Ifahamu Kampuni anayomiliki Maharage Chande



Mkongo wa Taifa una tija gani? Nimeomba connection mwaka umeisha, umebaki kusifia tu watu pasipo sababu, badiki kichwa cha habari kiwe ccm Oyee!

Rubbish.
 
Kazi kweli kweli .....basi sawa softnet naijua sana.....ipo inapiga kazinzake vizuri.....
 
Naona ukitetea tumbo lako hapa..
 
Ndio maana Nape ameanza tutaweza kupiga kura kupitia mtandao hapo kuna deal inataka kupigwa watu wapewe tenda ya kutengeneza mfumo wa kupiga kura.
 
wewe hujaona kama RAIS kawa smart kwa action alizochukua?
Yaani Rais kupitia vyanzo vyote vya kupata taarifa alishindwa kubaini Maharage anamiliki kampuni ndani ya TTCL?

Sasa kama kitu kidogo kama hiki hakikugundulika mapema vipi kuhusu upigaji wa kutisha unaofanywa kwa akili kubwa?
 
Kuwa mfanyabiashara sio dhambi ,hata marekani Trump ni mfanya biashara mkubwa sana lakini walimpa urais
Maharage hana kosa kuwa na umiriki wa biashara ,it is the same na watu wenye biashara tofauti
Unalinganisha Nchi ya marekani ambayo imejitosheleza katika kila taasisi kwa kila kitu na Nchi ambayo bado inachechemea ???!!! 😂
Angekuwa smart haya maharage angeyafanya yakachacha kabisa haya matajiri wafanyaniashara hawawezi kufanya KAZI kwa interest ya umma badara yake wabatafuta sehemu ya kuiba kuzidi kuwa ma tycoon .ndo maana tunataka katiba mpya kwa Hali na mali
hata huko Marekani akina Trump wanashitakiwa kwa mambo kama hayo je katika viNchi kama hivi vyetu si ndo balaa kubwa ?? !!
Kama mtu anataka siasa au uongozi aache biashara !!
Huwezi kutumikia mabwana wawili kwa uadilifu TUSIDANGANYANE !!!
 
Sielewi kwa nini wafanyabiashara wapewe vyeo serikalini,
Nani alikudanganya kuwa uzoba, umaskini na ukula kulala ndiyo sifa ya kufanya kazi serikalini?

Maskini mwenye mawazo ya kimaskini anadhani umaskini ni sifa. Hopeless!!
 
Ila sisi wa Africa kiukweli tuna matatizo mno. Acha tu watu waseme tuna laana kwasababu hatujitambui na halitakuja tokea kujitambua kwasababu kadiri mwanga unavyozidi kutoa nuru ndivyo wengi wetu tunazidi kuwa gizani.
Tamaa zilizopitiliza na Ulafi usiokuwa na faida yeyote !!
Mwisho wa siku tunavimbiwa tu na kupata yale maradhi sugu !! 😱
 

Ilikuwa ni mistake kubwa kumuondoa p ulanga ttcl , chande despite of maslahi ilikuwa sio muda wa kumtupia ttcl, that was bad move
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…