ustadhijuma
JF-Expert Member
- Jul 20, 2015
- 3,021
- 1,978
mtume wa mwisho ni Muhammad swala llahu alaihi wasalam Na ushia ni dini iliyoanzishwa kutoka ktk pote la uyahudi na mtu anaeitwa Abdullah ibnu Saba'a al-yahud...ukitaka kujua kuwa ushia sio uislamu angalia hizi video nnazokuwekeeni hapa chini then mashia wanakitu kitu kinachoitwa taqiya (kuficha itikadi yao) mfano mashia ukiwauliza je ni kweli itikadi yenu inaruhusu kuwaingilia kinyume Na maumbile wake zenu? wanakataa lkn ingia ktk ushia ndo utajua uhalisia wao...hilo kundi ni ktk makundi ya kishia