If you want long lasting relationship, usiguse simu ya mpenzi wako

kwanini anichunguze?. Mimi na mke wangu, kama nipo nje simu yangu anapokea na ya kwake pia napokea. Hatukupanga hivyo ila tulijikuta ktk hali hiyo. Naamini kuwa swala ni uwazi utakuweka huru zaidi.
hahahahahaaa!!
nimezeeka sasaaaa!!! nimezeeka sasaaaaa!!!

Kama ndo testing method yako hiyo basi ww mwepesi saaaana
mimi interview ya kwanza kama mtu anataka siriaz relationship na mimi nikae na simu yake siku tatu net usiku na mchana

Naunga mkono hoja simu hiozi zimeharibu sana ndoa , wewe wadhani kwa nini ndoa za zamani zilidumu kwan kama ni cheating mbona ilikuwapo.Tatizo la sasa simu zinaweza kukudanganya ukakuta unagombana na kila mtu.

Me too!
Ukiyatafuta makosa kwenye relations utahaona tu; kwani utamagnify hata kamini-kosa; and what a better place to look for makosa than Simu ya mkononi!

Umeona eeh, thank u very much MOTHER INLAW

Me too!

Ukiyatafuta makosa kwenye relations utahaona tu; kwani utamagnify hata kamini-kosa; and what a better place to look for makosa than Simu ya mkononi!
Umeona eeh

Nakubaliana nawe mkuu. Kama mnafichana simu si mwili mmoja nyie. Mie lazima kuwe na uwazi wa simu kati yetu, maisha ya wacwac yanini?

Naamini mpenzi/mume/mke anatakiwa awe rafiki yako wa kwanza kama kuna usiri kati yenu lazima relationship yenu ina walakini .

Nakubaliana nawe mkuu. Kama mnafichana simu si mwili mmoja nyie. Mie lazima kuwe na uwazi wa simu kati yetu, maisha ya wacwac yanini?
Simu umesajili jina la nani?

Naamini mpenzi/mume/mke anatakiwa awe rafiki yako wa kwanza kama kuna usiri kati yenu lazima relationship yenu ina walakini .

Neno Chauro.
Kama huna vimeo huko kwenye simu unaficha nini? Kama unajiamini utamwacha afanye chochote na simu yako na yeye kama anaamini hana vimeo wala hata bebana na simu hadi bafuni.
Siri? My foot...

hiyo idea..... Kucheki simu ya partnee, especially incopartible ni keleb kabisa

Thanks ndio ukweli watu wanoukimbia na kusingizia simu zimeleta matatizo wakati sisi wenyewe ndio wenye matatizo kama unajiamini na nimuaminifu huwezi ficha simu yako sababu kila jambo unalofanya litakuwa wazi kwa mwenzako.

Neno Chauro.
Kama huna vimeo huko kwenye simu unaficha nini? Kama unajiamini utamwacha afanye chochote na simu yako na yeye kama anaamini hana vimeo wala hata bebana na simu hadi bafuni.
Siri? My foot...

Naamini mpenzi/mume/mke anatakiwa awe rafiki yako wa kwanza kama kuna usiri kati yenu lazima relationship yenu ina walakini .

Natamani Mungu akupe uwezo wa kujua kila analoliwaza mwenzi wako (to hear his thoughts), maana hump ndipo kuna siri. Na Mungu ana maana yake kuruhusu uwepo wa siri! Sijui wewe lkn mahusiano mengi huwa yanashake na unafikia mahali unajuta kuwa ndani yake; imagine while u r in that situation mwenzako anajua what is going on kwenye akili yako!

Area nyingine ni wakati wa love making, again sijui wewe but kwangu mimi sometimes l have to think about somebody else au a certain fantasy for me to come! Imagine angeweza kuread my mind!

Ukiyatafuta matatizo utayapata tu! Na kama unataka relationship yako idumu, usiyatafute!!!! Sawa mdogo wangu!

QUOTE=bebii;2446412]mimi interview ya kwanza kama mtu anataka siriaz relationship na mimi nikae na simu yake siku tatu net usiku na mchana[/QUOTE]

Mhhh hili sharti ni la kwanza kunitoa baru. Hata saa moja tuu siruhusu m

Simu umesajili jina la nani?

Sio swala la usajili Musimo au la umiliki. Hata kama simu ni yangu au yake, kusiwe na usiri wowote, hii ni ishara ya cheating, na kila mtu kutomruhusu mwenzake ni kuhalalisha cheating.

Naunga mkono hoja simu hiozi zimeharibu sana ndoa , wewe wadhani kwa nini ndoa za zamani zilidumu kwan kama ni cheating mbona ilikuwapo.Tatizo la sasa simu zinaweza kukudanganya ukakuta unagombana na kila mtu.

Sasa unafikiri wake/waume hawakujua kama wanakuwa cheated? mbona fumanizi zilikuwepo sana tu, mitoto ya nje kibao tu, hapa suala si kujua nasalitiwa, ni suala la purity, uaminifu na mshikamano. Inakera unapoliachia limwizi linajinafasi kwa sms na kupiga anytime linapotaka, hata bedtime na wakati mwingine linakutukana na kukutukana, masms ya mapenzi kibao, ohhh wewe ni mkali, nimefurahia game, pumbavu lazima kuwe na limit bana.

Jamani haina maana kuwa mfungwa pale unapokuwa kwenye relationship. Jamani wote tunajua hapa tuna marafiki wa kawaida kbs na tunaongea mambo ya kawaida ambayo tunajua kbs hawa wanaoitwa wapenzi wetu wakiziona mgogoro wake ni balaa. Now how do we avoid this?

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…