Ifahamike kwamba kila aliyepotea ama kuuawa kisasi chake kitalipwa kwa waliohusika ambao wote wanafahamika

Huu si mpango wangu mimi, bali ni kanuni halali ya Mungu Muumba mbingu na Ardhi

Kwa Mfano waliomteka Mdude wanafahamika na. mmoja wao ametunukiwa Uwaziri, Au wale waliohusika n.a. kutekwa kwa Polepole wote wamejulikana wakiwemo wastaafu n.a. Wafanyabiashara waliowatuma

Mungu wa Mbinguni hawezi kuwa Fala wa kuacha yore haya yapite Hivi Hivi tu

KILA UBAYA UTALIPWA
porojo, uzushi na ramli useless na nonsense kama hizi ni umaskini wa kifikra wa kilofa mno gentleman :NoGodNo:
 
Huu si mpango wangu mimi, bali ni kanuni halali ya Mungu Muumba mbingu na Ardhi

Kwa Mfano waliomteka Mdude wanafahamika na. mmoja wao ametunukiwa Uwaziri, Au wale waliohusika n.a. kutekwa kwa Polepole wote wamejulikana wakiwemo wastaafu n.a. Wafanyabiashara waliowatuma

Mungu wa Mbinguni hawezi kuwa Fala wa kuacha yore haya yapite Hivi Hivi tu

KILA UBAYA UTALIPWA
Kwa mujibu wa bagonza polisi wamemaliza miaka 9 bila kuwalata waliomshambulia lisu.lakini wamechukua wiki mbili kuwapata wezi wa michango yake
Hahaha
 
Ieleweke tu hakuna mtu aliyepotea bali walitekwa na kuuwawa na policcm.

Mdude kalala kwake saa 8 usiku anapoteaje wakati vibaka wa policcm walivunja mlango na kuingia ndani wakampiga kisha wakaenda kumzika mafichoni.
 
Utanisamehe sana mkuu, lakini jina lako linatia kinyaa sana,

Sijui unamaana gani hasa!

Nimekusoma mara kadhaa humu JF, na kila mara najiuliza maswali juu ya utambulisho wako huo.
Kwetu wengine, hilo lina maana kubwa sana..

Naomba unielewe tu, sijahimiza ubadili jina!
Mkuu utajifungua siku si zako, pole.
 
Huu si mpango wangu mimi, bali ni kanuni halali ya Mungu Muumba mbingu na Ardhi

Kwa Mfano waliomteka Mdude wanafahamika na. mmoja wao ametunukiwa Uwaziri, Au wale waliohusika n.a. kutekwa kwa Polepole wote wamejulikana wakiwemo wastaafu n.a. Wafanyabiashara waliowatuma

Mungu wa Mbinguni hawezi kuwa Fala wa kuacha yore haya yapite Hivi Hivi tu

KILA UBAYA UTALIPWA
inasikitisha sana kutoa uhai wa watu kisa madaraka.

M.A.P Mdude ,Soka ,Polepole ,Saanane ,Kanguye ,Rwajabe ,Azory ,Chaula +249 others.
 
NAOMBENI MNIACHIE MUSEVEN HUYU TAMUNGOA MWENYEWE KWA MIKONO YANGU KUTOKA IKULU YA UGANDA, UNAUA NDUGU ZETU ALAFU UNAKUJA KUTAMBA WE🫵 MZEE STAY SAFE YOUR DAYS ARE NUMBERD INSHAALLAH
 
Back
Top Bottom