Ifahamu Kampuni anayomiliki Maharage Chande

Ifahamu Kampuni anayomiliki Maharage Chande

Ikitokea dili yeyote ya kimagumashi ndio hiwa inatupiwa hiyo kampuni, ni kampuni kasha (shell company). Hata ukiishtaki kwa lolote na ukashinda, hawana asset yeyote..., huoati kitu 😅😅
WaTanzania tuna chuki sana, badala ya kufurahi walau tuna waTanzania wanaofanya hizi kazi sio Kila siku wazungu tu ila ndio tuko busy kukatishana tamaa. Kampuni baada ya kuisikia Jana tu tayari ume conclude ni ya wizi!! Mbona siku zote hukuwahi ifahamu hukusema ya wizi?
 
Ninachoona binafsi ni kuwa Kuna kundi la watu ambao wanataka waiteke hii nchi kwakuwa makuwadi wa mabeberu Ili sisi na vizazi vyetu tubakie kuwa wachanja kuni na wateka maji wao.

Wanaovuruga hayo mashirika Ili ionekane hayafai na wayauwe Ili wao sasa wachukue hizo biashara ambazo ni njia kuu za uchumi kupitia hizo positions...Watanzania tuwe macho, na Mungu yupo upande wetu, tusikate tamaa ila pia tusikubali kutishiwa na yeyote.
Tuwe macho kivipi wakati macho yetu ndo hao viongozi na ndo hao wanaoingiza kampuni zao kwenye mikataba na serikali. Unakuta mkurugenzi mkuu ndo ana saini cheki kulipa kampuni yake iliyotoa huduma kwa shirika analoliongoza. Watashindwa ku "inflate" bei?
 
Hivi TTCL hamjui kuwa shirika lineaenda kufa. Mmekosa ubunifu. Mlikuwa ni shirika pekee la mawasiliano kwa simu zenu za wire. Zimekuja kampuni za simu za mikononi zinakua kwa speed ya ajabu, nyinyi mpo tu mnatumbua macho. Kuwa wabunifu. Mna kitengo Cha research and development, kinafanya kazi Gani. Dunia inakwenda kwa kasi, mtaachwa
 
Unaacha kusifiwa kazi ya maafisa usalama na pengine Waziri husika unaongea kuhusu Rais acheni hizo, watu wamemchana huyo Rais wenu kwa kutaka kukosea vibaya na angejuta huyo Bibi yenu
 
Husda,Roho chongo na Chuki havijengi.
Wengine walifumzwa na rithishwa uwekezaji toka utoto wao.
Sasa tuanze kurithisha watoto uwekezaji mdogo mdogo ili baadaye wasiwe watu wa lawama na kulalama.
 
Rais wa jamhuri ya Muungano mama Samia, alitengua uteuzi wa aliyekuwa Mkurugenzi wa TTCL Maharage Chande ,muda mfupi tu baada ya kuteuliwa .

Pamoja na Track Record safi , uzalendo na uchapakazi mzuri wa Peter Ulanga Rais aliamua kumrudisha madarakani Mkurugenzi Ulanga si tu kwa weledi wake kazini na uongozi bora kabisa ,ambao umeanza kuirudisha TTCL kwenye ramani.

Jambo la pili ni umiliki wa hisa nyingi (majority share) wa bwana Maharage Chande kwenye kampuni ya softNet.

Kampuni hii ina kandarasi ya kutoa huduma kwenye mkongo wa taifa, wakishirikiana na kampuni ya Huawei tokea China.

Kuteuliwa kwa Maharage Chande si tu kungeleta mgongano wa masilahi, lakini pia TTCL ingezikwa rasmi.

Peter Ulanga ni moja ya Wakurugenzi bora kabisa kwenye mashirika ya Umma kwa sasa nchini, just to mention few , Kamishina wa TRA ni kiongozi bora kabisa, Gavana wa BOT Tutuba ni bora kabisa.

Chini ya Nape kuna Peter Ulanga wa TTCL na Bakari yupo TCRA , hawa na visionary leader, TASAC kuna Mkurugenzi kijana anapiga kazi bora sana na wakurugenzi wengine kadhaa wanaing'arisha serikali.

Nini kilitokea mpaka Ulanga akataka kuondolewa.
Kuna Watu wasiomtakia mema Ulanga wapo wizara ya TEHAMA, hawa hata Nape hawajui vyema, kwenye hili Nape amekua upande wa Ulanga, watu hawa wanataka kwa hali na mali Ulanga andoke TTCL ili mkongo wa Taifa urudi wizarani ,utoke TTCL ,kuna watu wizara ya TEHAMA wala rushwa wakubwa sana ,ndio maana walitaka kum double cross Ulanga.

Rais amekua very smart kuwa ng'amua mapema kabla hawajatimiza adhima yao.
Kwa hao wakurugenzi nakuunga mkono mm nimefanya kazi na aliopo tcra Kwa sasa the guy is very bright and smart,anamisimamo yake kwenye maamuzi ambayo ukiangalia Kwa jicho la 3 he is right,Tz vichwa vipo shida niwapiga madili ndio wapo wameshika mpini ukiwazuia wanakuletea figisu
 
WaTanzania tuna chuki sana, badala ya kufurahi walau tuna waTanzania wanaofanya hizi kazi sio Kila siku wazungu tu ila ndio tuko busy kukatishana tamaa. Kampuni baada ya kuisikia Jana tu tayari ume conclude ni ya wizi!! Mbona siku zote hukuwahi ifahamu hukusema ya wizi?
We jua ni shell company, hamna kampuni hapo
 
Back
Top Bottom