Mimi sio lolote, naweza kukufanya tu u comment. Sijazungumzia kiongozi yoyote nimezungumzia neno LOFAYeye alikuwa Kiongozi namba 1 wa kitaifa unapowaita wananchi kwa tafsiri yako uliyoitoa hapo kwamba ni watu wasio kuwa na kazi ya kufanya na ni mzururaji huku yeye ndio alitakiwa kutoa mwanga ni kuwadhalirisha wananchi.
hiyo kauli ungetoa mtu kama wewe hata ingekuwa haina mashiko maana ww sio lolote katika hii nchi tofauti na yeye.
ulofa ni kutaman mambo mazuri huku ilihali uwezo wa kuyamudu ata ukiyapata huna mfano unataka kumiliki gari ila uwezo wa kulitunza huna huo ndo ulafu kwa tafsiri ya mtaaniImetokana na neno la kiingereza loaf, mkate! loafer ni mtu amabye mahesabu yake ya maisha yanaishia kupata hela ya mkate tu
Loafer ni neno la kejeli sio tusi
Sent