If Somalia wins Kenya should claim Pemba

If Somalia wins Kenya should claim Pemba

Hehehe mpaka sasa nilitegemea huu uzi kufikia kwenye kurasa ya kumi, nilitegemea watu watachemshana humu hadi pachimbike.
Wapemba hoyee!!!!

Lakini huyu Msomali awache zake, asione ugomvi wetu na Alshabaab atuchukulie dhaifu, afahamu tunakua makini sana tunapopiganaa na wale jamaa maana hawana kambi maalum, wamejificha ndani ya hao hao Wasomali. Mchana unamwona mtu anachunga mbuzi huku amevaa kanzu, kumbe usiku ni mpiganaji. Sasa ikatokea vita baina ya Somalia na Kenya, hivyo vitakua rahisi sana maana adui atakua ni taifa na majeshi yake.

Tutaukalia huo mpaka kimabavu, dunia hii kuna kesi kama hizi nyingi tu. Hata Tanzania huwa wanazinguliwa sana na Malawi, kwamba wao waishie tu kwenye fukwe. Kwanza yaani Wamalawi sio fair aisei, wana dharau sana likija suala la hilo ziwa, kwamba mpaka wao na Msumbiji upo pasu, lakini kwa Tanzania ni thubutu...unaishia kwenye fukwe.
 
United Republic of Tz ita-do?
Get this, Tz is like our kid sister; we therefore won't molest u.
kenyans stop pretending and yet you know not...a lot of brags lakn hamna lolote.
nyie kwel elimu ya mzungu imewapumbaza bila shaka hata kupumua mnatumia hako ka kiingereza kenu ka kikabila.
 
Hehehe mpaka sasa nilitegemea huu uzi kufikia kwenye kurasa ya kumi, nilitegemea watu watachemshana humu hadi pachimbike.
Wapemba hoyee!!!!

Lakini huyu Msomali awache zake, asione ugomvi wetu na Alshabaab atuchukulie dhaifu, afahamu tunakua makini sana tunapopiganaa na wale jamaa maana hawana kambi maalum, wamejificha ndani ya hao hao Wasomali. Mchana unamwona mtu anachunga mbuzi huku amevaa kanzu, kumbe usiku ni mpiganaji. Sasa ikatokea vita baina ya Somalia na Kenya, hivyo vitakua rahisi sana maana adui atakua ni taifa na majeshi yake.

Tutaukalia huo mpaka kimabavu, dunia hii kuna kesi kama hizi nyingi tu. Hata Tanzania huwa wanazinguliwa sana na Malawi, kwamba wao waishie tu kwenye fukwe. Kwanza yaani Wamalawi sio fair aisei, wana dharau sana likija suala la hilo ziwa, kwamba mpaka wao na Msumbiji upo pasu, lakini kwa Tanzania ni thubutu...unaishia kwenye fukwe.
Hebu nenda ukaone yanayoendelea kule Nyasa

Halafu hao wasomali mbona wanawapelekesha puta nadhani tuwape vikosi viwili vya jwtz vikawasaidie msisumbuliwe tena
 
Hebu nenda ukaone yanayoendelea kule Nyasa

Halafu hao wasomali mbona wanawapelekesha puta nadhani tuwape vikosi viwili vya jwtz vikawasaidie msisumbuliwe tena

Vikosi vya JWTZ linaelewa nini mambo ya Gorilla war? M23 ama sijui M what, iliwashinda ndio Alshabaab wataweza hawa cry baby!!
 
Cs8cOvqWIAAdq-n.jpg

The Kenya vs. Somalia case has been ongoing for some time with preliminary judgment expected today. If the court rules that the sea border should follow the land border then it goes without saying that it should happen on both land borders which means that Kenya should start claims on Pemba
The problem between Somalia and Kenya is very different from what you want to portray here! Pemba is a defined island in Zanzibar revolutionary govt, however much you may wish to stretch the borders you cannot stretch your territory into a defined sovereign state just because you feel it is convenient/ or it is on your favour. resemblance to this is Tanzania vs Malawi border dispute in lake nyasa!
however for the really/tough border dispute: you just wait for muungano between Tanganyika and Zanzibar to collapse.
 
Tungoje hadi lini? Sisi kama Kenya hatuna muda wa kufanya vitu vya kijinga!!!

Hapa ni wazi tu kwamba, kulingana na sheria za kimataifa, Pemba lazima iwe kisiwa cha Kenya!!!

Hapa hata hamna la kupinga
 
Naona watoto wanaota mchana, kipigo cha Al shabaab si mchezo, mpaka unaona watu wazima wanawaza kitoto, eti Pemba, hahahaaa, ndo mtajua kuwa Tanzania tuna ndege za vita
 
Tungoje hadi lini? Sisi kama Kenya hatuna muda wa kufanya vitu vya kijinga!!!

Hapa ni wazi tu kwamba, kulingana na sheria za kimataifa, Pemba lazima iwe kisiwa cha Kenya!!!

Hapa hata hamna la kupinga
sio Mombasa ni sehemu ya Tanzania?
just stretch our border from Kilimanjaro!
history inatupa Mombasa na lamu it is just matter of time, we will conquer our Mombasa territory!
 
Tungoje hadi lini? Sisi kama Kenya hatuna muda wa kufanya vitu vya kijinga!!!

Hapa ni wazi tu kwamba, kulingana na sheria za kimataifa, Pemba lazima iwe kisiwa cha Kenya!!!

Hapa hata hamna la kupinga
Hapo mlipo hamuwezi hata kuishikilia Mombasa, halafu leo unakuja kusema ya Pemba. Round 1 ya ICJ mmeshidwa, Wasomali wakichukuwa bahari yao Kenya mnabaki land locked
 
Hapo mlipo hamuwezi hata kuishikilia Mombasa, halafu leo unakuja kusema ya Pemba. Round 1 ya ICJ mmeshidwa, Wasomali wakichukuwa bahari yao Kenya mnabaki land locked

Upuzi tu!! ICJ haijatoa hukum!!
Sijui mnajishaua nini??
 
It seems like you are very grateful for British to Colonize your mind, language, culture and everything. Shame on you English is not something that Kenyan should be proud of.
hapana siombi kazi ,ila ni shabiki wa kutupwa wa diamond hivyo naona kama ananywonywa vile na mimi kama shabiki kukaa kimyaa siwezi
Unaona kama ananyonywa vile eti kisa ni shabiki
Yes Pemba people are already more Kenyan than Tanzanian, just a bit of teaching them a little English and we are done!!
 
Geza umeanza kuwa mwehu!!!

Leo hii hapa JF tulikuwa tunajadili Wapemba 6,000 wanaoishi Lungalunga, pwani ya Kenya!!!!

Ina maana kwamba hata watu wapemba wenyewe hawana imani na jumuiya hiyo yenu.

Itakuwa jambo la busara sana kuainisha na kuwaleta nyumbani.

Pemba ni ya Kenya, kwa kweli
naona hang over ya Kenya kuukosa uenyekiti AU inawasumbua! Chukueni Migingo kwanza toka Uganda! washenzi wahedi nyie!
 
United Republic of Tz ita-do?
Get this, Tz is like our kid sister; we therefore won't molest u.
Really...
Mazee try take our candy away... that is when u will realise your little sister is named Pandora!
 
Nyinyi wakenya simlisema mnajeshi madhubuti sasa fursa hiyo takeni Pemba muone Kenya drinking force inavyo chapwa
 
Iko hivi maji chukueni kisiwa tuachieni.... Hata wakitumia ruler kanyoosha mstaari... Ndio wachukue Pemba....
Hadithi za Abunuasi
Maji nani awape labda msaada wa chakula tutawapa kwanza Mombasa ni ya Tanzania hivyo Kenya akuna bahari
 
hii thread ni ya kichochezi... Haistahili kuwa entartained at kidogo. MOD naomba ufanye kaz yako
 
'Asili ya kikenya'
Hapo sijakuelewa boss.
Follow migration patterns za wabantu mlivoingia Kenya utajua kwamba wakenya wana asili ya kitanzania na sio the other way around. Kenya has never been the source of anything. Bantus from Congo came in from the South (Tanzania).

WA NILOTE wa kanda la ziwa yaani ,wajaluo pamoja na wamaasai wenu wa Arusha waliingia huko wakitokea Kenya.
Una lingine?
 
Wanawashwa makalio hawa wakenya. Na tutawakuna vilivyo pengine na Utangamano wa Africa Mashariki utaishia hapo.
 
Back
Top Bottom