Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,252
- 18,335
Itel ya button sawa ila smartphone hapana. Nilishawahi ivunja moja kwa hasira na baada ya hapo nikaapa sitotumia smartphonebya itel
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina kiswaswadu kimoja hivi miongoni mwa viswaswadu vyenu vya mwanzoni nakipenda ni kizuri kwani kina uwezo wa kupiga mziki na kina equalizer sasa tatizo lake ni kwamba kimechoka kiko hoi nyang'anyang'a je naweza kupata housing yake? Nakipenda sana.Hello sic narch, umewahi kutumia simu gani ya itel ikakuletea shida? Tafadhali tujulishe.
Ila huu ndio uzuri wa social media,Niliwahi mshauri mtu kabla hujaenda sokoni hakikisha ndani kuko sawa.Hizi feeback ni nzuri sana ila walitakiwa wawe wameshazipata na wawe na majibu.na hapo ndio msingi wa kuwa na SOCIAL MEDIA STRATEGY
Kwa hiyo iPhone, Samsung, xiaomi, oppo na huawei si vifaa vya mawasiliano?Itel na tecno sio simu ni vifaa vya mawasiliano vyenye camera simu ni iPhone, Samsung, xiaomi, oppo, Huawei na zingine
Naomba kujua mahusiano yaliyopo kati ya Itel na TecnoPole Scars kama umewahi kukumbana na changamoto ya namna hiyo kwenye moja ya simu zetu. Tafadhali tujuze ni simu gani uliyokuletea hilo tatizo?
Hapana.
Ulikuwa una flash kwa kutumia software gani au kifaa gani?Itel 1506 inaganda kwenye logo nimejaribu kuflash lkn haikubali
Mkuu nadhan hujajua kutumia simu vizuri, kama huna mambo mengi kupiga na kupokea hazina shida ila kama una mambo meng itel hamna zimu ya kutumia.Mbona mi Smartphone Yangu itel tena naitumia fresh kuna uwezekano wakawa na mapungufu lakini sio kwa kiwango hicho unachotaka kutuaminisha wana JF.
Itel na tecno sio simu ni vifaa vya mawasiliano vyenye camera simu ni iPhone, Samsung, xiaomi, oppo, Huawei na zingine