Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alfu mtu atakuambia dar hakuna jipya dah jmnYaani ukijumlisha majengo ya ghorofa ya Mikoa yote Tanzania bado haifikii kwa Dar..
Aisee Dar ndio Tanzania asikwambie mtu.
Alfu mtu atakuambia dar hakuna jipya dah jmn
NdioKilimanjaro wana maghorofa mengi kushinda Mwanza?
Kwa zaidi ya miaka 60 serikali imeendeshwa kutoka dar...Dar ilikuwa inanyonya miji mingine..tukizungumzia dar inatakiwa walete idadi ya magorofa ya wazaramo na sio haya ya serikali..ni kama mtu miaka 100 ijayo aseme dodoma inamagorofa mengi wakati wagogo jua linawachoma vibaya mno!Dar kuilinganisha na mkoa wowote ni kuionea japo mikoa yote hukusanya mapato kupeleka Dar au Dodoma kwenye kapu kuu la nchi ili wapangiwe nini wafanye na kila mkoa una mchango kwenye maendeleo ya Dar ulifahamu hilo
Nadhani huku wangekuwa matajiri wasingepata haya[emoji116]Arusha imebebwa zaidi na mahoteli ya kitalii.
Ila Mwanza sijui inasifiwa kwa lipi, maana kwa umaskini ipo juu, majengo ya maana hakuna.
Yako wapi? Hapa town center naona lile moja la NHC jirani na CRDB bankMkoa wa katavi wote una maghorofa 70 tu.
Nadhani huku wangekuwa matajiri wasingepata haya[emoji116]View attachment 2427484
Lengo la mtoa mada linajulikana Toka kitambo tu ,,,,hyo report katoa kutagert mkoa Gani
Watu wa Kagera na Misifa yote ile kumbe ni Masikini Tu hawa,Hakuna Masikini anaejenga Ghorofa...niwasikie TenaMapema mwezi wa 8 2022 Kulifanyija sensa ya watu na makazi na matokeo take kutoelewa mwezi wa 10.
Kwa Mujibu wa Matokeo ya sensa,Mikoa 10 ambayo Ina majengo mengi ya maghorofa kwa maana ya makazi, biashara na Taasisi Ni Kama ifuatavyo:
1. Dar es Salaam-32,219
2. Arusha-7,180
3. Tanga-4,282
4. Kilimanjaro-3,540
5. Mwanza-2,481
6. Pwani-1,885
7. Dodoma-1,461
8. Morogoro-1,331
9. Mbeya-1,073
10. Kagera-702.
My Take.
Hii inaonesha pia Hali za maisha za Wananchi wa maeneo husika.
View attachment 2427153
Source:NBS
Una uhakika Gani mwanza Kuna ghorofa 2400 ripoti ipo bias na inakosa logic za kuifanya iwe na factsMbona leo hatuna bias hapa hata mtoa maada kafafanua kua kwa project zinazoendelea mwanza 20 yrs to come Dar itafuatwa kwa karibu sana kitu ambacho ni kweli kabisa, sema wakazi wa mwanza wangeongeza kasi ya kujenga ghorofa za kuishi mambo yangekua mazuri sana maana Dar gorofa za makazi ni nyingi mno
Watu wa Kagera na Misifa yote ile kumbe ni Masikini Tu hawa,Hakuna Masikini anaejenga Ghorofa...niwasikie Tena
Acha masihala mkuu,wewe unaweza Jenga majengo sehemu ambayo haina biashara kwa hoja yako unamaanisha Kigoma?
Mkoa wa Kigoma una Kasulu na Kigoma Mjini usisahau Hilo Ni Miji mikubwa hiyo ,Rukwa na Katavi Ni hapo Mjini tuu Yaani Sumbawanga na Mpanda.
Kilimanjaro ni mkoa uliozimwa kimaendeleo kwa makusudi makubwa ya akina Nyerere na maendeleo yoyote ya mkoa huu yametokana na jasho la damu na juhudi tukuka za wenyeji. Moshi ilistahili kuwa jiji miaka mingi iliyopita lakini hilo nalo limeonekana nongwa. Haya takwimu hazina unoko.Kilimanjaro wana maghorofa mengi kushinda Mwanza?