Ifahamu maana ya neno neno lofa

Ifahamu maana ya neno neno lofa

MAMESHO

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
1,432
Reaction score
1,738
Habari za leo.

Lofa sio tusi ni neno la kiswahili ambalo lina maana mbili:

= > Maana ya kwanza, ni mtu anayezurura asiye na kazi ya kufanya.

= > Maana ya pili ni aina ya viatu ambavyo havina kamba.

Watu wamekuwa na tabia ya kuchukulia maneno juujuu pasipo kuelewa maana yake na kuwa na dhana kwamba wametukanwa.

Kumbe kiswahili chenyewe hawakijui.
 
Kwa kuwa aliyeyasema ameshaondoka basi nawe usubiri wakati wako ukifika ukamuulize ili kuepuka kupata tafsiri ambayo mhusika mkuu hakuikusudia.
 
Yeye alikuwa Kiongozi namba 1 wa kitaifa unapowaita wananchi kwa tafsiri yako uliyoitoa hapo kwamba ni watu wasio kuwa na kazi ya kufanya na ni mzururaji huku yeye ndio alitakiwa kutoa mwanga ni kuwadhalirisha wananchi.

hiyo kauli ungetoa mtu kama wewe hata ingekuwa haina mashiko maana ww sio lolote katika hii nchi tofauti na yeye.
 
Mimi sio lolote, naweza kukufanya tu u comment. Sijazungumzia kiongozi yoyote nimezungumzia neno LOFA
 
Kwa kuwa aliyeyasema ameshaondoka basi nawe usubiri wakati wako ukifika ukamuulize ili kuepuka kupata tafsiri ambayo mhusika mkuu hakuikusudia.
Sina haja ya kusubiri chochote au kupokea maagizo toka kwako nini cha kufanya.
 
Imetokana na neno la kiingereza loaf, mkate! loafer ni mtu amabye mahesabu yake ya maisha yanaishia kupata hela ya mkate tu
Loafer ni neno la kejeli sio tusi

Sent
 
Lofa mkuu tangu juzi funza wanamshughulikia hana hata ujanja wa kusogeza mkono wake walau umbali wa sentimita mbili!
 
Imetokana na neno la kiingereza loaf, mkate! loafer ni mtu amabye mahesabu yake ya maisha yanaishia kupata hela ya mkate tu
Loafer ni neno la kejeli sio tusi

Sent
ulofa ni kutaman mambo mazuri huku ilihali uwezo wa kuyamudu ata ukiyapata huna mfano unataka kumiliki gari ila uwezo wa kulitunza huna huo ndo ulafu kwa tafsiri ya mtaani
 
Back
Top Bottom