MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Hehehe mpaka sasa nilitegemea huu uzi kufikia kwenye kurasa ya kumi, nilitegemea watu watachemshana humu hadi pachimbike.
Wapemba hoyee!!!!
Lakini huyu Msomali awache zake, asione ugomvi wetu na Alshabaab atuchukulie dhaifu, afahamu tunakua makini sana tunapopiganaa na wale jamaa maana hawana kambi maalum, wamejificha ndani ya hao hao Wasomali. Mchana unamwona mtu anachunga mbuzi huku amevaa kanzu, kumbe usiku ni mpiganaji. Sasa ikatokea vita baina ya Somalia na Kenya, hivyo vitakua rahisi sana maana adui atakua ni taifa na majeshi yake.
Tutaukalia huo mpaka kimabavu, dunia hii kuna kesi kama hizi nyingi tu. Hata Tanzania huwa wanazinguliwa sana na Malawi, kwamba wao waishie tu kwenye fukwe. Kwanza yaani Wamalawi sio fair aisei, wana dharau sana likija suala la hilo ziwa, kwamba mpaka wao na Msumbiji upo pasu, lakini kwa Tanzania ni thubutu...unaishia kwenye fukwe.