake umri wa miaka 25 waliokwisha zaa watoto tayari..Sasa nambie ktk hiyo monogamy yako mkuu itawezekana vipi ikiwa tayari hawa mabinti zetu mmekwisha wabebesha mizigo na mkawatupa!..haya bado kuna swala jingine la wanawake wa Kinyumba (Common law) ambao pia wapo kwa hesabu kubwa kutokana na ndoa kugeuzwa kuwa kipande cha karatasi!..Je, hawa nao tuwapige marufuku kisheria kwamba ni udhalilishaji wa wanawake?

Mkuu jaribu sana kutazama the big picture, nimekuomba watazame wanawake nje ya ndoa ambao sisi wanaume tunawatumia kama wao ni watumwa wa mapenzi..Ni hao ambao wanatakiwa kupewa sheria badala ya kugeuzwa malaya na kuzaa watoto ambao tumefikia hata kuwaita - Watoto wa Haramu..This is inhuman na kama kuna case ya human right then hii ndiyo inatakiwa kutazamwa, Na tamaduni zetu toka mababu zetu kulikuwa hakuna aibu kubwa ya familia hasa mzee kama kukataa mtoto! kutembea na mwanamke nje ya ndoa, na hasa mwanaume kutokuwa na mji wako ambao utaanzisha kizazi chako..HALALI..
Leo hii kawaida kabisa watu kukimbia watoto, kutia mimba, kutembea nje ya ndoa kwa kisingizio cha mke wa kwanza..Mila yetu ilikuwa ukimtia mtoto mimba unalazimishwa kuoa hata kama una mke.. haki inatazamwa huyo Muathirika na sio wewe wala mkeo!
Wanaume walilazimika kuoa hivyo kujifunga ktk jukumu la ndoa ikiwa ni pamoja na ku provide, kulea na kutunza familia hiyo... Na huwezi kabisa kulinganisha mshikamano wa familia za Kiafrika na hao wenzetu wa west..

Ni kutokana na monogamy, wanaume wamekuwa wakitia mimba na kukimbia wakijificha chini ya kivuli cha ndoa na pete zao za harusi. Kisha kwa sababu Ukristu haurahamishi mistress ndio maana adhabu yake ni Talaka tu!..matokeo yake mwenyewe ndoa zao zisivyodumu..Nafikiri Marekani kama sikosei kati ya ndoa 100 za monogamy - 60 huvunjika na sababu kubwa ni Infidelity..iweje Polygamy ndio iwe sababu ya infidel

Serikali zao zimebeba mzigo mkubwa wa kulea hawa wanawake single mothers na watoto wasiokuwa na baba ktk foster homes wamejaa!..Sasa hivi hata kwetu Tanzania na nchi za Kiafrika imeanza kujitokeza..Let's not be consumed with self-hatred and moral equivalence, precisely the time when our own civilization and values are down the drainage..we flushed them to replace with what we think is civilisation..Like our economy - Madini na contract tunazoweka za monopoly kwa wazungu tukifuata masharti na mikataba iliyoandaliwa na wazungu...therefore asserting the goodness of their system..
 
Naomba nimnukuu Mkuu Mkandara:
As a fact a minority of Muslims take second wives, while majority of Tanzanian (rural) practice polygamy..

Kama asilimia kubwa ya Waislamu wa Tanzania hawaoi mke zaidi ya mmoja, sasa JK ni Muislamu wa aina gani mpaka aoe wake wawili? Siamini kwamba ni kweli zaidi ya nusu ya wanandoa wa kiume Tanzania wana wake zaidi ya mmoja. Nipe takwimu, la sio nitakuita mzushi!

Hata hivyo, dhambi haiwi baraka kwa sabab tu ya kutendwa na asilimia kubwa ya watu.

Again Polygamy is a human right issue, since it involves the avowal that Christian or Western civilization is more humane in this regard than Islam/Tanzanian civilization

Polygamy is a human rights issue only in the sense that it is against human rights. It violates the rights of women. No man has a "right" to any woman, let alone to many women. Marriage is a complete gift of one to the other. Its a gift, not a right.

Kisha basi ajabu ni kwamba through their preaching wanatuambia kwamba wanawake are inferior beings created to serve men... damn!....supplant the idea of the equality of dignity!

Nani anahubiri hivyo? Ni wa kufunga huyo! Mie sijawahi kumsikia mhubiri wa namna hiyo. Ningetoka nje!

Mkandara points out other human rights issues, like forced prostitution. Two wrongs do not make a right. I never pretended to be addressing all human rights issues.
 
Wadau kuna utafiti umefanyika huko US juu ya Sexualization of Girls...
download pages zako hapa [media]http://www.apa.org/pi/wpo/sexualizationrep.pdf[/media]

AM, IO na Magenge mengine ya Kifeminist msitufikishe walipofika hao mataifa mengine ambao hata kuzaa hawataki wanachotaka wao ni surrogating parenting...!!!
 
Interested Observer,

Mkuu,
Up to now, I failed to understand - Is Polygamy illegal according to the laws of Tanzania!, Tanganyika! or where?...refresh my mind..
..
Mkuu, We practiced Polygamy before Islam landed or Christianity intoduced monogamy in our country..So who did poison who!..
Again mkuu tutashindwa kuelewana kama mtaendelea kutumia lugha za dini, na hata kama unaposema Wewe ni Mtanzania wakati Watanzania au Watanganyika wengi wame practice Polygamy bila kupitia Uislaam inakuwaje..
As a fact a minority of Muslims take second wives, while majority of Tanzanian (rural) practice polygamy..
Again Polygamy is a human right issue, since it involves the avowal that Christian or Western civilization is more humane in this regard than Islam/Tanzanian civilization..Kisha basi ajabu ni kwamba through their preaching wanatuambia kwamba wanawake are inferior beings created to serve men... damn!....supplant the idea of the equality of dignity!
As I have said before monogamy originated in a Christian context on to them laws were passed, Sasa hatuwezi kuvuta sheria dhidi ya Polygamy bila kuzungumzia monogamy hata kidogo.. Na Hakika binadamu akili yetu zina mipaka.. hatuwezi kuona beyond the line of our understanding ambayo hutokana na elimu, ama hisia (senses)zetu..

Augustime Moshi,
Dunia hii ina Umri gani mkuu!.. Na monogamy imeanza lini kiasi kwamba umefikia kutoa hukumu kwa hesabu zako..halafu unamshirikisha Mungu katika imani yako wewe mwenyewe! hiyo balance umefikia vipi..
UKWELI ni kwamba siku zote mwanamme ndiye atakaye omba mapnenzi, kuoa hata kama kutatokea mageuzi ya wachache wanawake kutongoza wanaume..Hakuna balance yoyote ikiwa mwanamke siku zote atasubiri kuposwa, jambo ambalo linawa limit uwezo wa kuolewa. Ni vigumu sana kwa mwanamme kukosa mchumba akitaka lakini ni rahisi sana kwa mwanamke kufa hajaolewa, siku hizi wanawake wakifika umri wa miaka 30 tu kama hawajaolewa inakuwa shida..

Miaka ya Nabii Abraham hadi miaka michache iliyopita Umri wakuolewa wanawake unazidi kuongezeka..
Enzi za Nabii Ibraham (Abraham), mtoto wa kike aliozwa akiwa mdogo wengine wakizaliwa tu waliposwa.. Mama zetu sisi in the 40's and 50's - majority wameolewa wakiwa na umri usiozidi miaka 16...ni majuzi tu ktk umri wa dunia hii.. Lakini leo hii mwanamke kuolewa na umri chini ya 25 ni bahati, kwani kuna swala la ELIMU na pili KUJITEGEMEA kwani maisha ya leo ni kutegemeana kiuchumi according to....
Hapo hapo kuna asilimia kubwa ya wanawake umri wa miaka 25 waliokwisha zaa watoto tayari..Sasa nambie ktk hiyo monogamy yako mkuu itawezekana vipi ikiwa tayari hawa mabinti zetu mmekwisha wabebesha mizigo na mkawatupa!..haya bado kuna swala jingine la wanawake wa Kinyumba (Common law) ambao pia wapo kwa hesabu kubwa kutokana na ndoa kugeuzwa kuwa kipande cha karatasi!..Je, hawa nao tuwapige marufuku kisheria kwamba ni udhalilishaji wa wanawake?

Mkuu jaribu sana kutazama the big picture, nimekuomba watazame wanawake nje ya ndoa ambao sisi wanaume tunawatumia kama wao ni watumwa wa mapenzi..Ni hao ambao wanatakiwa kupewa sheria badala ya kugeuzwa malaya na kuzaa watoto ambao tumefikia hata kuwaita - Watoto wa Haramu..This is inhuman na kama kuna case ya human right then hii ndiyo inatakiwa kutazamwa, Na tamaduni zetu toka mababu zetu kulikuwa hakuna aibu kubwa ya familia hasa mzee kama kukataa mtoto! kutembea na mwanamke nje ya ndoa, na hasa mwanaume kutokuwa na mji wako ambao utaanzisha kizazi chako..HALALI..
Leo hii kawaida kabisa watu kukimbia watoto, kutia mimba, kutembea nje ya ndoa kwa kisingizio cha mke wa kwanza..Mila yetu ilikuwa ukimtia mtoto mimba unalazimishwa kuoa hata kama una mke.. haki inatazamwa huyo Muathirika na sio wewe wala mkeo!
Wanaume walilazimika kuoa hivyo kujifunga ktk jukumu la ndoa ikiwa ni pamoja na ku provide, kulea na kutunza familia hiyo... Na huwezi kabisa kulinganisha mshikamano wa familia za Kiafrika na hao wenzetu wa west..

Ni kutokana na monogamy, wanaume wamekuwa wakitia mimba na kukimbia wakijificha chini ya kivuli cha ndoa na pete zao za harusi. Kisha kwa sababu Ukristu haurahamishi mistress ndio maana adhabu yake ni Talaka tu!..matokeo yake mwenyewe ndoa zao zisivyodumu..Nafikiri Marekani kama sikosei kati ya ndoa 100 za monogamy - 60 huvunjika na sababu kubwa ni Infidelity..iweje Polygamy ndio iwe sababu ya infidel

Serikali zao zimebeba mzigo mkubwa wa kulea hawa wanawake single mothers na watoto wasiokuwa na baba ktk foster homes wamejaa!..Sasa hivi hata kwetu Tanzania na nchi za Kiafrika imeanza kujitokeza..Let's not be consumed with self-hatred and moral equivalence, precisely the time when our own civilization and values are down the drainage..we flushed them to replace with what we think is civilisation..Like our economy - Madini na contract tunazoweka za monopoly kwa wazungu tukifuata masharti na mikataba iliyoandaliwa na wazungu...therefore asserting the goodness of their system..

duh! mwanangu hapo umemaliza kila kitu. sina cha kuongeza! labda niongezee kiji-joke tu. wazungu wameweka sheria ya mke mmoja kwasababu nguvu zao za kiume ndogo, huyo mmoja anawashinda sex weekend mpaka weeekend, lakini sie midume ya afrika kila siku twataka angalau mara tatu(kama dozi ya malaria). mmmh haya mke mmoja atayaweza wapi hayo? , ndo maana utaskia wengine wana mke mmoja nyumbani lakini wanaonekana wamebaka bata! laahaula! ,nyie waigeni wazungu tu, balahau mtakufa siku si zenu! mie nikijaaliwa ntaowa watatu lakini wakikubali kwa ridhaa zao wala siwalazimishi na ntajitahidi kuwatreat eqqqqqualllly.
well done mkandara.
 
Augustine Moshi,
Mkuu nadhani una tatizo la kuelewa maana kwa sababu Kikwete sio rais kwa sababu ni Muislaam na wala hakuna mahala amesema kaoa mke wa pili kwa sababu ni Muislaam...Unapouliza Kikwete ni muislaam gani ina maana kwamba hoja yako toka mwanzo ilikuwa kuhusiana na Uislaam lakini ajabu wewe mwenyewe umeandika kuwa Uislaam haulazimishi mtu kuoa wake wengi. sasa hapa mkuu unaniacha nje kabisa kuelewa unatoka wapi ktk hii issue.
Swala la KULAZIMISHWA nadhani unaliweka wewe hapa... hakuna mtu hata mmoja humu kasema wanawake wanalazimishwa na nadhani tunapozungumzia Prostitution na haki ya wamawake hatupimi kulazimishwa isipokuwa Uharamu wa kitendo hicho..
Narudia tena kusema kuwa mzizi wa Prostitution ni hali mbaya ya kiuchumi wakati Polygamy ni swala la family values pale ambapo mwanamke badala ya kutumiwa kama malaya (mistress) anapaswa kuolewa, na unaweza sana kupunguza umalaya kwa sheria ya ndoa ambayo kutokana na mazingira yetu Polygamy is the solution. Mwanaume anafungwa kamba kugharamia nyumba mbili kisheria kutokana na sababu zozote zilizomfanya kutembea nje ya ndoa ya kwanza. Inawezekana kuwa mke wa kwanza hawezi kuzaa, sidhani kama divorce is a solution, kumbuka Abraham ni mfano wa kwanza wa polygamy ktk Biblia.

Mkuu wenzetu wazungu wamekwisha jenga nguzo za mfumo mzima wa monogamy, na hakika mfumo huu sio tu unawakinga wanaume isipokuwa unawadhalilisha wanawake kwa sababu mwanaume anaweza kutembea nje ya ndoa na kisingizio ni hiyo pete..Kosa litakuwa la huyo mwanamke ambaye kwa lugha yenu mtamwita malaya tu!
Huko Ulaya tayari wao wameweza kujenga misingi ya kumkinga mwanaume wakaingiza swala la single mothers ktk social program zao, foster home, kuuza watoto na kadhalika yote haya ni kutojali maisha na well being ya wale walioko nje ya ndoa moja. Mwafrika kwa mila zetu huwezi kuuza mtoto... ni ulimbukeni wa kuiga na hali mbaya ya mfumo wa uchumi kuingia ktk family values..
1.Polygamy is a human rights issue only in the sense that it is against human rights. It violates the rights of women. No man has a "right" to any woman, let alone to many women. 2.Marriage is a complete gift of one to the other. Its a gift, not a right.
Mkuu mbona unaji contradict hapa.. iweje gift ambayo sio right iwe tena right inapokuwa applied!
Sasa unaposema kuwa Polygamy violet women rights, nakuomba unambie hizo RIGHTS ni zipi... wala tusiende mbali..na kibwagizo niache na rights za wale ambao hawakuolewa!..
Huwezi kutumia sheria ya human rights kwa kundi la baadhi wanawake. Unazupongumzia women rights ni lazima rights hizo ziwahusu wanawake wote bila kupendelea aina moja ya wanawake.
 
Wanawake wana haki ya kisheria kuomba kuachwa/kuwaacha wanaume zao pale wanapohisi kuwa hawatendewi haki ndani ya ndoa (hata hizo za mitala at least kwa hiyo inayosemwa dini inayoruhusu mitala). Wajuzi I stand to be corrected. Kama ndivyo halazimishwi/si sheria kwa mwanamke kukaa kwenye ndoa ambayo ananyanyasika -iwe ya mitala ama la-kuashiria mwanamke ana haki ya maamuzi.
 
Move trick get out the way, get out the way, get out the way, trick get out the way,

Move trick get out the way, get out the way, get out the way, trick get out the way
 
Wanawake wana haki ya kisheria kuomba kuachwa/kuwaacha wanaume zao pale wanapohisi kuwa hawatendewi haki ndani ya ndoa (hata hizo za mitala at least kwa hiyo inayosemwa dini inayoruhusu mitala). Wajuzi I stand to be corrected. Kama ndivyo halazimishwi/si sheria kwa mwanamke kukaa kwenye ndoa ambayo ananyanyasika -iwe ya mitala ama la-kuashiria mwanamke ana haki ya maamuzi.

Mama,
Kweli kabisa.Ndoa yenye manyanyaso inawezekana kuivunja.Ila sina hakika kama wanawake walioko kwenye mitala chini ya dini ya Kiislam wanaweza kudai talaka.Nimesikia wanaume wanaweza kukataa kuandika hizo talaka 3 kama kukomoa!
 
Kwa hiyo kama mwanamume aweza kukataa kuandika hiyo talaka (ambayo ni sheria ya dini), basi hata yeye haitekelezi hiyo dini. Zaidi ya hayo ukimtamkia mwanamume huyo kwa maneno kuwa si mumeo kwa vile humtaki tena kwa sababu utakazozitoa mbele ya mashahidi; nadhani inatosha kuliko hata kusubiri kupewa hiyo talaka ya makaratasi.

Kwa hiyo haya mambo ya mitala ni wanawake wenyewe ndio tunaya-entertain. Na sababu nyingi ni za kihistoria na kijamii. Wanawake wanaogopa kutoka ndani ya ndoa za manyanyaso kwa kuogopa kunyanyapaliwa na jamii kuwa wameshindwa kusimamia ndoa zao zisitetereke.
 
Duh! kweli wanawake wajinga. Yaani mtu utabakije kwenye ndoa unayonyanyaswa kama mtumwa. Mimi mke wangu akininyanyasa tu hata mara moja namwacha. Wajinga sana hawa wanawake na akina Mama wa namna hii.
 
Kwa hiyo kama mwanamume aweza kukataa kuandika hiyo talaka (ambayo ni sheria ya dini), basi hata yeye haitekelezi hiyo dini. Zaidi ya hayo ukimtamkia mwanamume huyo kwa maneno kuwa si mumeo kwa vile humtaki tena kwa sababu ulitakazozitoa mbele ya mashahidi; nadhani inatosha kuliko hata kusubiri kupewa hiyo talaka ya makaratasi.

Kwa hiyo haya mambo ya mitala ni wanawake wenyewe ndio tunaya-entertain. Na sababu nyingi ni za kihistoria na kijamii. Wanawake wanaogopa kutoka ndani ya ndoa za manyanyaso kwa kuogopa kunyanyapaliwa na jamii kuwa wameshindwa kusimamia ndoa zao zisitetereke.

I represent the legendary screwed up clique....
 
Duh! kweli wanawake wajinga. Yaani mtu utabakije kwenye ndoa unayonyanyaswa kama mtumwa. Mimi mke wangu akininyanyasa tu hata mara moja namwacha. Wajinga sana hawa wanawake na akina Mama wa namna hii.

Kuhukumu kuwa wanawake ni wajinga hujatenda haki.Si wanawake wote ni wajinga, na si kila anayevumilia manyanyaso ni mjinga.Wengine huvumilia kwa vile hawana ubinafsi - umimi.Wanaona huruma kuacha watoto wao kunyanyaswa na wakati mwingine wanawapenda waume zao regardless.Huu ni upendo wa kweli.
 
.....upendo wa kweli my a$$!
 
Mama na Womenofsubstanc,
Dada zangu labda mnifahamishe mimi.. Hivi katika ndoa hizo za Kizungu kisheria mwanamke anaweza kuondoka tu bila kudai talaka?...Je, mwanaume hawezi pia kukataa kutoa talaka na kama sikosei hakuna talaka inayoweza kukubaliwa kisheria hadi swala zima limekuwa solved na mahakama as if waliooana wameoana kwa sheria za nchi..

Nachojaribu kusema hapa ni kwamba talaka ni haki ya mwanamke ndani ya ndoa ambayo haikuwezekana..haijalishi kuwa ni dini gani ama sheria ya nchi gani isipokuwa maamuzi ya kisheria ndiyo yanayojenga hoja..ndio maana unaona waislaam Tanzania wameingia na swala la mahakama ya kadhi kwa sababu sheria zinazotumika ktk kuota hukumu za ndoa hasa za kidini kuna ubadhilifu na mara nyingi mwanamke amekuwa akifukuzwa ndani ya nyumba na watoto wake..sheria za dini hazizingatiwi isipokuwa mila na desturi zetu zinachanganywa na dini..Hakuna compesation ya kweli zaidi ya nani mwenye nguvu kisheria.
Binafsi napingana na mahakama ya kadhi tu pale napotazama kuwa ndoa nyingi nchini hazikufungwa kwa kufuata sheria za dini zaidi ya kisomo na Sheikh..

Hata hivyo, niwaache na kicheko kidogo - mbona hamzungumzii haki ya mwanaume ktk ndoa.. Iweje sisi tu ndio tuombe uchumba na mwanamke ndiye mwenye last say akisema NO hakuna ndoa!..why can't we have the last say on divorce!.. si tumegawana madaraka... kwi....kwi.....kwi!
 
Back
Top Bottom