Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23]siku hizi napenda vigumu.Najua hupendi vitu vigumu.... Kuna nyingine inakufaa nitakutag.... Ipo kwenye draft[emoji4]
Kweli kabisa, mila na tamaduni zao ni za asili bado na pia kwenye mazingira wamejikita zaidi kuhifadhi na kulima vitu asilia na kwa matumizi yao pekee.... Kwa miaka yote wameweza kucontrol wimbi la wageni maana hapa pia ndio loop hole ya Westerns kujipenyeza.Inapendeza sana...
Westeren countries bado hawajawa zoom hawa watu na kuwavuruga...
Nadhani furaha na amani yao inachangiwa pia kutokana na hakuna stress za dini wala siasa...
Cc: mahondaw
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nchi ya kipuuzi tu hii,wanawezana wenyewe ndo maana wanapata wageni 30000 tu kwa mwaka maana mtu huwezi kukaa sehemu ambayo hakuna bia,madada wa kupunguza mawe mwilini yaan wao na visheria tu
Kweli kabisa, mila na tamaduni zao ni za asili bado na pia kwenye mazingira wamejikita zaidi kuhifadhi na kulima vitu asilia na kwa matumizi yao pekee.... Kwa miaka yote wameweza kucontrol wimbi la wageni maana hapa pia ndio loop hole ya Westerns kujipenyeza.
Kabisa... Huku ni mwendo wa pizza, bugger n.k... Asili imepotea, tumeamua hata kutafsiri sanaa zao kwa lugha mama ili wazidi kueneo kwenye bongo zetu.Sisi huku wameshafanikiwa kutuvurga na mambo ya media, siasa, dini ndiyo usiseme, tamaduni zetu wamezifutilia mbali na kutuletea zao...
Cc: mahondaw
Kimsingi hakuna raha yoyote acha wabaki na furaha yao tu watuache na shida zetu ila angalau bia zipo na shisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanza hakuna starehe kabisa mule.... Inawafaa wapenda historia na ikolojia
Kama kwetu mkuu part kama 97% wanatumia umeme wa maji kwenye shughuli zao za kiuchumi ambapo sasa wana 1,615 MW... Sehemu nyingine wanatumia kuni kupikia ambapo ni kati 70% na 90% , mafuta ya taa, na gas.Asante mkuu,wanapikia nishati gani huko?
OK shukraniKama kwetu mkuu part kama 97% wanatumia umeme wa maji kwenye shughuli zao za kiuchumi ambapo sasa wana 1,615 MW... Sehemu nyingine wanatumia kuni kupikia ambapo ni kati 70% na 90% , mafuta ya taa, na gas.
Bhutan hamna visima vya mafuta wala gas... Vyote ni imported.
Nakuangalia tuMbona Mimi haujanitag? Au umeona mimi sipendi kusafiri?
I am sure hawa watakuwa BuddhistsInapendeza sana...
Westeren countries bado hawajawa zoom hawa watu na kuwavuruga...
Nadhani furaha na amani yao inachangiwa pia kutokana na hakuna stress za dini wala siasa...
Cc: mahondaw
🧟♀️🧟♀️🧟♀️🧟♀️🧟♀️[emoji23]siku hizi napenda vigumu.
Aren't they Buddhists???Kweli kabisa, mila na tamaduni zao ni za asili bado na pia kwenye mazingira wamejikita zaidi kuhifadhi na kulima vitu asilia na kwa matumizi yao pekee.... Kwa miaka yote wameweza kucontrol wimbi la wageni maana hapa pia ndio loop hole ya Westerns kujipenyeza.