mi nashangaa, simu sio kipimo cha upendonaunga mkono hoja. naomba kuparaphrase kidogo tu. Ukitaka kuachana na mpenzi wako, soma simu yake! kazi na sababu zaa kuachana nae utazipata humo humo tena mapema kabisa!
Dah thats CRIME AGAINST SOMEONES FEELINGS i seemimi namwachia simu yangu aiangalie anavyotaka muda wowote na hatopata kitu, infidelities hamna kunipigia simu, ni message tu, na message hizo nimeset zinaingia direct kwenye secret folder, ambalo huwezi kuliona, linafunguliwa kwa combination ya keys kadhaa, acha wewe bana ma teknolojia matamu
No yaani madhara yanakuja pale unapoamua kukichunguza, bila hivyo walaamimi ni lazima niiguse simu yake lazima niwe aware...japo wanasema bata ukimchunguza sana huwezi kumla...lakini kwanini kitu nisikichunguze kama kuna uwezekano wa kupata madhara kwa kukila
kivipi, how?Dah thats CRIME AGAINST SOMEONES FEELINGS i see
<br />mimi interview ya kwanza kama mtu anataka siriaz relationship na mimi nikae na simu yake siku tatu net usiku na mchana
Ah ushamwagana na wangapi mpaka naw? Halafu we utafikiri kukagua simu ndo itakuwa njia ya kumzuia ufanya uzandiki wake. No itamfanya awe muongo zaidi na atafute njia mbadala ya kukuavoidSasa nisipoikagua simu yake ntakagua nini? Bwana simu ndio msema kweli ukikuta inf.anajieleza kisipoeleweka tunamwagana. Lazma uwe jasiri, lazma akubali smtimes hasa wkend niwe PS wake napokea simu zote na msg zote nazisoma. Km ni wangu hakuna kuwekeana mipaka....kushney!
<br />No yaani madhara yanakuja pale unapoamua kukichunguza, bila hivyo walaa
Believe me if you really want a relationship that would last long usimchunguze sana mpenzi wako hasa kwenye SIMU