mtume wa mwisho ni Muhammad swala llahu alaihi wasalam Na ushia ni dini iliyoanzishwa kutoka ktk pote la uyahudi na mtu anaeitwa Abdullah ibnu Saba'a al-yahud...ukitaka kujua kuwa ushia sio uislamu angalia hizi video nnazokuwekeeni hapa chini then mashia wanakitu kitu kinachoitwa taqiya (kuficha itikadi yao) mfano mashia ukiwauliza je ni kweli itikadi yenu inaruhusu kuwaingilia kinyume Na maumbile wake zenu? wanakataa lkn ingia ktk ushia ndo utajua uhalisia wao...hilo kundi ni ktk makundi ya kishia
Kuna mmoja alikuwa muumini wa hii dini alikuwa room mate wangu pale Mkwawa high school kabla hakijawa chuo. Alikuwa anatuelimisha kuhusu dini hiyo lakini sikuwahi kumuelewa hadi tunamaliza
Picha hii inaonyesha Mungu ni mmoja na kwamba dini zote zatoka kwake na zote ni nzuri kwani kila moja ilikuja kwa wakati wake ili kuwafunulia kweli ya Mungu.
Na muda unapofika dini utokea ili kumuupdate mwanadamu ya mahitaji ya Mungu kwake kuendana na mazingira ya kipindi husika!
Kwa sasa Ubahai ndiyo the current religon ila baada ya miaka 875 toka leo itakuja dini nyingine!
Utamu wa shule zao bana, no fimbo, mwalimu hawez thubutu kushika kiboko atafukuzwa yeye, but adhabu wanazotoa Ni za kukujenga kama kulima bustani, kufanya usafi n.k