Interested Observer,
To uproot such mentality we need people like you; education system that allows pepole to understand it is their country first. A country must have roots, and in Tanzania we have very strong laws, but the presidents are the law breakers. Reinforcement of ethics and rule of law will lead to that level. That is why we are asking about a president who hides himself from a real picture who he is!
Mkuu,
Up to now, I failed to understand - Is Polygamy illegal according to the laws of Tanzania!, Tanganyika! or where?...refresh my mind..
For me all those (Islam and Christianity) are tools and poisons which have cripled our thinking. And in the same process it is true to say Islamic or chritian ideologies or beliefs (call them what) are the first tools which made us absolete!
..
Mkuu, We practiced Polygamy before Islam landed or Christianity intoduced monogamy in our country..So who did poison who!..
Again mkuu tutashindwa kuelewana kama mtaendelea kutumia lugha za dini, na hata kama unaposema Wewe ni Mtanzania wakati Watanzania au Watanganyika wengi wame practice Polygamy bila kupitia Uislaam inakuwaje..
As a fact a minority of Muslims take second wives, while majority of Tanzanian (rural) practice polygamy..
Again Polygamy is a human right issue, since it involves the avowal that Christian or Western civilization is more humane in this regard than Islam/Tanzanian civilization..Kisha basi ajabu ni kwamba through their preaching wanatuambia kwamba wanawake are inferior beings created to serve men... damn!....supplant the idea of the equality of dignity!
As I have said before monogamy originated in a Christian context on to them laws were passed, Sasa hatuwezi kuvuta sheria dhidi ya Polygamy bila kuzungumzia monogamy hata kidogo.. Na Hakika binadamu akili yetu zina mipaka.. hatuwezi kuona beyond the line of our understanding ambayo hutokana na elimu, ama hisia (senses)zetu..
Augustime Moshi,
Dunia hii ina Umri gani mkuu!.. Na monogamy imeanza lini kiasi kwamba umefikia kutoa hukumu kwa hesabu zako..halafu unamshirikisha Mungu katika imani yako wewe mwenyewe! hiyo balance umefikia vipi..
UKWELI ni kwamba siku zote mwanamme ndiye atakaye omba mapnenzi, kuoa hata kama kutatokea mageuzi ya wachache wanawake kutongoza wanaume..Hakuna balance yoyote ikiwa mwanamke siku zote atasubiri kuposwa, jambo ambalo linawa limit uwezo wa kuolewa. Ni vigumu sana kwa mwanamme kukosa mchumba akitaka lakini ni rahisi sana kwa mwanamke kufa hajaolewa, siku hizi wanawake wakifika umri wa miaka 30 tu kama hawajaolewa inakuwa shida..
Miaka ya Nabii Abraham hadi miaka michache iliyopita Umri wakuolewa wanawake unazidi kuongezeka..
Enzi za Nabii Ibraham (Abraham), mtoto wa kike aliozwa akiwa mdogo wengine wakizaliwa tu waliposwa.. Mama zetu sisi in the 40's and 50's - majority wameolewa wakiwa na umri usiozidi miaka 16...ni majuzi tu ktk umri wa dunia hii.. Lakini leo hii mwanamke kuolewa na umri chini ya 25 ni bahati, kwani kuna swala la ELIMU na pili KUJITEGEMEA kwani maisha ya leo ni kutegemeana kiuchumi according to....
Hapo hapo kuna asilimia kubwa ya wanawake umri wa miaka 25 waliokwisha zaa watoto tayari..Sasa nambie ktk hiyo monogamy yako mkuu itawezekana vipi ikiwa tayari hawa mabinti zetu mmekwisha wabebesha mizigo na mkawatupa!..haya bado kuna swala jingine la wanawake wa Kinyumba (Common law) ambao pia wapo kwa hesabu kubwa kutokana na ndoa kugeuzwa kuwa kipande cha karatasi!..Je, hawa nao tuwapige marufuku kisheria kwamba ni udhalilishaji wa wanawake?
Mkuu jaribu sana kutazama the big picture, nimekuomba watazame wanawake nje ya ndoa ambao sisi wanaume tunawatumia kama wao ni watumwa wa mapenzi..Ni hao ambao wanatakiwa kupewa sheria badala ya kugeuzwa malaya na kuzaa watoto ambao tumefikia hata kuwaita - Watoto wa Haramu..This is inhuman na kama kuna case ya human right then hii ndiyo inatakiwa kutazamwa, Na tamaduni zetu toka mababu zetu kulikuwa hakuna aibu kubwa ya familia hasa mzee kama kukataa mtoto! kutembea na mwanamke nje ya ndoa, na hasa mwanaume kutokuwa na mji wako ambao utaanzisha kizazi chako..HALALI..
Leo hii kawaida kabisa watu kukimbia watoto, kutia mimba, kutembea nje ya ndoa kwa kisingizio cha mke wa kwanza..Mila yetu ilikuwa ukimtia mtoto mimba unalazimishwa kuoa hata kama una mke.. haki inatazamwa huyo Muathirika na sio wewe wala mkeo!
Wanaume walilazimika kuoa hivyo kujifunga ktk jukumu la ndoa ikiwa ni pamoja na ku provide, kulea na kutunza familia hiyo... Na huwezi kabisa kulinganisha mshikamano wa familia za Kiafrika na hao wenzetu wa west..
Ni kutokana na monogamy, wanaume wamekuwa wakitia mimba na kukimbia wakijificha chini ya kivuli cha ndoa na pete zao za harusi. Kisha kwa sababu Ukristu haurahamishi mistress ndio maana adhabu yake ni Talaka tu!..matokeo yake mwenyewe ndoa zao zisivyodumu..Nafikiri Marekani kama sikosei kati ya ndoa 100 za monogamy - 60 huvunjika na sababu kubwa ni Infidelity..iweje Polygamy ndio iwe sababu ya infidel
Serikali zao zimebeba mzigo mkubwa wa kulea hawa wanawake single mothers na watoto wasiokuwa na baba ktk foster homes wamejaa!..Sasa hivi hata kwetu Tanzania na nchi za Kiafrika imeanza kujitokeza..Let's not be consumed with self-hatred and moral equivalence, precisely the time when our own civilization and values are down the drainage..we flushed them to replace with what we think is civilisation..Like our economy - Madini na contract tunazoweka za monopoly kwa wazungu tukifuata masharti na mikataba iliyoandaliwa na wazungu...therefore asserting the goodness of their system..