MAMESHO
JF-Expert Member
- Jul 5, 2011
- 1,432
- 1,738
Habari za leo.
Lofa sio tusi ni neno la kiswahili ambalo lina maana mbili:
= > Maana ya kwanza, ni mtu anayezurura asiye na kazi ya kufanya.
= > Maana ya pili ni aina ya viatu ambavyo havina kamba.
Watu wamekuwa na tabia ya kuchukulia maneno juujuu pasipo kuelewa maana yake na kuwa na dhana kwamba wametukanwa.
Kumbe kiswahili chenyewe hawakijui.