Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aongoze hadi atosheke jamani mbona mna wivu ivoPascal mtoto wa RSO wewe ni mkali wa analysis waache wakuchukie na wakuone adui lakini wewe ni hatari moto fire. Naona uchaguzi bosheni huoooo umeshafika naomba kupata uchambuzi je atakuwa kama mtu mrefu au hiyo awamu ya pili ikiisha ataachia au mpaka CCM waamue asiwe kama watawala wengine majirani.????
Magufuli si dictator!! ni mtu duni mno kifikra (juha) labda ungesema tutapata mfalme juha ungeeleweka....
Nukuu kauli yangu huyu jamaa atakuwa ni kilaza kupita wote waliomtangulia....
Soma tarehe ya bandiko hiliUsihangaike na Paschal,his topics come with ill_motives.Wakati mwingine huwa inashangaza jinsi gani mtu aliyekuwa very objective anaweza kugeuka kuwa praise singer.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nafanya tuu rejea kuwathibitishia walionibeza hatimaye leo yametimia.
If you can't beat them, join them.
P
Because of his incompetency,au wenzangu mmeshau incompetent walimu huko secondary walivyokuwa wanakuwa wakali Kama pilipili huku wajitia ujuaji mwingi?Na yataendelea kutimia mpaka 2025! Hapo tuombee tu akubali kuiheshimu katiba ili aondoke kwa amani maana wengi tumemchoka. Kinyume na hapo, hatutakuwa na utofauti na majirani zetu kama Rwanda, Uganda, nk. Kiufupi maisha yamekuwa magumu sana.
Nikilinganisha enzi za JK na sasa, naona tofauti kubwa sana ya kimaisha. Wachache wanafurahia, huku tulio wengi tukisononeka.
Hongera sana Mkuu kwa uzi ulioenda shule. Hata mimi nilimchukulia JK kama mswahili hivi! Ila alikuwa ni Muungwana sana aliyewajali Watanzania wote pasipo kuwabagua. Kiukweli alikuwa bora sana kuliko huyu tuliye naye.
Yeye anaamini katika ubabe, vitisho, kusujudiwa, kutukuzwa, kuogopwa, kichwa chake, nk.
Hakuna dikteta hapa Tanzania,kama wapinzani kumalizwa nguvu ni kwa sababu ya uchapakazi wa JPM na chama chake CCM kilichompa ridhaa ya kuwa mkuu wa nchi. Hatawali kwa presidential decrees bali kwa mujibu wa katiba na sheria.Wanabodi,
Dr. John Pombe Joseph Magufuli ndiye mshindi wa urais Tanzania kwa mwaka huu wa 2015-2025 and may be more!, anayesubiri tuu kutangazwa rasmi na kuapishwa. Nimesema 2015 -2025 sio kwa bahati mbaya as if hakuna uchaguzi 2020, no!, nimesema 2015-2025 kwa sababu huu ndio ukweli ninaouona mimi muona mbali ni kuwa kwa nature ya udikiteta huu wa Magufuli, kama hautakuwa countered through proper channels kupitia instruments zilizopo, then, mwaka 2020 hakutakuwa na uchaguzi wa rais wala uchaguzi wa vyama vingi!, bali litafanyika igizo tuu la uchaguzi, ambao utakuwa ni uchaguzi wa chama kimoja tuu CCM!. Uchaguzi mwingine wa vyama vingi wa rais na wabunge ni 2025 tena only if kama hatautumia udikiteta wake kubadili katiba kwa mlango wa nyuma, by proxy ili aendelee kama Mkuruzinza, Kagame, Museveni na Mugabe!. (Madikiteta hubadili katiba zao by proxty kwa kutumia watu wengine ndio waseme, wao watasema hawabadili, lakini wananchi wakisema na kuandamana, then they they grant the wishes of the people).
Kuna walioshindana nae ndani ya CCM, hawa ni washindani, kati nyao kuna waliopingana nae, hawa ni wapingani, kuna waliopigana nae vikumbo!, hawa ni wapigani, na kuna waliopingana naye kisiasa, hawa ni wapinzani. Kwa vile sasa mshindi ni Dr. John Pombe Joseph Magufuli, hii inamaanisha, hao wengine wote who were fighting, they tried to fight him but couldn't beat him!, as a result they've lost the battle, hivyo as of now, wote walioshindwa, are all are the losses!. Kwenye unrepresentative democracy, the winner takes it all, and the loser standing small!. Kura ni zile milioni 8 tuu alizoshinda Magufuli!, zile milioni 6 za Lowassa are nothing!. Katika mazingira haya, ukiishashindwa unasimama pembeni, ama uendelee kulia na kuugumia maumivu ya kushindwa, au ukubali kushindwa, na kujipanga upya kwa mpambano unaofuata!.
Kuna huu msemo wa wahenga usemao, "if you can't beat them, join them!". Nawashauri makundi hayo yote walioshindwa, kwanza kukubali kushindwa, kwani asiyekubali kushindwa sio mshindani, hivyo natoa mwito kwa washindwa wote, ku surrender kwa kuweka silaha zao chini na to join him, sio kwa kupenda, but they have to join him because, there is no any other way out, or any options but they have either to join him and survive, or to fall out and perish!.
Hivyo hiyo ndio salama yao wakati wa kusikilizia kama atakuwa dikiteta kweli, the real dictator, or a benevolent one!. Ikitokea Magufuli kiwa the real one, yaani ni dikiteta kweli usipomjoin, umekwisha!, hivyo ikitokea Magufuli akawa dikiteta kweli, then Tanzania tunaelekea kwenye utawala wa totalitarian na authoritarian nakurudi kuwa nchi ya chama kimoja!. Hata akiwa a benevolent one, bado upinzani hatafurukuta hata kule kwenye ubunge na udiwani, wapinzani wataokarudi bungeni 2020 ni by personal merits only, as of now, namuona mpinzani mmoja tuu mwenye posibility ya kurejea bungeni 2020, huyu ni ZZK pekee, wapinzani wengine wote kurejea bungeni 2020 ni majaaliwa!.
Wito huu wa kumjoin rais Magufuli, unatolewa regardless ameshindaje na umeshindwaje!, iwe ni kwa ushindi halali, ushindi haramu, bao la mkono, etc, etc, kwenye uchaguzi, the end will always justify the means!, mshindi ni Magufuli, sasa tumpatie tuu kila aina ya ushirikiano wa kutosha kwa kum join him ili aweze kulitawala vizuri taifa letu hili.
Tena hapa mtawashuhudia baadhi ya wale ma-opportunists waliojiengua CCM kumfuata Edward Lowassa upinzani, wakitumaini Lowassa angeshinda lakini kwa vile Lowassa ameshindwa, na CCM ndio imeshinda, they'll see no more opportunities in Chadema, mtawashuhudia wakipiga magoti na kulamba matapishi yao kwa kurejea CCM!, because walijiunga upinzani just in search of opportunities tuu, now they see no more opportunities they expected kwenye opposition, hivyo watajilambia tuu matapishi yao na kujirejeleza zao nyumbani kwao CCM kama alivyofanya mwana mpotevu, na watapokelewa kwa shangwe hadi wengine kufanyiwa karamu!. Edward Lowassa mwenyewe, ili kuepuka aibu ya kurejea CCM, atastaafu rasmi siasa kisha atarejea CCM kimya kimya, ila akiwa na yeye hana aibu wala haoni kinyaa kulamba matapishi yake, na yeye atatangaza kurejea CCM, kisha soon atatangaza kujiuzulu siasa.
Wakati wa mchakato wa kumpata mgombea wa CCM nilipandisha uzi huu, Yajue Makundi 10 Top Ten wa CCM, Ambamo Watatoa Top 5,
Makundi hayo ni ..."The Top Ten who can make the worst dictators
Kundi la 8: The Top Ten who can make the worst dictators
Nikizungumzia kuhusu baadhi ya wagombea urais wa CCM, wakipita wana hatari ya ku make the worst dictators, John Pombe Magufuli was number 2 ya Rais who can make the worst dictator this country has ever had!.
Hoja kuwa Magufuli ni dictator haina mjadala, kwa watu wenye jicho la tatu, wanaona the fire on his eyes, and then fear is the weapon on his heart kwa kutoa hotuba za ukali kama anagomba!, ambayo ni kiashiria cha seriousness ya hasira ambayo inaweza kugeuka chuki na kupelekea visasi toka moyoni mwake, kwa kila atakayetofautiana naye!, na wenye sikio la tatu wanaisikia tone ya ukali wa ukatili kwenye sauti yake!, hii ni ishara kuwa huyu sio mtu wa masihara, watakao tofautiana nae, wanaweza kuumia au hata ...(God forbid). Kitu cha muhimu sana cha kufanya kwa sasa ni sisi Watanzania wote, katika umoja wetu, kwa imani kuwa ni Mungu ndio anaweka tawala za mataifa, Tanzania tumefanya uchaguzi mkuu huru na wa haki, Magufuli ndiye ameshinda kihaki na kihalali, then Magufuli ndio chaguo la Mungu kwa Tanzania, hivyo natoa wito kwa Watanzania wote wazalendo wa kweli kwa taifa lao na wenye mapenzi ya kweli na taifa hili, kumuombea tuu Magufuli kwa Mungu, tena kumuombea very seriously, maadamu ni Mungu ndiye aliyetupa Magufuli, then angalau Mungu huyu huyu amfanye kuwa ni a benevolent one ili huo udikiteta wake ulisaidie taifa letu kusonga mbele kiuchumi, kimaendeleo na kiustawi wa jamii japo is at a price of dead democracy!, vinginevyo akiwa the real one, tumekwisha!, tutajuta, mbele ya safari kutakuja kuwa na vilio na kusaga meno!.
Jakaya Kikwete ukiondoa mambo yake ya uswahili swahili, alikuwa ni mtu wa watu, ni mtu mwenye huruma sana iliyopitiliza kiasi cha kutafsiriwa kuwa Kikwete alikuwa ni Rais dhaifu, hivyo CCM ya Kikwete ilikuwa ni CCM dhaifu! hivyo Kikwete alibezwa, alitukanwa, na kuifanywa CCM, ni CCM ya mchezo mchezo, lakini CCM ya Magufuli itakuwa sio CCM ya mchezo mchezo, au CCM ya huruma huruma, itakuwa hakuna mchezo wala mswalie Mtume, hii ni CCM ya hapa kazi tuu!, CCM imara ni kitu hatari sana kwa majaaliwa ya upinzani!.
Upinzani Tanzania umeweza kushamiri kutokana na CCM lege lege, hivyo Magufuli akijenga CCM imara, huu upinzani lege lege uliopo nchini Tanzania hivi sasa, mwisho wake utakuwa ni 2020, Tanzania tunarudi kule kule kwenye nchi ya chama kimoja!. Ndio maana nimesema 2020 hakuna uchaguzi wa vyama vingi kwa rais na wabunge, kutafanyika tuu igizo la uchaguzi wa vyama vingi, lakini uchaguzi wenyewe haswa ni uchaguzi wa chama kimoja.
Kwenye uzi wangu huu, Miongoni Mwa Mazuri ya Kikwete: "Has Good Sense of Humour!, nilimzungumzia JK kuwa sifa kubwa iliyomfanya CCM impitishe ni cheko na bashasha zake!, hivyo JK tumemchekea, tumemdhihaki, tumembeza, tumemkejeli, hadi kumchezea sharubu kama babu na wajukuu zake huku yeye akicheka tuu na kuyaacha yapite. Lakini kwa Magufuli, sijui kama kutakuwepo kuchekacheka au kuchekeana, kubezana na kuchezeana, na kubembelezana, kwa Magufuli ni mambo serious kwa kwenda mbele na hakuna mchezo mchezo, ni kazi tuu!.
Wajameni japo kwa sasa naongea kama utani au mzaha, lakini hili ni angalizo muhimu sana kwa majaaliwa ya freedom of expression, freedom of speech, na freedom of press ya uhuru huu usio na mipaka tulionao sasa nchini mwetu, tukiwemo sisi humu jf, tulio enjoy wakati wa Kikwete, lakini mbele ya unpredictable dictator kama Magufuli, kiukweli kabisa huko tuendako, kama akiwa ni Magufuli yule yule tuliyemfahamu sisi, na kama hatabadilika, then ni mashaka matupu!, salama yetu hata sisi jf pia ni ili ku survive, inatibidi nasi tumjoin him kwa kumsifu kwa nyimbo na mapambio, vinginevyo....
Thanks God, mimi ni mmoja wa wana jf wachache, waliopata priviledge ya kujua huyu Magufuli aliibukia wapi na ilikuwaje kuwaje hadi yeye akawa ndie akawa mgombea wa CCM na sababu ni zipi zilifanya awe ni yeye. Ukilisoma bandiko hili ukazijua sababu zilizosababisha akawa Magufuli, labda utanielewa nazungumzia nini!.Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli!
Hivyo kwa nature na hulka ya udikiteta wa Magufuli, let's hope, kuwa zile sababu zilizopelekea kuwa mgombea wa urais wa CCM ndizo pekee (the ones and only) zitakazo weza kumcheck and balance him in between being a real dictator and a benevolent dictator vinginevyo hata hao CCM wanaoshangilia ushindi kwa sasa, akitokea kuwa a real one, hata CCM wenyewe nao pia watakuja kujuta!, therefore, to be on a safe side, it's better if you can't beat them, just join them, to be on a safe side!.
Wapinzani wote wakiwemo wana Chadema, wana UKAWA, na Watanzania wenzangu kwa ujumla, najua wengi wenu mlimtaka Lowassa, mmemkosa kwasababu Mungu hakumpangia!, na badala yake Mungu amempangia Magufuli, hivyo natoa wito wa "If you can't get what you want, just take what you get!", ukikosa ulichotaka wewe, then pokea ulichopewa na Mungu!, Magufuli ni chaguo la Mungu kwa Tanzania, tumkubali Magufuli kwa moyo mkunjufu, hivyo hivyo alivyo na udikiteta wake, tumpokee na kumpatia kila aina ya ushirikiano wote unaohitajika kumuwezesha kuiongoza vema nchi yetu Tanzania yetu. Tanzania sio nchi ya Magufuli wala Tanzania sio mali ya CCM, Tanzania ni ya Watanzania wote, ni nchi yetu sote, hivyo it can be done kama kila mmoja wetu will play his part!.
Sio tumjoin Magufuli kwa sababu sasa ndio tunampenda hivyo tumemkubali, no way, tumjoin Magufuli kwa kumkubali ndie the only one rais tuliyepatiwa na Mungu, hivyo we have duty and a responsibility to join him kwa lazima, tutake tusitake, tupende tusipende, yeye ndie rais wetu hivyo we have to join him and support him because we have to!.
Kwa kuweka tuu kumbukumbu sawa, hata mwaka 2010 Chadema waliposhindwa, walisusia matokeo walijidai kunsusa na kujidai hawamtambui JK, lakini hatima yake ilikuja kuwa hivi
Chadema Yakubali Yaishe! Yamtambua Rais!, Yampongeza!
Bandiko hili liliwaudhi sana Chadema humu jf, Mwana JF, Regia Mtema (RIP) akanitaka niombe radhi
Pasco Tuombe radhi CHADEMA-Umemwelewa Vibaya ....
Radhi iliombwa
Nawaomba radhi wana CHADEMA, nilimwelewa vibaya ...
This same, same scenario inataka kujirudia kwa Chadema na Ukawa kujidai kutaka kumsusia Magufuli!. Kuna vitu mtu unaweza kususa na kuna vitu huwezi kususa!,kwa hata 2010 Chadema walisusa lakini tukawashuhudia makamanda wakifakamia chai, juice na vitafunwa vya ikulu, huku meno 32 nje kwa vicheko, hivyo hata awamu hii ya Magufuli, msije kushangaa Mbowe akiwaongoza tena makamanda, akiwemo Lowassa kubisha hodi ikulu sio tuu kwenda kumpongeza rais Magufuli, bali mtashuhudia makamanda maarufu ambao waliaminiwa sana na upinzani, wakiviacha vyama vyao na kujiunga CCM kumfuata Magufuli, japo wote wanatoa visingizio na kudai wanamfuata Magufuli kwa sababu wanampenda na kumkubali sana, hivyo wanajiunga CCM kuunga mkono juhudi zake, lakini amini usiamini sio wote, watajiunga CCM kwa sababu wanamkubali rais Magufuli au wanajiunga CCM ili kuunga mkono juhudi, wengine watamfuata Magufuli huko CCM, kwa sababu, hawana jinsi, they have too!.
Paskali
Mkuu Real Patriots, asante kwa hoja yako hii na kiukweli ni ya kizalendo sana, nami nimeguswa, ila ndio hivyo tena, nikiwa nje nimejitahidi kusaidia sana, lakini nikagundua, ukiwa ndani, miongoni mwao, utaweza kusaidia zaidi.Kaka Pasco, heshima yako.
Miongoni mwa watu ninaowaheshimu humu ndani nawe ni wa juu sana naomba kudeclare hili wazi. Si kwa bahati mbaya hapana, kwa muda mrefu nimekuwa nikiguswa sana na uwasilishwaji wa mada zako hasa kabla ya kutoka kuhojiwa na kamati ile ya bunge kwani baada tu ya lile tukio ladha yako kiasi flani ilipungua(maana ulijiweka upande wa popo) na sasa inafifia zaidi kwa sababu umeamua kujipambanua zaidi kiitikadi(upande uliopo). Sikushangai mkubwa wangu ila umetuacha solemba wapenzi wafuatiliaji wa mada zako hususani jf tuliokuamini sana.
Narudi kwenye bandiko lako la leo. Mkuu leo umekaa upande wa kuhitaji huruma zaidi kutoka kwa kamati ile yenye dhamana maana unajinasibu kuwa una nia ya dhati ya kutaka kumsaidia mkuu ukiwa kule mjengoni ambapo sisi wafuatiliaji tumekwisha shuhudia mara kadhaa kuwa watu kama wewe waliwahi kuwepo na hata walipopewa nafasi zaidi hakuna maajabu waliyofanya zaidi walishusha reputations zao tu hapa sina haja ya kutoa mifano maana hakika unatambua hilo na hata katika mahojiano yenu kwenye hiyo clip na Nyanda wamejaribu kuligusia hilo. Lakini pili inawezekana umekuja na bandiko hili kwa sababu sasa katika fani yako ya uandishi unajua kabisa sasa hutakuwa na jipya, hutakuwa Pasco yule tuliyemzoea maana hadhira yako tayari umeipoteza sasa unafikiri utafanya nini zaidi ya kukomaa huko ulikoonesha muelekeo wako.
Kazi uliyokuwa unaifanya kaka Pasco watanzania tulikuhitaji zaidi ya huko ulikofikiri kwenda. Kiukweli "umebugi" kwa kiswahili chetu. Angalia sana utajikuta unapoteza kila kitu ambacho wewe umetumia muda mrefu wa maisha yako kukitengeneza. Nakusihi sana mkuu Pasco kabla mambo hayajaharibika sana "tuombe radhi" hadhira yako maana wewe ni mwanadamu kukosea ni kawaida nasi tutakusamehe tu na urudi kuwa Pasco yule tuliyemzoea na tunayemhitaji zaidi. Nakuhakikishia heshima yako itabaki juu zaidi siku zote hata Mungu atakapokuchukua historia yako itaandikwa nchini kuliko huko unakotaka kwenda. Tatizo la hii nchi mkuu ni mfumo na sio mtu mmoja mmoja ndio maana hata Magufuli hataweza kama ana nia thabiti ila atapita na atayaacha tu kama yalivyo. Ila wewe una silaha kubwa ambayo ni kalamu. Andika Pasco na maandishi yako yataishi siku zote.
Asalaam!
Wewe ni genius wa jf.Wanabodi,
Dr. John Pombe Joseph Magufuli ndiye mshindi wa urais Tanzania kwa mwaka huu wa 2015-2025 and may be more!, anayesubiri tuu kutangazwa rasmi na kuapishwa. Nimesema 2015 -2025 sio kwa bahati mbaya as if hakuna uchaguzi 2020, no!, nimesema 2015-2025 kwa sababu huu ndio ukweli ninaouona mimi muona mbali ni kuwa kwa nature ya udikiteta huu wa Magufuli, kama hautakuwa countered through proper channels kupitia instruments zilizopo, then, mwaka 2020 hakutakuwa na uchaguzi wa rais wala uchaguzi wa vyama vingi!, bali litafanyika igizo tuu la uchaguzi, ambao utakuwa ni uchaguzi wa chama kimoja tuu CCM!. Uchaguzi mwingine wa vyama vingi wa rais na wabunge ni 2025 tena only if kama hatautumia udikiteta wake kubadili katiba kwa mlango wa nyuma, by proxy ili aendelee kama Mkuruzinza, Kagame, Museveni na Mugabe!. (Madikiteta hubadili katiba zao by proxty kwa kutumia watu wengine ndio waseme, wao watasema hawabadili, lakini wananchi wakisema na kuandamana, then they they grant the wishes of the people).
Kuna walioshindana nae ndani ya CCM, hawa ni washindani, kati nyao kuna waliopingana nae, hawa ni wapingani, kuna waliopigana nae vikumbo!, hawa ni wapigani, na kuna waliopingana naye kisiasa, hawa ni wapinzani. Kwa vile sasa mshindi ni Dr. John Pombe Joseph Magufuli, hii inamaanisha, hao wengine wote who were fighting, they tried to fight him but couldn't beat him!, as a result they've lost the battle, hivyo as of now, wote walioshindwa, are all are the losses!. Kwenye unrepresentative democracy, the winner takes it all, and the loser standing small!. Kura ni zile milioni 8 tuu alizoshinda Magufuli!, zile milioni 6 za Lowassa are nothing!. Katika mazingira haya, ukiishashindwa unasimama pembeni, ama uendelee kulia na kuugumia maumivu ya kushindwa, au ukubali kushindwa, na kujipanga upya kwa mpambano unaofuata!.
Kuna huu msemo wa wahenga usemao, "if you can't beat them, join them!". Nawashauri makundi hayo yote walioshindwa, kwanza kukubali kushindwa, kwani asiyekubali kushindwa sio mshindani, hivyo natoa mwito kwa washindwa wote, ku surrender kwa kuweka silaha zao chini na to join him, sio kwa kupenda, but they have to join him because, there is no any other way out, or any options but they have either to join him and survive, or to fall out and perish!.
Hivyo hiyo ndio salama yao wakati wa kusikilizia kama atakuwa dikiteta kweli, the real dictator, or a benevolent one!. Ikitokea Magufuli kiwa the real one, yaani ni dikiteta kweli usipomjoin, umekwisha!, hivyo ikitokea Magufuli akawa dikiteta kweli, then Tanzania tunaelekea kwenye utawala wa totalitarian na authoritarian nakurudi kuwa nchi ya chama kimoja!. Hata akiwa a benevolent one, bado upinzani hatafurukuta hata kule kwenye ubunge na udiwani, wapinzani wataokarudi bungeni 2020 ni by personal merits only, as of now, namuona mpinzani mmoja tuu mwenye posibility ya kurejea bungeni 2020, huyu ni ZZK pekee, wapinzani wengine wote kurejea bungeni 2020 ni majaaliwa!.
Wito huu wa kumjoin rais Magufuli, unatolewa regardless ameshindaje na umeshindwaje!, iwe ni kwa ushindi halali, ushindi haramu, bao la mkono, etc, etc, kwenye uchaguzi, the end will always justify the means!, mshindi ni Magufuli, sasa tumpatie tuu kila aina ya ushirikiano wa kutosha kwa kum join him ili aweze kulitawala vizuri taifa letu hili.
Tena hapa mtawashuhudia baadhi ya wale ma-opportunists waliojiengua CCM kumfuata Edward Lowassa upinzani, wakitumaini Lowassa angeshinda lakini kwa vile Lowassa ameshindwa, na CCM ndio imeshinda, they'll see no more opportunities in Chadema, mtawashuhudia wakipiga magoti na kulamba matapishi yao kwa kurejea CCM!, because walijiunga upinzani just in search of opportunities tuu, now they see no more opportunities they expected kwenye opposition, hivyo watajilambia tuu matapishi yao na kujirejeleza zao nyumbani kwao CCM kama alivyofanya mwana mpotevu, na watapokelewa kwa shangwe hadi wengine kufanyiwa karamu!. Edward Lowassa mwenyewe, ili kuepuka aibu ya kurejea CCM, atastaafu rasmi siasa kisha atarejea CCM kimya kimya, ila akiwa na yeye hana aibu wala haoni kinyaa kulamba matapishi yake, na yeye atatangaza kurejea CCM, kisha soon atatangaza kujiuzulu siasa.
Wakati wa mchakato wa kumpata mgombea wa CCM nilipandisha uzi huu, Yajue Makundi 10 Top Ten wa CCM, Ambamo Watatoa Top 5,
Makundi hayo ni ..."The Top Ten who can make the worst dictators
Kundi la 8: The Top Ten who can make the worst dictators
Nikizungumzia kuhusu baadhi ya wagombea urais wa CCM, wakipita wana hatari ya ku make the worst dictators, John Pombe Magufuli was number 2 ya Rais who can make the worst dictator this country has ever had!.
Hoja kuwa Magufuli ni dictator haina mjadala, kwa watu wenye jicho la tatu, wanaona the fire on his eyes, and then fear is the weapon on his heart kwa kutoa hotuba za ukali kama anagomba!, ambayo ni kiashiria cha seriousness ya hasira ambayo inaweza kugeuka chuki na kupelekea visasi toka moyoni mwake, kwa kila atakayetofautiana naye!, na wenye sikio la tatu wanaisikia tone ya ukali wa ukatili kwenye sauti yake!, hii ni ishara kuwa huyu sio mtu wa masihara, watakao tofautiana nae, wanaweza kuumia au hata ...(God forbid). Kitu cha muhimu sana cha kufanya kwa sasa ni sisi Watanzania wote, katika umoja wetu, kwa imani kuwa ni Mungu ndio anaweka tawala za mataifa, Tanzania tumefanya uchaguzi mkuu huru na wa haki, Magufuli ndiye ameshinda kihaki na kihalali, then Magufuli ndio chaguo la Mungu kwa Tanzania, hivyo natoa wito kwa Watanzania wote wazalendo wa kweli kwa taifa lao na wenye mapenzi ya kweli na taifa hili, kumuombea tuu Magufuli kwa Mungu, tena kumuombea very seriously, maadamu ni Mungu ndiye aliyetupa Magufuli, then angalau Mungu huyu huyu amfanye kuwa ni a benevolent one ili huo udikiteta wake ulisaidie taifa letu kusonga mbele kiuchumi, kimaendeleo na kiustawi wa jamii japo is at a price of dead democracy!, vinginevyo akiwa the real one, tumekwisha!, tutajuta, mbele ya safari kutakuja kuwa na vilio na kusaga meno!.
Jakaya Kikwete ukiondoa mambo yake ya uswahili swahili, alikuwa ni mtu wa watu, ni mtu mwenye huruma sana iliyopitiliza kiasi cha kutafsiriwa kuwa Kikwete alikuwa ni Rais dhaifu, hivyo CCM ya Kikwete ilikuwa ni CCM dhaifu! hivyo Kikwete alibezwa, alitukanwa, na kuifanywa CCM, ni CCM ya mchezo mchezo, lakini CCM ya Magufuli itakuwa sio CCM ya mchezo mchezo, au CCM ya huruma huruma, itakuwa hakuna mchezo wala mswalie Mtume, hii ni CCM ya hapa kazi tuu!, CCM imara ni kitu hatari sana kwa majaaliwa ya upinzani!.
Upinzani Tanzania umeweza kushamiri kutokana na CCM lege lege, hivyo Magufuli akijenga CCM imara, huu upinzani lege lege uliopo nchini Tanzania hivi sasa, mwisho wake utakuwa ni 2020, Tanzania tunarudi kule kule kwenye nchi ya chama kimoja!. Ndio maana nimesema 2020 hakuna uchaguzi wa vyama vingi kwa rais na wabunge, kutafanyika tuu igizo la uchaguzi wa vyama vingi, lakini uchaguzi wenyewe haswa ni uchaguzi wa chama kimoja.
Kwenye uzi wangu huu, Miongoni Mwa Mazuri ya Kikwete: "Has Good Sense of Humour!, nilimzungumzia JK kuwa sifa kubwa iliyomfanya CCM impitishe ni cheko na bashasha zake!, hivyo JK tumemchekea, tumemdhihaki, tumembeza, tumemkejeli, hadi kumchezea sharubu kama babu na wajukuu zake huku yeye akicheka tuu na kuyaacha yapite. Lakini kwa Magufuli, sijui kama kutakuwepo kuchekacheka au kuchekeana, kubezana na kuchezeana, na kubembelezana, kwa Magufuli ni mambo serious kwa kwenda mbele na hakuna mchezo mchezo, ni kazi tuu!.
Wajameni japo kwa sasa naongea kama utani au mzaha, lakini hili ni angalizo muhimu sana kwa majaaliwa ya freedom of expression, freedom of speech, na freedom of press ya uhuru huu usio na mipaka tulionao sasa nchini mwetu, tukiwemo sisi humu jf, tulio enjoy wakati wa Kikwete, lakini mbele ya unpredictable dictator kama Magufuli, kiukweli kabisa huko tuendako, kama akiwa ni Magufuli yule yule tuliyemfahamu sisi, na kama hatabadilika, then ni mashaka matupu!, salama yetu hata sisi jf pia ni ili ku survive, inatibidi nasi tumjoin him kwa kumsifu kwa nyimbo na mapambio, vinginevyo....
Thanks God, mimi ni mmoja wa wana jf wachache, waliopata priviledge ya kujua huyu Magufuli aliibukia wapi na ilikuwaje kuwaje hadi yeye akawa ndie akawa mgombea wa CCM na sababu ni zipi zilifanya awe ni yeye. Ukilisoma bandiko hili ukazijua sababu zilizosababisha akawa Magufuli, labda utanielewa nazungumzia nini!.Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli!
Hivyo kwa nature na hulka ya udikiteta wa Magufuli, let's hope, kuwa zile sababu zilizopelekea kuwa mgombea wa urais wa CCM ndizo pekee (the ones and only) zitakazo weza kumcheck and balance him in between being a real dictator and a benevolent dictator vinginevyo hata hao CCM wanaoshangilia ushindi kwa sasa, akitokea kuwa a real one, hata CCM wenyewe nao pia watakuja kujuta!, therefore, to be on a safe side, it's better if you can't beat them, just join them, to be on a safe side!.
Wapinzani wote wakiwemo wana Chadema, wana UKAWA, na Watanzania wenzangu kwa ujumla, najua wengi wenu mlimtaka Lowassa, mmemkosa kwasababu Mungu hakumpangia!, na badala yake Mungu amempangia Magufuli, hivyo natoa wito wa "If you can't get what you want, just take what you get!", ukikosa ulichotaka wewe, then pokea ulichopewa na Mungu!, Magufuli ni chaguo la Mungu kwa Tanzania, tumkubali Magufuli kwa moyo mkunjufu, hivyo hivyo alivyo na udikiteta wake, tumpokee na kumpatia kila aina ya ushirikiano wote unaohitajika kumuwezesha kuiongoza vema nchi yetu Tanzania yetu. Tanzania sio nchi ya Magufuli wala Tanzania sio mali ya CCM, Tanzania ni ya Watanzania wote, ni nchi yetu sote, hivyo it can be done kama kila mmoja wetu will play his part!.
Sio tumjoin Magufuli kwa sababu sasa ndio tunampenda hivyo tumemkubali, no way, tumjoin Magufuli kwa kumkubali ndie the only one rais tuliyepatiwa na Mungu, hivyo we have duty and a responsibility to join him kwa lazima, tutake tusitake, tupende tusipende, yeye ndie rais wetu hivyo we have to join him and support him because we have to!.
Kwa kuweka tuu kumbukumbu sawa, hata mwaka 2010 Chadema waliposhindwa, walisusia matokeo walijidai kunsusa na kujidai hawamtambui JK, lakini hatima yake ilikuja kuwa hivi
Chadema Yakubali Yaishe! Yamtambua Rais!, Yampongeza!
Bandiko hili liliwaudhi sana Chadema humu jf, Mwana JF, Regia Mtema (RIP) akanitaka niombe radhi
Pasco Tuombe radhi CHADEMA-Umemwelewa Vibaya ....
Radhi iliombwa
Nawaomba radhi wana CHADEMA, nilimwelewa vibaya ...
This same, same scenario inataka kujirudia kwa Chadema na Ukawa kujidai kutaka kumsusia Magufuli!. Kuna vitu mtu unaweza kususa na kuna vitu huwezi kususa!,kwa hata 2010 Chadema walisusa lakini tukawashuhudia makamanda wakifakamia chai, juice na vitafunwa vya ikulu, huku meno 32 nje kwa vicheko, hivyo hata awamu hii ya Magufuli, msije kushangaa Mbowe akiwaongoza tena makamanda, akiwemo Lowassa kubisha hodi ikulu sio tuu kwenda kumpongeza rais Magufuli, bali mtashuhudia makamanda maarufu ambao waliaminiwa sana na upinzani, wakiviacha vyama vyao na kujiunga CCM kumfuata Magufuli, japo wote wanatoa visingizio na kudai wanamfuata Magufuli kwa sababu wanampenda na kumkubali sana, hivyo wanajiunga CCM kuunga mkono juhudi zake, lakini amini usiamini sio wote, watajiunga CCM kwa sababu wanamkubali rais Magufuli au wanajiunga CCM ili kuunga mkono juhudi, wengine watamfuata Magufuli huko CCM, kwa sababu, hawana jinsi, they have too!.
Paskali
Duh...!. Mkuu Luther Tz, maneno makali sana haya!. Life is a struggle, survival is only for the fittest. We all struggle to survive, and not a desire to be an affluent, ningekuwa ni affluent seeker, ungeona kazi yangu ni kusifu tuu!. I'm not!.Ulinambia kwamba if you can not beat them, then join them. Lakini, mimi nadhani ni vema ukawa na msimamo wako binafsi. Mayalla, we have our morals, our values and principles. Government regimes may change but you need to stand by your values and principles. Do not join a nonsensical regime simply because you desire to become an affluent individual. Remain an upright person regardless of the regime.
Duh...!. Mkuu Luther Tz, maneno makali sana haya!. Life is a struggle, survival is only for the fittest. We all struggle to survive, and not a desire to be an affluent, ningekuwa ni affluent seeker, ungeona kazi yangu ni kusifu tuu!. I'm not!.
We have to survive, na ili ku survive, one has to be fit. To be fit one has to be adaptive to the changing environments, zama zimebadilika, lazima na wewe ubadilike kuendana za mabadiliko, vinginevyo you will just perish like a thin air!.
P
What!!The prospect of CCM being in power for almost 60 years makes me sick to my stomach!
Not only that.
The fact that Magufuli is the least qualified of all past CCM presidential nominees and therefore the likely next president for the next 10 years is hard to bear and unforgivably cringeworthy!
Ben SAA8,ALFONCE MAWAZO,aquilina,azory,risasi 16 lisu,mdude jela. etc etc etc.jpm oyeeHakuna dikteta hapa Tanzania,kama wapinzani kumalizwa nguvu ni kwa sababu ya uchapakazi wa JPM na chama chake CCM kilichompa ridhaa ya kuwa mkuu wa nchi. Hatawali kwa presidential decrees bali kwa mujibu wa katiba na sheria.
Hiyo freedom of speech unayoitaka kama kipindi cha Jakaya ni ipi? Kutukana viongozi? Kupotosha umma? Kama JPM amekosea akosolewe kwa lugha ya staha. Sio kwa matusi na kejeli.
Mfano Ansbert Ngurumo na kundi lake kule Twitter unadhani wangekuwa Usa wangekuwa uraiani?