If you want long lasting relationship, usiguse simu ya mpenzi wako

If you want long lasting relationship, usiguse simu ya mpenzi wako

naunga mkono hoja. naomba kuparaphrase kidogo tu. Ukitaka kuachana na mpenzi wako, soma simu yake! kazi na sababu zaa kuachana nae utazipata humo humo tena mapema kabisa!
mi nashangaa, simu sio kipimo cha upendo
 
<span style="font-family: comic sans ms"><font size="4">Hii ni ile ya Mmakonde sasa; &quot;Uchiteme wala uchimung'unye&quot;!!</font></span>
Hahahaa Ukichimama nchale, ukikaa nchale, ukikimbia nchale....
 
Whoz coln you at this time?
 
mimi namwachia simu yangu aiangalie anavyotaka muda wowote na hatopata kitu, infidelities hamna kunipigia simu, ni message tu, na message hizo nimeset zinaingia direct kwenye secret folder, ambalo huwezi kuliona, linafunguliwa kwa combination ya keys kadhaa, acha wewe bana ma teknolojia matamu
 
Dah thats CRIME AGAINST SOMEONES FEELINGS i see
 
"The more insecure you become, the more chance of being cheated increase"
 
mimi ni lazima niiguse simu yake lazima niwe aware...japo wanasema bata ukimchunguza sana huwezi kumla...lakini kwanini kitu nisikichunguze kama kuna uwezekano wa kupata madhara kwa kukila
 
mimi ni lazima niiguse simu yake lazima niwe aware...japo wanasema bata ukimchunguza sana huwezi kumla...lakini kwanini kitu nisikichunguze kama kuna uwezekano wa kupata madhara kwa kukila
No yaani madhara yanakuja pale unapoamua kukichunguza, bila hivyo walaa
 
mimi interview ya kwanza kama mtu anataka siriaz relationship na mimi nikae na simu yake siku tatu net usiku na mchana
<br />

Yes,hii nimeikubali hakika,hakuna haja ya kushusha viwango,lazima nikague simu yake tena bila kificho,bora uhusiano mfupi uliojengwa juu ya KWELI na UPENDO kulikoni Uhusiano wa Muda mrefu au Milele ambao umejaa Mashaka!!
 
Sasa nisipoikagua simu yake ntakagua nini? Bwana simu ndio msema kweli ukikuta inf.anajieleza kisipoeleweka tunamwagana. Lazma uwe jasiri, lazma akubali smtimes hasa wkend niwe PS wake napokea simu zote na msg zote nazisoma. Km ni wangu hakuna kuwekeana mipaka....kushney!
 
Ah ushamwagana na wangapi mpaka naw? Halafu we utafikiri kukagua simu ndo itakuwa njia ya kumzuia ufanya uzandiki wake. No itamfanya awe muongo zaidi na atafute njia mbadala ya kukuavoid
 
No yaani madhara yanakuja pale unapoamua kukichunguza, bila hivyo walaa
<br />
<br />
tatizo we unawazia kula tu datz all u r thinking,but thats aint love bro!...mimi ni lazima nijiridhishe nafsi yangu after conducting several testing precodures kwamba napendwa kwa dhati na wala hakuna utapeli unaofanyika
 
kivipi, how?
Yaani kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa, maana atakuwa anaongoza manjonjo akijua mshkaji uko safi kumbe humo anamokagua ndo kwenye mauaji yote yalioko INVISIBLE tu
 
simu ni kitu kdg sn ktk ril lov magombana sahz baadae yameisha
 
Tupatie evidence ktk hili
EVIDENCE! Anza kuchokonoa simu ya mpnzi wako kama hamjaanza magömvi na maswali ya kipuuzi ya Whoz this? Why?......na mengine yatakayolead kwenye unnecessary malumbano
 
Back
Top Bottom