Ifahamu Kampuni anayomiliki Maharage Chande

olimpio

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2023
Posts
418
Reaction score
866
Rais wa jamhuri ya Muungano mama Samia, alitengua uteuzi wa aliyekuwa Mkurugenzi wa TTCL Maharage Chande ,muda mfupi tu baada ya kuteuliwa .

Pamoja na Track Record safi , uzalendo na uchapakazi mzuri wa Peter Ulanga Rais aliamua kumrudisha madarakani Mkurugenzi Ulanga si tu kwa weledi wake kazini na uongozi bora kabisa ,ambao umeanza kuirudisha TTCL kwenye ramani.

Jambo la pili ni umiliki wa hisa nyingi (majority share) wa bwana Maharage Chande kwenye kampuni ya softNet.

Kampuni hii ina kandarasi ya kutoa huduma kwenye mkongo wa taifa, wakishirikiana na kampuni ya Huawei tokea China.

Kuteuliwa kwa Maharage Chande si tu kungeleta mgongano wa masilahi, lakini pia TTCL ingezikwa rasmi.

Peter Ulanga ni moja ya Wakurugenzi bora kabisa kwenye mashirika ya Umma kwa sasa nchini, just to mention few , Kamishina wa TRA ni kiongozi bora kabisa, Gavana wa BOT Tutuba ni bora kabisa.

Chini ya Nape kuna Peter Ulanga wa TTCL na Bakari yupo TCRA , hawa na visionary leader, TASAC kuna Mkurugenzi kijana anapiga kazi bora sana na wakurugenzi wengine kadhaa wanaing'arisha serikali.

Nini kilitokea mpaka Ulanga akataka kuondolewa.
Kuna Watu wasiomtakia mema Ulanga wapo wizara ya TEHAMA, hawa hata Nape hawajui vyema, kwenye hili Nape amekua upande wa Ulanga, watu hawa wanataka kwa hali na mali Ulanga andoke TTCL ili mkongo wa Taifa urudi wizarani ,utoke TTCL ,kuna watu wizara ya TEHAMA wala rushwa wakubwa sana ,ndio maana walitaka kum double cross Ulanga.

Rais amekua very smart kuwa ng'amua mapema kabla hawajatimiza adhima yao.
 
Rais wa jamhuri ya Muungano mama Samia ,alitengua uteuzi wa aliyekuwa Mkurugenzi wa TTCL Maharage Chande ,muda mfupi tu baada ya kuteuliwa .
Pamoja na Track Record safi , uzalendo na uchapakazi mzuri wa Peter Ulanga Rais aliamua kumrudisha madarakani Mkurugenzi Ulanga si tu kwa weledi wake kazini na uongozi bora kabisa ,ambao umeanza kuirudisha TTCL kwenye ramani.
Jambo la pili ni umiliki wa hisa nyingi (majority share) wa bwana Maharage Chande kwenye kampuni ya softNet.
Kampuni hii ina kandarasi ya kutoa huduma kwenye mkongo wa taifa ,wakishirikiana na kampuni ya huawei tokea china.
Kuteuliwa kwa maharage chande si tu kungeleta mgongano wa masilahi, lakini pia TTCL ingezikwa rasmi, Peter Ulanga ni moja ya wakurugenzi bora kabisa kwenye mashirika ya Umma kwa sasa nchini, just to mention few , Kamishina wa TRA ni kiongozi bora kabisa, Gavana wa BOT Tutuba ni bora kabisa , chini ya Nape kuna Peter Ulanga wa TTCL na Bakari yupo TCRA , hawa na visionary leader,TASAC kuna Mkurugenzi kijana anapiga kazi bora sana , na wakurugenzi wengine kadhaa wanaing'arisha serikali.

Nini kilitokea mpaka Ulanga akataka kuondolewa.
Kuna Watu wasiomtakia mema Ulanga wapo wizara ya TEHAMA ,hawa hata Nape hawajui vyema,kwenye hili Nape amekua upande wa Ulanga, watu hawa wanataka kwa hali na mali Ulanga andoke TTCL ili mkongo wa Taifa urudi wizarani ,utoke TTCL ,kuna watu wizara ya TEHAMA wala rushwa wakubwa sana ,ndio maana walitaka kum double cross Ulanga.

Rais amekua very smart kuwa ng'amua mapema kabla hawajatimiza adhima yao.
Usmart wa Rais hapo uko wapi ikiwa Ulanga kishadhalilishwa ?
 
Ila sisi wa Africa kiukweli tuna matatizo mno. Acha tu watu waseme tuna laana kwasababu hatujitambui na halitakuja tokea kujitambua kwasababu kadiri mwanga unavyozidi kutoa nuru ndivyo wengi wetu tunazidi kuwa gizani.
Tumshukuru Rais ,ana circle ambayo iko pro active sana siku hizi
 
Ninachoona binafsi ni kuwa Kuna kundi la watu ambao wanataka waiteke hii nchi kwakuwa makuwadi wa mabeberu Ili sisi na vizazi vyetu tubakie kuwa wachanja kuni na wateka maji wao.

Wanaovuruga hayo mashirika Ili ionekane hayafai na wayauwe Ili wao sasa wachukue hizo biashara ambazo ni njia kuu za uchumi kupitia hizo positions...Watanzania tuwe macho, na Mungu yupo upande wetu, tusikate tamaa ila pia tusikubali kutishiwa na yeyote.
 
Rais wa jamhuri ya Muungano mama Samia, alitengua uteuzi wa aliyekuwa Mkurugenzi wa TTCL Maharage Chande ,muda mfupi tu baada ya kuteuliwa .

Pamoja na Track Record safi , uzalendo na uchapakazi mzuri wa Peter Ulanga Rais aliamua kumrudisha madarakani Mkurugenzi Ulanga si tu kwa weledi wake kazini na uongozi bora kabisa ,ambao umeanza kuirudisha TTCL kwenye ramani.

Jambo la pili ni umiliki wa hisa nyingi (majority share) wa bwana Maharage Chande kwenye kampuni ya softNet.

Kampuni hii ina kandarasi ya kutoa huduma kwenye mkongo wa taifa, wakishirikiana na kampuni ya Huawei tokea China.

Kuteuliwa kwa Maharage Chande si tu kungeleta mgongano wa masilahi, lakini pia TTCL ingezikwa rasmi.

Peter Ulanga ni moja ya Wakurugenzi bora kabisa kwenye mashirika ya Umma kwa sasa nchini, just to mention few , Kamishina wa TRA ni kiongozi bora kabisa, Gavana wa BOT Tutuba ni bora kabisa.

Chini ya Nape kuna Peter Ulanga wa TTCL na Bakari yupo TCRA , hawa na visionary leader, TASAC kuna Mkurugenzi kijana anapiga kazi bora sana na wakurugenzi wengine kadhaa wanaing'arisha serikali.

Nini kilitokea mpaka Ulanga akataka kuondolewa.
Kuna Watu wasiomtakia mema Ulanga wapo wizara ya TEHAMA, hawa hata Nape hawajui vyema, kwenye hili Nape amekua upande wa Ulanga, watu hawa wanataka kwa hali na mali Ulanga andoke TTCL ili mkongo wa Taifa urudi wizarani ,utoke TTCL ,kuna watu wizara ya TEHAMA wala rushwa wakubwa sana ,ndio maana walitaka kum double cross Ulanga.

Rais amekua very smart kuwa ng'amua mapema kabla hawajatimiza adhima yao.
Mbona Nape alishangilia faster tu Maharage alipotajwa kupelekwa TTCL baada ya Ulanga kuondolewa? Au wewe ndiye huyo mshangiliaji umekuja kujikosha tu hapa baada ya kuona amerejeshwa?
 
Kwani wa kuteuwa wameisha hadi kwenda kuchukua wafanya biashara? Mwacheni Maharage afanye biashara zake watu wanaweza kufanya hizo kazi ni wengi
Kuwa mfanyabiashara sio dhambi ,hata marekani Trump ni mfanya biashara mkubwa sana lakini walimpa urais
Maharage hana kosa kuwa na umiriki wa biashara ,it is the same na watu wenye biashara tofauti
 
Tumshukuru Rais ,ana circle ambayo iko pro active sana siku hizi
Kama ni kweli siwezi kukubeza wala kutoa matamshi machafu kuna watu tunaliombea saana taifa na kupambana ila mpumbavu mmoja kwasababu anakalia kiti anawajibu majibu ya kipumbavu sana Mh. Rais hawa watu awajibishe mno kwasababu kama ni kweli anapambana kuna watu wengi wanamuangusha na ndiyo superior katika maofisi makubwa. Waongo na wanaumiza mno watumishi wa chini.

KILA NAFSI ITAONJA MAUTI.
 
Back
Top Bottom