Elections 2015 If you can't beat them, join them! He is the worst dictator. Let's pray for him!

Pascal mtoto wa RSO wewe ni mkali wa analysis waache wakuchukie na wakuone adui lakini wewe ni hatari moto fire. Naona uchaguzi bosheni huoooo umeshafika naomba kupata uchambuzi je atakuwa kama mtu mrefu au hiyo awamu ya pili ikiisha ataachia au mpaka CCM waamue asiwe kama watawala wengine majirani.????
 
Aongoze hadi atosheke jamani mbona mna wivu ivo
 
Nafanya tuu rejea kuwathibitishia walionibeza hatimaye leo yametimia.
If you can't beat them, join them.
P

Na yataendelea kutimia mpaka 2025! Hapo tuombee tu akubali kuiheshimu katiba ili aondoke kwa amani maana wengi tumemchoka. Kinyume na hapo, hatutakuwa na utofauti na majirani zetu kama Rwanda, Uganda, nk. Kiufupi maisha yamekuwa magumu sana.

Nikilinganisha enzi za JK na sasa, naona tofauti kubwa sana ya kimaisha. Wachache wanafurahia, huku tulio wengi tukisononeka.

Hongera sana Mkuu kwa uzi ulioenda shule. Hata mimi nilimchukulia JK kama mswahili hivi! Ila alikuwa ni Muungwana sana aliyewajali Watanzania wote pasipo kuwabagua. Kiukweli alikuwa bora sana kuliko huyu tuliye naye.

Yeye anaamini katika ubabe, vitisho, kusujudiwa, kutukuzwa, kuogopwa, kichwa chake, nk.
 
Because of his incompetency,au wenzangu mmeshau incompetent walimu huko secondary walivyokuwa wanakuwa wakali Kama pilipili huku wajitia ujuaji mwingi?
 
Hakuna dikteta hapa Tanzania,kama wapinzani kumalizwa nguvu ni kwa sababu ya uchapakazi wa JPM na chama chake CCM kilichompa ridhaa ya kuwa mkuu wa nchi. Hatawali kwa presidential decrees bali kwa mujibu wa katiba na sheria.
Hiyo freedom of speech unayoitaka kama kipindi cha Jakaya ni ipi? Kutukana viongozi? Kupotosha umma? Kama JPM amekosea akosolewe kwa lugha ya staha. Sio kwa matusi na kejeli.
Mfano Ansbert Ngurumo na kundi lake kule Twitter unadhani wangekuwa Usa wangekuwa uraiani?
 
Mkuu Real Patriots, asante kwa hoja yako hii na kiukweli ni ya kizalendo sana, nami nimeguswa, ila ndio hivyo tena, nikiwa nje nimejitahidi kusaidia sana, lakini nikagundua, ukiwa ndani, miongoni mwao, utaweza kusaidia zaidi.

Pole for thinking I have let you down, but take it from me, if you are within, you can real help kwa kanuni ya fimbo iliyo mkononi ndio iuwayo nyoka. And if you tried to fight, and every time you try, you are beaten, the best option is, if you can't beat them, join them!.
I have joined them.

P
 
Wewe ni genius wa jf.
 
Duh...!. Mkuu Luther Tz, maneno makali sana haya!. Life is a struggle, survival is only for the fittest. We all struggle to survive, and not a desire to be an affluent, ningekuwa ni affluent seeker, ungeona kazi yangu ni kusifu tuu!. I'm not!.
We have to survive, na ili ku survive, one has to be fit. To be fit one has to be adaptive to the changing environments, zama zimebadilika, lazima na wewe ubadilike kuendana za mabadiliko, vinginevyo you will just perish like a thin air!.

P
 
Sycophancy has become the best survival strategy for men without principles.
 
What!!
 
Ben SAA8,ALFONCE MAWAZO,aquilina,azory,risasi 16 lisu,mdude jela. etc etc etc.jpm oyee
 
John Pombe Magufuli was number 2 ya Rais who can make the worst dictator this country has ever had!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…