If your son doesn't hate this thing, he is probably not a real man

U
Mtoa mada naona una ulimbukeni wa fikra...Jeshin huku hakuna kuchemsha maji au nako pia wana hormones za kike?

Go and Suck a hot water Dick
Umeshasema.jeshini
 
Wanasayans wanatuyumbsh sana. Wanasema pia kuoga maji barid, kina sisimua sana uzalishaj wa hormone za kiume.

Kikuwa sio kila maneno ya neno tafit ya wanasayansi ni kuyafata.

Ndo maana kuna wengine wanakuja na pumba harafu baada ya miaka tafut zao zinagundulika ni uongo.
Kama kuna maboya walisema ugali unapunguza nguvu za kiume, wazee wamekula sana na game wanapiga kama kawaida. Tunakula ugali na kazi ipo safi.

Last time i check dingi yangu alikuwa hadi anaweka barafu ktk maji ya kuoga, mazoea ya kukaa sehem za baridi Dsm palikuwa panamp changamoto.
 
Itafikia hatua kila kitu tutashindikwa kufanya sasa...BTW me naoga hata maji ya matope ilimradi nimeoga
 

Mi najua mwanaume asifiwi woga!
 
Sisi ambao hormone zimezidi na kuwa za beberu, tunachukia kuoga kabisa. Yaani hata niwekewe maji ya moto, nanawa miguu na uso.
 
Sisi ambao hormone zimezidi na kuwa za beberu, tunachukia kuoga kabisa. Yaani hata niwekewe maji ya moto, nanawa miguu na uso.
Buhahahahahaha hahahahahahahahahahahahahahaahahahahah
 
Tafiti nyengine zimekaa ki jinga jinga tu!!
Maji ya Moto kwa mji Kama wa dar unatafuta kupikwa au nini..?
Nikioga maji ya Moto mwili nawashwa nijisumbue nayo kisa nini!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…