Ifahamu nchi ya Japan na jiji lake lenye viwanda vingi la Nagoya

Kwa leo 1 Tsh ni sawa 21.69 Yen, unaweza kutuambia ni kwa nini thamani ya fedha ya Japan ipo chini sana licha ya kuwa na uchumi mkubwa sana wa viwanda na pia naimani exportation ni kubwa kuliko importation?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa sasa ndipo tunapoona kumbe si lazima exportation rate iwe kubwa kuliko importation rate ili pesa ya nchi iwe na thamani kubwa kama tulivyofundishwa na kukremishwa kwenye uchumi.
 
Nifanyie mpango wa kazi hapo KUMAMOTO PRODUCT..hata ya ulinzi tuu
 
Japan ni moja ya nchi ninazotamani sana kuzitembelea...
 
Nilikutana na Mjerumani mmoja anayeishi Japani kwa sasa alinieleza kuwa Japani inaviwanda vingi na bora kuliko China.
Standard ya viwanda vya Japan ni kama iliopo Europe na Marekani.
 
Da umenikumbusha mbali kulikuwa na mdada raia wa Japani alikuwa rafiki yangu sana alinifundisha biology form I,mdada mwingine raia wa U.K alinifundisha economics,na mdada mwingine raia wa uswizi alinifundisha namna ya kutengeneza bio-gas walinipenda sana.Bahati mbaya wote nilipoteza email zao.
 
Ahsante sana.
Umenikumbusha nilipokuwa huko
Shule ya Kumamoto.
Nilipenda kula suchi na rice kari.
Nilitumia chu line kwenda mejiro, shibuya shinjiku na takanonobaba.
Hapo nilikwenda hadi Akihabara na baadaye kurudi Waseda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes, Japan technology yao iko juu na products zao ni ngumu na durable. Japokuwa, China sio kwamba technology na viwanda vyao viko chini ila mchina anaangalia sana market ya kitu anachotengeneza. Kuna products nyingi kutoka China zinauzwa Japan. Lakini ni best products.... gharama ya kuzalisha products ukiwa China ni nafuu kuliko kuizalisha same product ukiwa Japan.
Nilikutana na Mjerumani mmoja anayeishi Japani kwa sasa alinieleza kuwa Japani inaviwanda vingi na bora kuliko China.
Standard ya viwanda vya Japan ni kama iliopo Europe na Marekani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikutana na Mjerumani mmoja anayeishi Japani kwa sasa alinieleza kuwa Japani inaviwanda vingi na bora kuliko China.
Standard ya viwanda vya Japan ni kama iliopo Europe na Marekani.
tena inaweza kuwa zaidi mkuu, hawa jamaa wako mbali sana
 
mzee ushapoteza bahati, ungekuwa majuu sasa😛😛
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…