If Somalia wins Kenya should claim Pemba

Hawajui kuwa Zanzibar ni nchi na pia kwa pamoja na Tanganyika wakaunda Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Tan-Zan-ia). Ina maana mipaka ya nchi ya Zanzibar kabla ya kujiunga na Tanganyika iliyotambuliwa kimataifa mpaka United Nations majirani zetu Kenya haitambui?

Je, tukileta masuala ya ''kihistoria pwani ya Kenya inaweza kutambulikana kama ''Pwani si Kenya'' bali ni Zanzibar ya Sultani na hivyo Mombasa inaweza kurudishwa chini ya himaya ya Zanzibar na kujumuishwa ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kubwa!.
hehee seems there is no kenyan lawyers in here, its not for kenya to claim pemba, rather for the sultanate of zanzibar to claim the 10 mile coastal strip from kenya! jamaa historia yao hawaifaham
 
Kenyan lawyers tuko. The problem is Inaweza chukua a very long time to explain the intricacies involved in demarcation of Maritime boundaries under international law, codified under the 1982 UNITED NATIONS CONVENTION ON LAW OF THE SEA (UNCLOSE)

But maybe just to mention, the convention contains various methods of doing this, but does not make it mandatory to follow a particular method. That's why there are cases before the ICJ, brought about by differing views, such as the case between Kenya and Somalia.

However, the convention also encourages the use of bilateral agreements between states. A good example is the one between Kenya and Tanzania, which was agreed upon decades ago, and there has not been any issue of contention ever since.

Such is the reason why in my opinion the ICJ dismissed Somalia's claims, and insisted that the MOU that was signed between the two states (which is a form of billateral agreement) to be used to resolve the issue.
 
Such history is shallow and vague at best. It does not qualify as customary international law, and is as such irrelevant in matters such as international maritime boundaries. (Please don't post things beyond your sphere of understanding. Thanks)
 
Kenyan lawyers tuko. The problem is Inaweza chukua a very long time to explain the intricacies involved in demarcation of Maritime boundaries under international law, codified under the 1982 UNITED NATIONS CONVENTION ON LAW OF THE SEA (UNCLOSE)

But maybe just to mention, the convention contains various methods of doing this, but does not make it mandatory to follow a particular method. That's why there are cases before the ICJ, brought about by differing views, such as the case between Kenya and Somalia.

However, the convention also encourages the use of bilateral agreements between states. A good example is the one between Kenya and Tanzania, which was agreed upon decades ago, and there has not been any issue of contention ever since.

Such is the reason why in my opinion the ICJ dismissed Somalia's claims, and insisted that the MOU that was signed between the two states (which is a form of billateral agreement) to be used to resolve the issue.
thats better, your folks are arguing like wimps, there is a silver lining for kenya on the icj issue in that even if it rules againist kenya on the dispute, it lacks in the enforcement part in the rulings, last year it ruled in favour of the philipines with regards to waters and some disputed islands there but the chinese have stood their ground and declared they do not recognise that. From my obseervation i think your A.g is persuing this same course of action
 
The Court has Ruled in Favour of Kenya Muache hii Ufala .....TZ msiitishe vitu Hamtaweza wengi wenunataka kuingiana misuli na kenya Na mnajua vyema Hamtaweza Keyboard itakupea psych Lakini wakati KDF itakuwa inanyesha Kutoka angani ndio utatambua Ohhh alshabaab sio JWTZ
Marubani wenu badala ya kupigana vita watakuwa bize kuiba vifaa vya ndege wakauze..
 
Leo hii nenda ukawaulize Wanapemba nini wanachokitaka, kwanza wengi huwa hawapendi kuitwa Wazanzibari bali hupenda kujiita Wanapemba. Ni wachakarikaji balaa maana wana asili ya Kikenya, wamewekeza sana kote kote, yaani Mombasa na Dar.

Mazao yao wanapata faida kubwa sana wakiuza Mombasa, sema wanakamatwa sana na askari wa forodhani. Ni watu wenye bidii, ni kama tu Watu wa Arusha na Kilimanjaro ambao wana asili ya Kikenya na ndio wenye hubeba Tanzania kiuchumi.
Ukiwa mchakarikaji asili yako ni Kenya?unaongea mavi mukuu.
 
thats better, your folks are arguing like wimps, there is a silver lining for kenya on the icj issue in that even if it rules againist kenya on the dispute, it lacks in the enforcement part in the rulings, last year it ruled in favour of the philipines with regards to waters and some disputed islands there but the chinese have stood their ground and declared they do not recognise that. From my obseervation i think your A.g is persuing this same course of action
The Chinese are simply being persistent objectors in an attemp to prevent the qualification of what i stated before, known as a Customary International law. However in my opinion they are wrong, since it is already decided by the ICJ, which is the recognised platform for international disputes.

In short, they are jst flexing their muscles to gain recognition as an internationally revered force. Much like what the USA is doing in Kenya's Ungama Bay in Lamu.
 
Lakini Wabongo sijui mmekuwaje siku hizi!! Tangu mababu nchi hizi mbili Kenya na Tanzania waliishi kama braza, viongozi, Nyerere na Kenyatta, walikuwa marafiki.

Siku hizi wabongo mmezua wivu na chuki kwa Kenya!!! Sio vizuri

Hata Oil pipeline, mkaenda kubribe Uganda iliwatoe kwetu!!

Aaahhh! Mbona hivi??
Naona umehamishia matusi Uganda, hivi nyie watu mkoje? kwamba Waganda ni watu wa hovyohovyo tu unaweza kuwa-bribe katika ishu nzito kama hizi? Watake radhi Waganda!!
 
Leo hii nenda ukawaulize Wanapemba nini wanachokitaka, kwanza wengi huwa hawapendi kuitwa Wazanzibari bali hupenda kujiita Wanapemba. Ni wachakarikaji balaa maana wana asili ya Kikenya, wamewekeza sana kote kote, yaani Mombasa na Dar.

Mazao yao wanapata faida kubwa sana wakiuza Mombasa, sema wanakamatwa sana na askari wa forodhani. Ni watu wenye bidii, ni kama tu Watu wa Arusha na Kilimanjaro ambao wana asili ya Kikenya na ndio wenye hubeba Tanzania kiuchumi.
Unaongea kiswahili kizuri sana, Bila shaka wewe ni miongoni mwa wakenya wengi wanaofurahia na kuendesha maisha yao na familia zao na koo zao kutokana na matunda umoja na utaifa na mshikamano na amani ya Tanzania (The United Republic )

Naona Leo umeongea kama layman, yaani umekuwa mweupe kabisa kichwani.
 
Leo hii nenda ukawaulize Wanapemba nini wanachokitaka, kwanza wengi huwa hawapendi kuitwa Wazanzibari bali hupenda kujiita Wanapemba. Ni wachakarikaji balaa maana wana asili ya Kikenya, wamewekeza sana kote kote, yaani Mombasa na Dar.

Mazao yao wanapata faida kubwa sana wakiuza Mombasa, sema wanakamatwa sana na askari wa forodhani. Ni watu wenye bidii, ni kama tu Watu wa Arusha na Kilimanjaro ambao wana asili ya Kikenya na ndio wenye hubeba Tanzania kiuchumi.
Kwahiyo hata wakinga ambao nao ni wachakarikaji nawao unawaita wakenya inamaana kila mtz ambae ni mchakarikaji lazima awe mkenya au
 
The Court has Ruled in Favour of Kenya Muache hii Ufala .....TZ msiitishe vitu Hamtaweza wengi wenunataka kuingiana misuli na kenya Na mnajua vyema Hamtaweza Keyboard itakupea psych Lakini wakati KDF itakuwa inanyesha Kutoka angani ndio utatambua Ohhh alshabaab sio JWTZ
Mpumbavu pekee atakubariana na upumbavu wako huu[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
The Court has Ruled in Favour of Kenya Muache hii Ufala .....TZ msiitishe vitu Hamtaweza wengi wenunataka kuingiana misuli na kenya Na mnajua vyema Hamtaweza Keyboard itakupea psych Lakini wakati KDF itakuwa inanyesha Kutoka angani ndio utatambua Ohhh alshabaab sio JWTZ
KDF inayodundwa kila siku na Harakat-Al-Shabab au kuna nyingine?
 
Leo hii nenda ukawaulize Wanapemba nini wanachokitaka, kwanza wengi huwa hawapendi kuitwa Wazanzibari bali hupenda kujiita Wanapemba. Ni wachakarikaji balaa maana wana asili ya Kikenya, wamewekeza sana kote kote, yaani Mombasa na Dar.

Mazao yao wanapata faida kubwa sana wakiuza Mombasa, sema wanakamatwa sana na askari wa forodhani. Ni watu wenye bidii, ni kama tu Watu wa Arusha na Kilimanjaro ambao wana asili ya Kikenya na ndio wenye hubeba Tanzania kiuchumi.
'Asili ya kikenya'
Hapo sijakuelewa boss.
Follow migration patterns za wabantu mlivoingia Kenya utajua kwamba wakenya wana asili ya kitanzania na sio the other way around. Kenya has never been the source of anything. Bantus from Congo came in from the South (Tanzania).
 
Si wakenya wote wabantu kaka. Kuna Nilotes na Cushities pia. Na wabantu waliotoka Tanania ni Eastern Bantus.Lakini that migration pattern ya Bantu is debatable pia si conclusive. Western Bantus walipitia a different pattern hawakuoka Tz.
 
Hawajui kuwa Zanzibar ni nchi na pia kwa pamoja na Tanganyika wakaunda Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Tan-Zan-ia). Ina maana mipaka ya nchi ya Zanzibar kabla ya kujiunga na Tanganyika iliyotambuliwa kimataifa mpaka United Nations majirani zetu Kenya haitambui?

Je, tukileta masuala ya ''kihistoria pwani ya Kenya inaweza kutambulikana kama ''Pwani si Kenya'' bali ni Zanzibar ya Sultani na hivyo Mombasa inaweza kurudishwa chini ya himaya ya Zanzibar na kujumuishwa ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kubwa!.
Tafadhali uache kuongeza upuzi kama huu
 
hehee seems there is no kenyan lawyers in here, its not for kenya to claim pemba, rather for the sultanate of zanzibar to claim the 10 mile coastal strip from kenya! jamaa historia yao hawaifaham
Historia hizo zilipitwa na wakati na sahi tutafata sheria, na sheria lazima ikate mkondo huohuo
 
Back
Top Bottom