Ifahamu Biashara ya supu ya pweza

Ifahamu Biashara ya supu ya pweza

Kwa huko kwenu Dar utauza sana maana amjiamini ktk show ila huku chuga labda kule uswahilini bondeni!ila sijawahi kutio ktk kinywa changu hiyo kitu
 
Hivi alkasusu ina mchanganyiko wa viungo gani wazee. wauza supu ya pweza siyo waaminifu. haiwezekani pweza mmoja umchemshe supu zaidi ya mara moja
 
Hii biashara nimeshaitamani Sana kufanya ila nikakosa mtu wa kuniongoza ila kwa Sasa nimeshabanwa na majukumu mengine ila ikitokea mtu mwenyewe kuhitaji naweza nikafungua naye nikamkabidhi mtaji Kisha tugawane faida
 
Mkuu hivi test yake ikoje? Unajua nikiwa Dar huwa naona mtu anakuwa thermos na vipande vilivyokatwa katwa mezani. Hivi wateja wanapokuwa wanakula vipande muuzaji huwa anahesabu ili wasimuibie?
Kuhesabu ni ngumu ila pia vile vipande ndio vina faida kubwa! Sababu kimoja anakiuza 200 ni zaidi ya bei ya chungwa 😅😅😅 ukidokoa kimoja huwez tosheka utajikuta umekula vya buku angalau hapo ndio unapata ka ladha
 
Ile thermos huwa inawekwa soup, tule tuvipande unachoma na tooth pick kamoja mara nyingine bei ni 200. Jamaa huwa wajanja wanahesabu asee.
Labda pawe hamna traffic ila wakiwa watu ni nyomi hutoboi😅 lazma wakupige! Mi nikiwa na buku 2 mfukoni nakula tani yangu halafu namshikisha buku 2 imeisha hio
 
Habari zenu kama kichwa cha habari kinavosema naomba mnisaidie natamani sana kufanya hii biashara, Ila sielewi ni mtaji kiasi gani utatosha na pia ni vitu gani niweke ili biashara iwe nzuri
Mtaji haufiki hata laki kama upo Dar
 
Huu Uzi wa mda ila naitaji muongozo kidogo ....Niko arusha NatakA kufanya hii biashara Kama inavyofanyagwa mikoa ya pwani ...kwa anayejua duka linalouzwa pweza arusha na Bei naomba msaada
 
Back
Top Bottom