Ifahamu nchi ya Bhutan na maajabu yake

Ifahamu nchi ya Bhutan na maajabu yake

Nchi ya kipuuzi tu hii,wanawezana wenyewe ndo maana wanapata wageni 30000 tu kwa mwaka maana mtu huwezi kukaa sehemu ambayo hakuna bia,madada wa kupunguza mawe mwilini yaan wao na visheria tu
 
Inapendeza sana...

Westeren countries bado hawajawa zoom hawa watu na kuwavuruga...

Nadhani furaha na amani yao inachangiwa pia kutokana na hakuna stress za dini wala siasa...

Cc: mahondaw
Kweli kabisa, mila na tamaduni zao ni za asili bado na pia kwenye mazingira wamejikita zaidi kuhifadhi na kulima vitu asilia na kwa matumizi yao pekee.... Kwa miaka yote wameweza kucontrol wimbi la wageni maana hapa pia ndio loop hole ya Westerns kujipenyeza.
 
Nchi ya kipuuzi tu hii,wanawezana wenyewe ndo maana wanapata wageni 30000 tu kwa mwaka maana mtu huwezi kukaa sehemu ambayo hakuna bia,madada wa kupunguza mawe mwilini yaan wao na visheria tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanza hakuna starehe kabisa mule.... Inawafaa wapenda historia na ikolojia
 
Kweli kabisa, mila na tamaduni zao ni za asili bado na pia kwenye mazingira wamejikita zaidi kuhifadhi na kulima vitu asilia na kwa matumizi yao pekee.... Kwa miaka yote wameweza kucontrol wimbi la wageni maana hapa pia ndio loop hole ya Westerns kujipenyeza.

Sisi huku wameshafanikiwa kutuvurga na mambo ya media, siasa, dini ndiyo usiseme, tamaduni zetu wamezifutilia mbali na kutuletea zao...

Kabisa... Huku ni mwendo wa pizza, bugger n.k... Asili imepotea, tumeamua hata kutafsiri sanaa zao kwa lugha mama ili wazidi kueneo kwenye bongo zetu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanza hakuna starehe kabisa mule.... Inawafaa wapenda historia na ikolojia
Kimsingi hakuna raha yoyote acha wabaki na furaha yao tu watuache na shida zetu ila angalau bia zipo na shisha[emoji23]
 
Asante mkuu,wanapikia nishati gani huko?
Kama kwetu mkuu part kama 97% wanatumia umeme wa maji kwenye shughuli zao za kiuchumi ambapo sasa wana 1,615 MW... Sehemu nyingine wanatumia kuni kupikia ambapo ni kati 70% na 90% , mafuta ya taa, na gas.
Bhutan hamna visima vya mafuta wala gas... Vyote ni imported.
 
OK shukrani
 
Kweli kabisa, mila na tamaduni zao ni za asili bado na pia kwenye mazingira wamejikita zaidi kuhifadhi na kulima vitu asilia na kwa matumizi yao pekee.... Kwa miaka yote wameweza kucontrol wimbi la wageni maana hapa pia ndio loop hole ya Westerns kujipenyeza.
Aren't they Buddhists???
 
Back
Top Bottom