Ifahamu nchi ya Japan na jiji lake lenye viwanda vingi la Nagoya

kujinyonga sana sababu ya msongo wa mawazo unaliongeleaji hili?

hili mm naona wanakosa muda wa kupigwa na kupiga dushe. ukipiga hii mambo issue za kujinyonga hupotea .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa leo 1 Tsh ni sawa 21.69 Yen, unaweza kutuambia ni kwa nini thamani ya fedha ya Japan ipo chini sana licha ya kuwa na uchumi mkubwa sana wa viwanda na pia naimani exportation ni kubwa kuliko importation?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hili lipo kiuchumi zaidi, labda wachumi watusaidie mkuu
 
Mkuu hujapewa ka Toyota ka zawadi na baba mkwe. Naskia watu wa Japani wamestaarabika sana.
 
Mkuu hujapewa ka Toyota ka zawadi na baba mkwe. Naskia watu wa Japani wamestaarabika sana.
Mkuu huku magari yapo mengi Kama wewe huko unavoona Sato au sangala wa kawaida. Hivyo kupewa au kununua sio shida kabisa
 
Asante sana kwa uliyotutaarifu kuhusu Japan. Nitafurahi kama utazungumzia pia kuhusu ufanisi kazini wa raia. Ninavyofahamu, watu hawa ni 'number one in labour productivity' ulimwenguni. Lakini hiyo inakuja 'at a cost'. Unaingia kazini, kwa mfano, saa mbili asubuhi na kumaliza saa 11 jioni. Muda wote huo, ukiondoa tea-break na lunch, umesimama mahali pamoja tu kwenye conveyor belt, unapachika kidude kimoja tu na kumsukumizia mwenzio aendelee na yake. Ukikawiza shughuli yako kwa sekunde kadhaa ina maana mlolongo wote utacheleweshwa kwa muda huo uliochelewesha wewe. Hivyo watu wamekuwa sawa na robot. Nje ya mahali pako pa kazi, hujui kwa undani kinachoendelea kiwandani pako. Mpangilio huu wa kazi unafanya uzalishaji kuwa juu sana. Lakini wafanyakazi wanakosa socialisation kiasi kwamba inaathiri ubongo na watu wengi wanapata magonjwa ya akili (psychiatric).

Jambo jingine nililosikia ni kwamba wafanyakazi wa Kijapan ni waaminifu sana kwa tajiri kwa kuwa mtumishi ukifanya kazi kwenye kampuni kwa muda fulani unapewa hisa za kampuni, japo ni kidogo. Hivyo unafahamu kwamba unafanya kazi kwenye kampuni yako.

Hebu tupe habari kufuatana na uzoefu wako.
 
Mkuu huku magari yapo mengi Kama wewe huko unavoona Sato au sangala wa kawaida. Hivyo kupewa au kununua sio shida kabisa
Jamaa hawana ubaguzi lakini, unang'oaje toto la ki Nagoya kirahisi rahisi.
 
Japan zipo sheria za kikazi kabisa na unatakiwa kufanya masaa 8 na yanayozidi hapo ni masaa ya ziada sema ni mazoea ya hawa jamaa yaani Kama alipanga kazi yake iishe basi lazma iishe hataondoka ni mpka aimalize na sio kwamba kuna ukubwa huo wa hali ya msongo wa mawazo kwa Japan.

Uaminifu ni kweli kaka jamaa ni waaminifu sana na pia kinachochangia nadhani ni kwa vile hawana njaa wamejikita zaidi kufanya kazi na kushindana kugundua vitu na teknolojia mpya zaidi ya kufikiria kuiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ