If you can't beat them, join them: Naziona dalili za CCM kuja na wazo la Serikali ya mseto huko mbeleni

Hii nchi upinzani bodo Sana.. na wananchi wengi pia bado Sana elimu ya uraia.
Safari bado ndefu Sana.
Bado unabisha?Leo Mama Samia anahutubia siku ya wanawake akiwa wapi?
 
Yes, infiltration.....ccm inaingia katika blood vessels za CDM, na hakika hamtaitoa bila CDM kuamua kufa, kwa kuwa huwezi kukitoa kilicho ndani ya mishipa ya damu bila kufanya uamuzi wa kufa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…