Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
- Thread starter
- #61
Bado unabisha?Leo Mama Samia anahutubia siku ya wanawake akiwa wapi?Hii nchi upinzani bodo Sana.. na wananchi wengi pia bado Sana elimu ya uraia.
Safari bado ndefu Sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado unabisha?Leo Mama Samia anahutubia siku ya wanawake akiwa wapi?Hii nchi upinzani bodo Sana.. na wananchi wengi pia bado Sana elimu ya uraia.
Safari bado ndefu Sana.
Yes, infiltration.....ccm inaingia katika blood vessels za CDM, na hakika hamtaitoa bila CDM kuamua kufa, kwa kuwa huwezi kukitoa kilicho ndani ya mishipa ya damu bila kufanya uamuzi wa kufaUpinzani nchi hii umekomaa na kuota mizizi kiasi kwamba ni vigumu kufuta upinzani hapa nchini na ndio maana Mwendazake alifeli vibaya katika adhma yake ya kutaka kuua upinzani(kafa yeye kaacha upinzani ukiwa imara kuliko jana).
Kwasababu CCM hawako tayari na pia hawawezi kushindana na upinzani (CHADEMA) katika uchaguzi ulio huru na wa haki, option pekee waliyobaki nayo ni kuwashirikisha wapinzani (hasa CHADEMA) katika kuunda serikali huko mbeleni .
Kinachoitwa maridhiano leo hii kesho kinaweza kuwa ni mwanzo wa kufikia makubaliaona ya kuwa na serikali ya mseto kupitia katiba mpya au mabadiliko madogo ya katiba tuliyonayo leo hii.
CCM kukaa na wapinzani sio kama wanapenda, bali wanatambua nguvu waliyonayo wapinzani na hapo ndipo ule msemo wa "if you can't beat them, join them" unapopata nafasi.
Hata kama kutakuwa au kuna shinikizo la Wahisani, shinikizo hilo ni matokeo ya nguvu waliyonayo wapinzani na si vinginevyo kwani huwezi weka shinikizo kama hilo pasipo kuwa na upinzani wenye nguvu.
All in all, pamoja na kutoaminiani kuliopa saaa katika mazungumzo yanayoendelea baina ya CHADEMA, CCM na serikali, naiona serikali ya mseto ikizaliwa huko mbeleni huku Mbowe na Mama Samia wakiingia katika historia ya Taifa letu.
Muda utahibitisha.
Leo mnaumbuka.Ni mawazo yako tu ya kimbowe mbowe ya kilaghai. Mkiambiwa siasa hamziwezi mnaanza kulialia.
Kwani kuhutubia ndio serikali ya mseto?Bado unabisha?Leo Mama Samia anahutubia siku ya wanawake akiwa wapi?