Ifahamu nchi ya Bhutan na maajabu yake

Ifahamu nchi ya Bhutan na maajabu yake

Daah! Hii Inanikumbusha juzijuzi hapa mwaka huu huu nimetembelea kijiji kimoja mkoani Tanga,kwa asilimia 98 wakazi wake ni waislmu,Sasa nilikuwa na field work ya wiki 1, ile jioni siku ya kwanza kumaliza kazi nikawauliza wenyeji madukani wapi,wakanielekeza,ndugu yangu hakuna hata duka 1 utaweza pata pombe ya aina yeyote.Wala hakuna kilabu Cha pombe za kienyeji,Wala hamna soko.Mbona tulinyooka,tulikuwa washkaji wanne na wote ni mabaharia. Kwa hiyo hicho Kijiji ni Kama hiyo nchi na ni kata nzima hmna bia,hamna papuchi pia.
Kwa tamaduni zao si kipaumbele kaka[emoji23][emoji23][emoji23]
H
 
Daah! Hii Inanikumbusha juzijuzi hapa mwaka huu huu nimetembelea kijiji kimoja mkoani Tanga,kwa asilimia 98 wakazi wake ni waislmu,Sasa nilikuwa na field work ya wiki 1, ile jioni siku ya kwanza kumaliza kazi nikawauliza wenyeji madukani wapi,wakanielekeza,ndugu yangu hakuna hata duka 1 utaweza pata pombe ya aina yeyote.Wala hakuna kilabu Cha pombe za kienyeji,Wala hamna soko.Mbona tulinyooka,tulikuwa washkaji wanne na wote ni mabaharia. Kwa hiyo hicho Kijiji ni Kama hiyo nchi na ni kata nzima hmna bia,hamna papuchi pia.

H
Wapo strictly kwenye tamaduni zao mkuu... Na in addition kama hicho kijiji ulichokitaja wamebase sana kwenye imani yao ndio maana wanaweza kumantain..
 
Wana utamaduni kama wa Nepal kwa mbaali, japo Nepal imekumbwa sana na machafuko na natural disasters kama earthquakes
Umenikumbusha Nepal mkuu, ni nchi flani nayo kwa Asia wapo equipped na tamadani zao sana tofauti ni kuwa Bhutan 70% ni misitu na Nepal 45% ni misitu so Nepal wana cha kujifunza tho Nepal ni kubwa mara 3 yake... But ndio vile geographically hawajajaaliwa.
 
NYONGEZA
-Kwa wale wanaopanga/tamani kufanya utalii wajiandae kulipa $200-$250 kwa siku. Hili ni kupunguza wimbi la watalii wakiwa na theme ya "High quality, low impact"..
-Hakuna fast food-No to McDonalds, Burger King, Starbucks au hata KFC! Pia hakuna obese hili nikutokana na keep it natural implementation.

Hapa naambatanisha ramani na majirani wake pamoja na link jinsi take-off na landing za ndege zinavyokuwa na pia utajionea mazingira in aerial view.
IMG_20190715_074843.jpeg
 
Back
Top Bottom