Ifahamu Kampuni anayomiliki Maharage Chande

Ikitokea dili yeyote ya kimagumashi ndio hiwa inatupiwa hiyo kampuni, ni kampuni kasha (shell company). Hata ukiishtaki kwa lolote na ukashinda, hawana asset yeyote..., huoati kitu πŸ˜…πŸ˜…
WaTanzania tuna chuki sana, badala ya kufurahi walau tuna waTanzania wanaofanya hizi kazi sio Kila siku wazungu tu ila ndio tuko busy kukatishana tamaa. Kampuni baada ya kuisikia Jana tu tayari ume conclude ni ya wizi!! Mbona siku zote hukuwahi ifahamu hukusema ya wizi?
 
Tuwe macho kivipi wakati macho yetu ndo hao viongozi na ndo hao wanaoingiza kampuni zao kwenye mikataba na serikali. Unakuta mkurugenzi mkuu ndo ana saini cheki kulipa kampuni yake iliyotoa huduma kwa shirika analoliongoza. Watashindwa ku "inflate" bei?
 
Hivi TTCL hamjui kuwa shirika lineaenda kufa. Mmekosa ubunifu. Mlikuwa ni shirika pekee la mawasiliano kwa simu zenu za wire. Zimekuja kampuni za simu za mikononi zinakua kwa speed ya ajabu, nyinyi mpo tu mnatumbua macho. Kuwa wabunifu. Mna kitengo Cha research and development, kinafanya kazi Gani. Dunia inakwenda kwa kasi, mtaachwa
 
Unaacha kusifiwa kazi ya maafisa usalama na pengine Waziri husika unaongea kuhusu Rais acheni hizo, watu wamemchana huyo Rais wenu kwa kutaka kukosea vibaya na angejuta huyo Bibi yenu
 
Husda,Roho chongo na Chuki havijengi.
Wengine walifumzwa na rithishwa uwekezaji toka utoto wao.
Sasa tuanze kurithisha watoto uwekezaji mdogo mdogo ili baadaye wasiwe watu wa lawama na kulalama.
 
Kwa hao wakurugenzi nakuunga mkono mm nimefanya kazi na aliopo tcra Kwa sasa the guy is very bright and smart,anamisimamo yake kwenye maamuzi ambayo ukiangalia Kwa jicho la 3 he is right,Tz vichwa vipo shida niwapiga madili ndio wapo wameshika mpini ukiwazuia wanakuletea figisu
 
We jua ni shell company, hamna kampuni hapo
 
hivi Maharage saiz yamepandwa wapi mkuu? maana taneaco na ttcl ilionekana hakuna rutuba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…