The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,436
- 10,944
Yako wapi haya?3. Tanga-4,282
Umeona eeeh!!Yaani ukijumlisha majengo ya ghorofa ya Mikoa yote Tanzania bado haifikii kwa Dar..
Aisee Dar ndio Tanzania asikwambie mtu.
Yaani ukijumlisha majengo ya ghorofa ya Mikoa yote Tanzania bado haifikii kwa Dar..
Aisee Dar ndio Tanzania asikwambie mtu.
Aisee Dar ndio Tanzania asikwambie mtu.
Ndio kwani wewe unaonaje kwenye hizo takwimu? 😂😂Kilimanjaro wana maghorofa mengi kushinda Mwanza?
Sipondi Dar ila siipendi Dad hata kidogo Kama unataka decent life Bora mkoani sio huko watu walikorundikana Kama sisimizi..Wewe si hua unaponda Dar! Hasa lango kuu la kutoka na kuingia nchini kupitia maji na ndege nchi nzima, Viwanda vya bidhaa mbalimbali na business hub ya nchi nzima...
Yote mkuu yako kwenye hesabu.
Usikute wamehesabia na zile gorofa za kuhifadhia majani makavu ya ng"ombe na mbuzi!Kilimanjaro wana maghorofa mengi kushinda Mwanza?
Kama Mikoa ipi bossKuna Mikoa imepigwa Ndoige
68724 - 32219 = 36505Yaani ukijumlisha majengo ya ghorofa ya Mikoa yote Tanzania bado haifikii kwa Dar..
Aisee Dar ndio Tanzania asikwambie mtu.