Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu tumia figure ya 61,218-32,219=28,999 ndio Mikoa yote ya Bara wanagawana hapo..68724 - 32219 = 36505
Maana yake ni kwamba katika ghorofa zote 68724, Dar ni 32219 huku mikoa yote mingine ni 36505
Mbona hata nimesahau nilitaka kusema nini hapo?
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Nani kakuambia Mbeya Ni kubwa kuliko Arusha?Kumbe ishu ya jiji au mji na maghorofa ni vitu vyenye uhusiano kwa mbali sana ndo natambua leo
Just imagine Mwanza na Mbeya hakuna maghorofa mengi wanazidiwa mpaka na Arusha lakini ndo majiji makubwa ukiacha Dar
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Wamejitahidi Mkuu,huo Mkoa umemegwa kutoka Rukwa so ilikuwa Ni Wilaya ya Mpanda.Mkoa wa katavi wote una maghorofa 70 tu.
Ni Moja ya Mikoa ya hovyo Sana hapa Tanzania..Arusha imebebwa zaidi na mahoteli ya kitalii.
Ila Mwanza sijui inasifiwa kwa lipi, maana kwa umaskini ipo juu, majengo ya maana hakuna.
Wamejitahidi Mkuu,huo Mkoa umemegwa kutoka Rukwa so ilikuwa Ni Wilaya ya Mpanda.
Wamejitahidi Mkuu,huo Mkoa umemegwa kutoka Rukwa so ilikuwa Ni Wilaya ya Mpanda.
Ni Moja ya Mikoa ya hovyo Sana hapa Tanzania..
Sifa zake hazilingani na uhalisia wake.
Mnaionea Katavi bure..Katavi wametisha,ghorofa 70
Mnaionea Katavi bure..
Mikoa yote Mipya ziliunganishwa Wilaya kadhaa ila kwa Katavi Ni exceptional kwa sababu Wilaya ya Mpanda ndio ndani yake zikaundwa wilaya kuunda Mkoa wa Katavi..
Acha masihala mkuu,wewe unaweza Jenga majengo sehemu ambayo haina biashara kwa hoja yako unamaanisha Kigoma?Ukijumlisha katavi na Rukwa wote hawafikii hata ghorofa za kigoma hapo naona kuna tatizo wakati katavi na rukwa kibiashara naona zinakimbia sana
Juu ya Nani Sasa mkuu unaweza salia huko huko mwisho..Ila kutokana kuunganishwa kwa lami, nadhani miaka mitano ijayo itakuwa juu.
Kuna wakati nilikwenda kuangalia nchi mikoa ya kusini.Yaani ukijumlisha majengo ya ghorofa ya Mikoa yote Tanzania bado haifikii kwa Dar..
Aisee Dar ndio Tanzania asikwambie mtu.