Ifahamu mikoa 10 yenye maghorofa mengi Tanzania

Ifahamu mikoa 10 yenye maghorofa mengi Tanzania

Mbona leo hatuna bias hapa hata mtoa maada kafafanua kua kwa project zinazoendelea mwanza 20 yrs to come Dar itafuatwa kwa karibu sana kitu ambacho ni kweli kabisa, sema wakazi wa mwanza wangeongeza kasi ya kujenga ghorofa za kuishi mambo yangekua mazuri sana maana Dar gorofa za makazi ni nyingi mno
Serikali wakiacha kuinvest miradi mikubwa dar kama vile TBA NHC Nssf nk na kuihamishia Mwanza basi Mwanza tutaikaribia dar lakini tofauti na hivyo tuendelee kunywa kahawa mixer jamvini humu
 
Dar ni kubwa sana kimaendeleo, lakini sio Haba Arusha nayo inachanua sio jambo Rahisi kua hapo no2... Mwanza ndio Aibu tupu sijawaelewa
Wasukuma watakuja kubisha ili hali wamezidiwa hadi na wasambaa
 
Back
Top Bottom