If your life was a book, What would the title be?

If your life was a book, What would the title be?

Fikra sahihi huja kwa sahihi.

Wewe unamaoni gani kuhusu lugha ya kufundishia Elimu katika ngazi zote...??

Ahsante!!!
Salama, Alisina .

Fikra sahihi huja kwa Lugha sahihi. Undani wa fikra yeyote ile hueleweka vizuri kati Lugha-tumizi. Na bila kupepesa ukope, ni Lugha ndiyo itungayo mimba fikra na siyo fikra itungayo mimba-Lugha.

Naomba muda kidogo, nimepata udhuru. Nitarudi baadaye.
 
Nadhani u-mpenzi wa Fasihi.

Nimependa Lugha ulo-tumia. Mleta mada angesema "Eleza na sababu", ningekuuliza "kwanini Alisina angechomwa moto"?.
Ndio ndio huwa najikongoja sana taratibu kama kinyonga.

Nilivyokuwa Elimu ya upili sikuyapenda masomo ya sanaa(hivyo nilijikita kwa Physics,chemistry,Nu)hii nikutokana na walimu wa masomo hayo hawakuwa na mazingira rafiki na wanafunzi na Mengine mengi japo nilipenda kusoma sana makala na machapisho mbalimbali katika lugha ya kiswahili.

Sababu za "Alisina Utachomwa moto nakuapia" hahaha kwa ufupi ni changamoto na matukio niliyopitia katika mambo kadha wa kadha.
 
Umefikiria vzr namna ya kufikirisha watu, pongezi mkuu
 
Kwa sasa nipo Kampala
Sawa-Sawa.wasalimie huko mfikishie salamu zangu Baba mdogo Yoweli mseveni.


Ifakara joto lenu tu Ndio huwa silipendi lakini kwa ubwabwa hapo mnatamba nilikula mpaka nikanyoosha mikono juu imagine nilikuwa nakunywa uji wa ubwabwa.
 
Back
Top Bottom