Ifahamu Kampuni ya Simu za Mkononi ya 'itel Mobile'

Ifahamu Kampuni ya Simu za Mkononi ya 'itel Mobile'

Hello sic narch, umewahi kutumia simu gani ya itel ikakuletea shida? Tafadhali tujulishe.
Nina kiswaswadu kimoja hivi miongoni mwa viswaswadu vyenu vya mwanzoni nakipenda ni kizuri kwani kina uwezo wa kupiga mziki na kina equalizer sasa tatizo lake ni kwamba kimechoka kiko hoi nyang'anyang'a je naweza kupata housing yake? Nakipenda sana.

ᴮᵉʷᵃʳᵉ ᵒᶠ ᵗʰᵉ ᶜᵒᵛⁱᵈ ⁻ ¹⁹ [emoji377]
 
Ila huu ndio uzuri wa social media,Niliwahi mshauri mtu kabla hujaenda sokoni hakikisha ndani kuko sawa.Hizi feeback ni nzuri sana ila walitakiwa wawe wameshazipata na wawe na majibu.na hapo ndio msingi wa kuwa na SOCIAL MEDIA STRATEGY

Kama hawana forum kwa ajili ya kampuni yao, hilo ni tatizo. Ndiyo maana mleta uzi kasepa kwa kupewa makavu live.
Makampuni makubwa kama vile Microsoft. co etc wanakuwa na social forum yao kwa ajili ya kubadili issues nyeti kama hizi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itel 1506 inaganda kwenye logo nimejaribu kuflash lkn haikubali
 
Itel 1506 inaganda kwenye logo nimejaribu kuflash lkn haikubali
Ulikuwa una flash kwa kutumia software gani au kifaa gani?


Katika kuflash lazima ujue model gani ya simu, aina ya chip aidha ni mtk, SPD, culcumn aina zote hii za chips zina namna ya kuflash.

Sent from my TECNO WX3 using Tapatalk
 
Mbona mi Smartphone Yangu itel tena naitumia fresh kuna uwezekano wakawa na mapungufu lakini sio kwa kiwango hicho unachotaka kutuaminisha wana JF.
Mkuu nadhan hujajua kutumia simu vizuri, kama huna mambo mengi kupiga na kupokea hazina shida ila kama una mambo meng itel hamna zimu ya kutumia.

Wengi wanaotimia itel wanatumia ilimradi tj nao waonekane wanatumia smartphone, nilinunua itel 2 kipind ambacho na mimi nilikua kilaza nilikua sijui kutumia simu lakin nilikua najuta kila siku, nikika kwa mke nae kila siku kesi mara imejaa au hili...

nilivyobadili tu nikaja na tecno nilifurahia huduma, na baadae nilienda kweny samsung ndipo nilipogundua rahisi kumbe gharama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
itel Mobile Tanzania, Mimi natumia Itel S31 lakini inachangamoto ya battery yani duni mno nimeshabadilisha mara mbili lakini baada ya muda mfupi tatizo hujirudia tena.

Sasa naomba kufahamu kama kuna uwezekano nipate battery ya model hii yenye ukubwa wa angalau 3000-4000 mAh Li-Ion, au kama nitaweza kusaidiwa kupachika zile inbuilt battery yenye capacity kubwa iwe mbadala wa hii removable battery. Na itanigharimu kiasi gani?

Tatizo lingine la hii simu ni iko slow ajabu! Kuna muda unaweza kupata incoming call na ukaisikia simu ina vibrate lakini jina la mpigaji na kitufe cha kupokelea simu inakuwa blank for a couple of seconds.

Ila kwa upande wa camera nawapa pongezi mmefanikiwa sana.
 
Isayasitemanager,
Kutumia simu kivipi? Kwa jinsi ulivyoandika hapo juu ni kama kuna matumizi ya simu yapo ambayo Mimi siyajui kabisa kitu ambacho naamini siyo kweli. Ungesema Itel kuicompare na brand nyingine za simu haifui dafu ingemake sense zaidi.
 
Back
Top Bottom