If you can't beat them, join them: Naziona dalili za CCM kuja na wazo la Serikali ya mseto huko mbeleni

Dalili za kusarenda.Ohh Serikali ya mseto na nani na kwa nini?Kila mtu ashinde mechi zake hakuna kubebana.
 
Watu wanaotaka CCM itoke wapo wengi sana bahati mbaya vyama vya upinzani ni USELESS , HOPELESS NA MALOFA.

Hakuna mtu wala chama chenye monopoly ya upinzani Tanzania. Hakuna bahati mbaya. Uwanja uko wazi.

Hao wengi wanaotaka CCM itoke madarakani basi wana wajibu wa kuwa na vyama vya upinzani makini kupambana na CCM. Labda kama nao ndio hao hao unaowaita useless, hopeless na malofa. A paradox.
 
Bado CCM ni chama bora kabisa Tanzania ukilinganisha na vyama mbadala vilivyopo. Hakuna hata chenye dalili ya kuikaribia kwa sasa. Kinachofanyika ni kufanya reconciliation kwa sababu hii nchi ni ya watanzania wote, na raha ya mechi kuwe na uwanja sawa, CCM inataka ipige goli zake safiiii bila malalamiko kuwa wanacheza rafu.

Kuhusu CCM kuua vyama vya upinzani, CCM haina sababu ya kuua vyama vya upinzani, iviue halafu icheze na nani sasa ? Simba inakuwa ni Simba kwa sababu kuna yanga, mwanaume ni mwanaume kwa kuwa kuna mwanamke, na mwanga ni mwanga kwa kuwa kuna giza n.k. dhana ya chama A kuua chama B ni dhana fulani ya kitoto.
Musa weka uchaguzi wa huru na haki, then nione Kama utarudi hapa na ngonjera hizi
 
Mwendazake alifanikiwa kuua upinzani na angeendelea kuwa hai kwa miaka 10 mingine upinzani ungekuwa umekufa kabisa..

Kufa huwa ni mipango ya Mungu na sio kweli eti Kufa kwa JPM ulikuwa ushindi wa upinzani kana kwamba upinzani ndio ulipambana naye na kumdhidi nguvu mpaka kufa....HAPANA tuache uongo huu...

Upinzani wa Tanzania huwa unategemea huruma ya watawala ndio uweze kusurvive, sikuona strategy yeyote ya upinzani kupambana na JPM zaidi ya kutegemea msaada wa mabeberu ambao nawao hupima maslahi yao kwanza...

Magufuli hakuua upinzani kwa uwezo wa kisiasa, bali kwa kiburi cha madaraka. Wapinzani hawakuwa na jinsi zaidi ya kutegemea wazungu, kwani wapinzani hawana silaha za kupambana na vyombo vya dola. Hiki unachoona ni sifa kuua upinzani kwa ulevi wa madaraka, kinaweza kutokea na kuiua CCM ndani vya muda mfupi sana. Leo hii ikitokea nchi ikapinduliwa kisha CCM ikapigwa marufuku kufanya siasa ni wazi itakufa, na sio kwamba itakufa kwa kushindwa kufanya siasa ama kupoteza ushawishi, bali mbinu zitazotumika sio njia sahihi za kuua chama cha siasa. Kwahiyo ukimsifia Magufuli kuua upinzani lazima uujue ukweli huo.
 
Upinzani nchi hii umekomaa na kuota mizizi kiasi kwamba ni vigumu kufuta upinzani hapa nchini na ndio maana Mwendazake alifeli vibaya katika adhima yake ya kutaka kuua upinzani(kafa yeye kaacha upinzani ukiwa imara kuliko jana).

Kwasababu CCM hawako tayari na pia hawawezi kushindana na upinzani (CHADEMA) katika uchaguzi ulio huru na wa haki, option pekee waliyobaki nayo ni kuwashirikisha wapinzani (hasa CHADEMA) katika kuunda serikali huko mbeleni .

Kinachoitwa maridhiano leo hii kesho kinaweza kuwa ni mwanzo wa kufikia makubaliaona ya kuwa na serikali ya mseto kupitia katiba mpya au mabadiliko madogo ya katiba tuliyonayo leo hii.

CCM kukaa na wapinzani sio kama wanapenda, bali wanatambua nguvu waliyonayo wapinzani na hapo ndipo ule msemo wa "if you can't beat them, join them" unapopata nafasi.

Hata kama kutakuwa au kuna shinikizo la Wahisani, shinikizo hilo ni matokeo ya nguvu waliyonayo wapinzani na si vinginevyo kwani huwezi weka shinikizo kama hilo pasipo kuwa na upinzani wenye nguvu.

All in all, pamoja na kutoaminiani kuliopa saaa katika mazungumzo yanayoendelea baina ya CHADEMA, CCM na serikali, naiona serikali ya mseto ikizaliwa huko mbeleni huku Mbowe na Mama Samia wakiingia katika historia ya Taifa letu.

Muda utahibitisha.

Nionavyo. CHADEMA wakiingia serikali ya mseto na CCM kabla ya MAREKEBISHO YA MSINGI ya katiba hayajafanyika itakuwa ni usaliti mkubwa kwetu wananchi. Kwa sababu kitu pekee kitakachowachagiza CCM kutaka kukimbilia serikali ya mseto na CHADEMA kabla kazi ya katiba mpya haijakamilika ni kutaka kubakiza status quo itakayohakikisha madaraka ya Rais juu ya mihimili mingine na vyombo vya dola yanabaki kama yalivyo.

Na mara CHADEMA wakishakuwa ndani ya ushirika huo wa kihuni basi itakuwa ni dana dana kwa kwenda mbele na chama kufanyiwa michezo ya kimkakati hadi kibakie kivuli chake pekee. Angalia ACT previously CUF huko Zanzibar. Keep your enemies closer…

Sioni CHADEMA watakuwa na lengo gani la maana kuharakia kukimbilia serikalini ambako hawatakuwa na impact yoyote na kujiweka kwenye extremely vulnerable position ya kunyongwa taratibu kisayansi? Uroho wa madaraka? Sifa za kijinga? Sorry, it won’t cut.
 
Kama ungeniuliza Mimi ningejibu kwamba kama serikali ya mseto au ya umoja wa kitaifa imewezekana sehemu moja ya muungano basi hata sehemu ya pili ya muungano inawezekana pia !! Ila Mimi naomba kufahamishwa je serikali za namna hiyo huwa ni kwa faida ya wananchi wote au kwa viongozi tu ?? AULIZAYE ATAKA KUJUA !!
1. Serikali ya muundo wowote ktk nchi yoyote duniani na iliyopatikana kwa njia yoyote siku zote iko kwa ajili ya wananchi wa nchi husika..

2. Hakuna VIONGOZI pasipo kuwepo na SERIKALI na NCHI/TAIFA. Kila nchi lazima iwe na serikali na serikali lazima iwe na viongozi. Serikali ziko kwa ajili ya nchi na wananchi..

3. Uadilifu, uaminifu na commitment ya VIONGOZI wa SERIKALI katika NCHI ni determinant factor kubwa ya uwepo wa UTAWALA BORA (Good governance) ktk nchi husika..

4. Utawala bora (good governance) huzaliwa na siasa bora. Siasa na utawala bora, huwakikishia watu (wananchi) haki zao kama binadamu, amani, utulivu na uhuru wa kushiriki shughuli zao za kila siku za kujitafutia mkate na maendeleo yao..

5. Uongozi hutafutwa kupitia struggle za kisiasa. Siasa chafu huingiza madarakani viongozi wasiofaa na wenye tamaa ya madaraka tu, wasiojali utu wala wananchi..

6. Hii ndiyo situation ya Tanzania kwa sasa. Na ndiyo situation ambayo Rais Samia anajaribu kuiweka sawa. Na kunapokuwa na nafasi ya wanasiasa kukaa mezani na kuona walipokosea na kurekebisha inakuwa kwa faida ya wananchi. Lazima tuunge mkono juhudi hizo..

## Kwa sababu MAFAHALI wawili [CHADEMA na CCM] wagombanapo, obviously ziumiazo ni NYASI ambao ni WANANCHI...

## Kwa kweli, it doesn't matter whether watakuja na serikali ya mseto au mchanyato. Kinacho - matter ni LAZIMA WAPATANE for the PEACE and LOVE to prevail...

Asante. Natumaini nimejibu swali lako na ofcoz nimekuongeza na mengine pia..
 
Maelezo mazuri sana !! Nimefahamu vizuri

Nashukuru nimekuelewa vizuri sana ! Na kwenye namba tano ndio imenifurahisha zaidi !! Ubarikiwe !!
 
Bado CCM ni chama bora kabisa Tanzania ukilinganisha na vyama mbadala vilivyopo. Hakuna hata chenye dalili ya kuikaribia kwa sasa. Kinachofanyika ni kufanya reconciliation kwa sababu hii nchi ni ya watanzania wote, na raha ya mechi kuwe na uwanja sawa, CCM inataka ipige goli zake safiiii bila malalamiko kuwa wanacheza rafu.

Kuhusu CCM kuua vyama vya upinzani, CCM haina sababu ya kuua vyama vya upinzani, iviue halafu icheze na nani sasa ? Simba inakuwa ni Simba kwa sababu kuna yanga, mwanaume ni mwanaume kwa kuwa kuna mwanamke, na mwanga ni mwanga kwa kuwa kuna giza n.k. dhana ya chama A kuua chama B ni dhana fulani ya kitoto.
Kwenye ubora wa ccm. Hapa ndugu yangu Azizi umechemka.
 
Upinzani nchi hii umekomaa na kuota mizizi kiasi kwamba ni vigumu kufuta upinzani hapa nchini na ndio maana Mwendazake alifeli vibaya katika adhma yake ya kutaka kuua upinzani(kafa yeye kaacha upinzani ukiwa imara kuliko jana).

Kwasababu CCM hawako tayari na pia hawawezi kushindana na upinzani (CHADEMA) katika uchaguzi ulio huru na wa haki, option pekee waliyobaki nayo ni kuwashirikisha wapinzani (hasa CHADEMA) katika kuunda serikali huko mbeleni .

Kinachoitwa maridhiano leo hii kesho kinaweza kuwa ni mwanzo wa kufikia makubaliaona ya kuwa na serikali ya mseto kupitia katiba mpya au mabadiliko madogo ya katiba tuliyonayo leo hii.

CCM kukaa na wapinzani sio kama wanapenda, bali wanatambua nguvu waliyonayo wapinzani na hapo ndipo ule msemo wa "if you can't beat them, join them" unapopata nafasi.

Hata kama kutakuwa au kuna shinikizo la Wahisani, shinikizo hilo ni matokeo ya nguvu waliyonayo wapinzani na si vinginevyo kwani huwezi weka shinikizo kama hilo pasipo kuwa na upinzani wenye nguvu.

All in all, pamoja na kutoaminiani kuliopa saaa katika mazungumzo yanayoendelea baina ya CHADEMA, CCM na serikali, naiona serikali ya mseto ikizaliwa huko mbeleni huku Mbowe na Mama Samia wakiingia katika historia ya Taifa letu.

Muda utahibitisha.
Hakuna hicho kitu CDM washaliwa kichwa kujifanya kwenda peke yao kumwona Raisi
 
Mkuu kama umeona hivyo leo umechelewa sana..Mimi nimeanza kuona kuanzia mwaka 2015, kwa mtazamo wangu uchaguzi ule Lowassa alimshinda Magufuli at least kwa 55% (Lowassa) na 45%(Magufuli), japo CCM walikuwa na dola, pesa na jeshi, lakin watu waliwakataa. Uchaguzi wa 2020, japo Magu alifunga,aliua, alinununua upinzani na kupiga marufuku ya shuguli zote za kisiasa, bado Lissu alimsumbua sana kama sio kumshinda. Hivyo inaonekana kabisa CCM haina watu tena. Option itakayofuata ni serikali mseto. Maana CCM hawawezi kukubali kuondoka ikulu moja kwa moja. Watakuja kuondoka baadae, it's a matter of time. CCM walikosea wapi? Walikosea muda mrefu toka 2012 pale walipoacha ushauri wa Kikwete kuwa waache kutegemea polisi kufanya siasa, badala yake waingie mtaani kushawishi watu. Magu ndo akawadekeza kabisa, they even don't know what is politics anymore ukiwaondolea polisi na usalama wa taifa. End of a regime
 
Bado CCM ni chama bora kabisa Tanzania ukilinganisha na vyama mbadala vilivyopo. Hakuna hata chenye dalili ya kuikaribia kwa sasa. Kinachofanyika ni kufanya reconciliation kwa sababu hii nchi ni ya watanzania wote, na raha ya mechi kuwe na uwanja sawa, CCM inataka ipige goli zake safiiii bila malalamiko kuwa wanacheza rafu.

Kuhusu CCM kuua vyama vya upinzani, CCM haina sababu ya kuua vyama vya upinzani, iviue halafu icheze na nani sasa ? Simba inakuwa ni Simba kwa sababu kuna yanga, mwanaume ni mwanaume kwa kuwa kuna mwanamke, na mwanga ni mwanga kwa kuwa kuna giza n.k. dhana ya chama A kuua chama B ni dhana fulani ya kitoto.
Kama CCM ni chama safi na imara na kinapendwa na watu. Kwanini kisiruhusu katiba mpya na tume huru na ya haki isimamie uchaguzi, watu watoke majumbani wakapige kura tuone?! Inaogopa nini?
 
Hii nchi upinzani bodo Sana.. na wananchi wengi pia bado Sana elimu ya uraia.
Safari bado ndefu Sana.

Hiyo nikauli ya kila siku. Ingekuwa Upinzani bado Sana uchaguzi wa 2020 na 2019 usingeharibiwa.
 
watoe katiba mpya kwanza, hayo mengine ya tutavukaje tutayajua tukishafika mtoni.
 
You being one of the lofas and useless citizen
Hahaha.. siwezi kuwa mmoja wao wakati mimi siyo mwanasiasa. Hii inawahusu wanasiasa kuliko wananchi wa kawaida. Kila mtu afanye kazi yake na unapofeli usipeleke lawama sehemu nyingine. Unaweza vipi kuwa mwanasiasa wa chama kikubwa cha upinzani unashindwa hata kushawishi watu kufanya mgomo au maandamano. how?
 
Upinzani nchi hii umekomaa na kuota mizizi kiasi kwamba ni vigumu kufuta upinzani hapa nchini na ndio maana Mwendazake alifeli vibaya katika adhma yake ya kutaka kuua upinzani(kafa yeye kaacha upinzani ukiwa imara kuliko jana).

Kwasababu CCM hawako tayari na pia hawawezi kushindana na upinzani (CHADEMA) katika uchaguzi ulio huru na wa haki, option pekee waliyobaki nayo ni kuwashirikisha wapinzani (hasa CHADEMA) katika kuunda serikali huko mbeleni .

Kinachoitwa maridhiano leo hii kesho kinaweza kuwa ni mwanzo wa kufikia makubaliaona ya kuwa na serikali ya mseto kupitia katiba mpya au mabadiliko madogo ya katiba tuliyonayo leo hii.

CCM kukaa na wapinzani sio kama wanapenda, bali wanatambua nguvu waliyonayo wapinzani na hapo ndipo ule msemo wa "if you can't beat them, join them" unapopata nafasi.

Hata kama kutakuwa au kuna shinikizo la Wahisani, shinikizo hilo ni matokeo ya nguvu waliyonayo wapinzani na si vinginevyo kwani huwezi weka shinikizo kama hilo pasipo kuwa na upinzani wenye nguvu.

All in all, pamoja na kutoaminiani kuliopa saaa katika mazungumzo yanayoendelea baina ya CHADEMA, CCM na serikali, naiona serikali ya mseto ikizaliwa huko mbeleni huku Mbowe na Mama Samia wakiingia katika historia ya Taifa letu.

Muda utahibitisha.
Point of correction we fought against ccm and we won kwahiyo hapa ni kwamba tunapambana na dola na sio ccm sasa kwakuwa dola inapower ndio ni sahihi kusema if you can't fight executive join it lakini sio ccm : ccm tulishaishinda zamani.
 
Uko sahihi kwa asilimia zote.
 
Back
Top Bottom