Ifahamu mikoa 10 yenye maghorofa mengi Tanzania

Ifahamu mikoa 10 yenye maghorofa mengi Tanzania

The Sunk Cost Fallacy 2

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2022
Posts
9,436
Reaction score
10,944
Mapema mwezi wa 8 2022 Kulifanyija sensa ya watu na makazi na matokeo take kutoelewa mwezi wa 10.

Kwa Mujibu wa Matokeo ya sensa,Mikoa 10 ambayo Ina majengo mengi ya maghorofa kwa maana ya makazi, biashara na Taasisi Ni Kama ifuatavyo:

1. Dar es Salaam-32,219

2. Arusha-7,180

3. Tanga-4,282

4. Kilimanjaro-3,540

5. Mwanza-2,481

6. Pwani-1,885

7. Dodoma-1,461

8. Morogoro-1,331

9. Mbeya-1,073

10. Kagera-702.

My Take.

Hii inaonesha pia Hali za maisha za Wananchi wa maeneo husika.

FB_IMG_16672378731384675.jpg

Source:NBS
 
Yaani ukijumlisha majengo ya ghorofa ya Mikoa yote Tanzania bado haifikii kwa Dar..

Aisee Dar ndio Tanzania asikwambie mtu.

Wewe si hua unaponda Dar! Hasa lango kuu la kutoka na kuingia nchini kupitia maji na ndege nchi nzima, Viwanda vya bidhaa mbalimbali na business hub ya nchi nzima, uilinganishe na wapi labda?

Ndio maana waliostuka wakazi wa mikoani wengi tu wana majengo dar either wamepangisha au vinginevo maana ukubwa wa ukuaji wa real estate Dar haifanani na mkoa wowote ule
 
Wewe si hua unaponda Dar! Hasa lango kuu la kutoka na kuingia nchini kupitia maji na ndege nchi nzima, Viwanda vya bidhaa mbalimbali na business hub ya nchi nzima...
Sipondi Dar ila siipendi Dad hata kidogo Kama unataka decent life Bora mkoani sio huko watu walikorundikana Kama sisimizi..

Naamini Miaka 20 ijayo takwizu zitabadilika kidogo maana majengo yaliyoko underconstruction kwa mikoani Ni mengi kuliko Dar hususani Mwanza.
 
Yaani ukijumlisha majengo ya ghorofa ya Mikoa yote Tanzania bado haifikii kwa Dar..

Aisee Dar ndio Tanzania asikwambie mtu.
68724 - 32219 = 36505

Maana yake ni kwamba katika ghorofa zote 68724, Dar ni 32219 huku mikoa yote mingine ni 36505

Mbona hata nimesahau nilitaka kusema nini hapo?

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom