Ifahamu Kampuni anayomiliki Maharage Chande

Mbona Nape alishangilia faster tu Maharage alipotajwa kupelekwa TTCL baada ya Ulanga kuondolewa? Au wewe ndiye huyo mshangiliaji umekuja kujikosha tu japa baada ya kuona amerejeshwa?
Mkuu kweli ulitarajia Waziri anune? Mteule yeyote wa Rais ukiletewa lazima ufanye nae kazi, Nape watu hawamjui vizuri that dude is smart
 
Wapinzani kwenye tawala hawakosekani ,lakini ni jukumu la kila Raia mwema kumsaidia Rais ,Rais Samia asingekuwa imara hii nchi isingekua hapa ilipo sasa ,siongei maneno ya kichawa ,walio ndani serikalini hasa inner circle watakua wananielewa
 
Narudia tena kama ni kweli GOD BLESS MY COUNTRY hatujuani humu JF ila kuna mambo yanaumiza kwasababu watumishi wa chini wanafanyiwa vitu ambavyo mkuu awezi jua. Kuwa mkweli uone moto.

Namalizia kwa kusema ulinzi no 1 ni mwenyezi Mungu pekee, ila mlinzi no 2 ni komando ipo hivyo popote pale uendapo.

Sisi wa chini acha tudharauliwe.
 
Nape si mojawapo wa aliyetaka ttcl imalizwe kabisa au yeye alitumika tu kama kisemeo?
Na kuna kiongozi mwingine alisema sirikali haifanyi biashara hivyo kuweka muelekeo wa kuichinjilia mbali titisielo. Ndio viongozi tuliokuwa nao.
 
wewe hujaona kama RAIS kawa smart kwa action alizochukua?
Angekuwa smart haya maharage angeyafanya yakachacha kabisa haya matajiri wafanyaniashara hawawezi kufanya KAZI kwa interest ya umma badara yake wabatafuta sehemu ya kuiba kuzidi kuwa ma tycoon .ndo maana tunataka katiba mpya kwa Hali na mali
 
Aaagh! SOFTNET??!!! 😂😂😂😂, yaani hiyo ni kampuni ya mfuko wa shati, na nikishiriki uanzishwaji wake..., naijua .., 😂😂😂

Ikitokea dili yeyote ya kimagumashi ndio hiwa inatupiwa hiyo kampuni, ni kampuni kasha (shell company). Hata ukiishtaki kwa lolote na ukashinda, hawana asset yeyote..., huoati kitu 😅😅
 
Aisee!
 
Mkuu kweli ulitarajia Waziri anune? Mteule yeyote wa Rais ukiletewa lazima ufanye nae kazi, Nape watu hawamjui vizuri that dude is smart
Ila mwanetu kuna icho ulichopewa ukavimbilwa nacho,ngoja tukuache maana hapa unachokifanya ni kule kuhemea juu juu kwa mtu alievimbilwa akili inakuwa haifanyi kazi mpaka tumbo lipungue [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama amewang'amua tunataka kumwona akiwaondoa ili tuamini usemacho
 
...Maharage maharage maharageee maharagee... Maharage ni nani mbona kila kona maharage anatajwa... Au kwa vile mnapenda wali maharage... Maharage una nyota kali sana...
 
...Maharage maharage maharageee maharagee... Maharage ni nani mbona kila kona maharage anatajwa... Au kwa vile mnapenda wali maharage... Maharage una nyota kali sana...
Alafu ndio kapandisha bei kilo yake bado kidogo upate nusu ya nyama.
Na sikia anashea kubwa ya maharage ukiacha TTCL kampuni ya wazee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…