Zuriel_cfc
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 4,092
- 9,063
Ni lazima tittle iwe ya kidhungu??
Mana naona mnajiachia tu sisi wa mloganzola A mmetusahau
Nadhani u-mpenzi wa Fasihi.1."Alisina Utachomwa moto Nakuapia"
Injili ya eli-91
Nimetamani tu kujua what is behind the title.Silent killer
Pacha tafsirii plizi[emoji19] [emoji19]"A STONE IN MY SHOE"
Ilinipita hiyo, ila ntaitafuta niangalieHii movie ya THE BOOK OF ELI uliiona?
DuuuInjili ya eli-91
Heshima kwako Mkuu,Neno "tittle" ni Lugha gani?.
Sanaa ni Lugha. Lugha ni ainisho ya maisha katika utamaduni wowote ule Ulimwenguni.
Kuanzia kiingereza, kichina, kifaransa, kireno, kijerumani, kijapan na orodha inaendelea. Wote hujivunia Lugha zao. Tatizo hapa ni "Utumwa mamboleo".
Binafsi ningependa jina "Tafakuri Ya Dahafrazeril".
Asalaam.
Nini tena?Duuu
Injili yakoNini tena?