Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Mi ukigusa ya kwangu unakufa kwa PRESSURE
Kuna nini kwenye simu yako?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi ukigusa ya kwangu unakufa kwa PRESSURE
Mama huu mtihani mbona balaa utampata kweli atakaefuzu? Sana sana labda utaishia kupigwa changa la macho kwa kupewa simu yenye line mpya ambayo hata haijulikani na watu wengine labda mama na baba na ndugu wa karibu ndo wanaijua na obvious hutojua nyeti zote unazotaka kuzijua.mimi interview ya kwanza kama mtu anataka siriaz relationship na mimi nikae na simu yake siku tatu net usiku na mchana
na wewe umkabidhi ya kwako siku 3 mfululizo. Ninachosema " MTAKAPORUDISHIANA KILA MTU NA SIMU YAKE UHUSIANO UTAKOMA HAPOHAPO" Leave pie as pie (3.14) if you want to stay long and safety.mimi interview ya kwanza kama mtu anataka siriaz relationship na mimi nikae na simu yake siku tatu net usiku na mchana
Dah kaka umeongea maneno makubwa sana hapaHEKIMA HII ICHUKUENI: kuku ni nyama tamu sana lakini ukiichunguza walahi hutaila kamwe. UAMINIFU katika mahusiano ni chini ya 20%. ndio maana jinsia ya kike haiwaorodheshi waume zao katika 1st of kin. ama atamwandika mama yake au mtoto wake. jiulize WHY? Kina chofanya tunakimbilia simu ni WIVU wa MAPENZI na SIO KINGINE. Mbona fedha hamuweki wazi?