bombei_safaya
JF-Expert Member
- Oct 12, 2014
- 311
- 286
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Takuma Asano
Ile ya unayotembea mita mbili unafika marangu?
Heshima yako mama, tuko pamoja mama yanguMwanangu hongera kwanza kwa kusoma nje binafsi nimefarijika sana kuona umechukua mda wako kuwa unawajuza vijana wenzako wa Tanzania kuhusu fursa mbalimbali zilizoko huko ng'ambo.
Umeandika vizuri na andiko limeeleza kwa mapana sana lakini napata mashaka na hawa vijana wetu huku nyumbani, hawajawahi na hawana uthubutu wa kuchangamkia fursa za kimataifa pamoja na kuwa na elimu za vyuo bado ni waoga, hawajiamini na hizo elimu zao nadhani Kuna tatizo la mfumo wa elimu hapa nchini
Hata ukiangalia wale wanaofanya kazi kimataifa waliotoka hapa nchini wengi wao wamesoma shule nzuri za binafsi au nje ya nchi, nashukuru kwa maandiko yako usiache kufanya hivo pale unapopata mda Mimi ni msomaji mzuri wa maandiko yako na kuona namna gani ya kuweza kumpa mwanangu elimu nzuri ya chuo ili awe na uwezo wa kimataifa.
Sio kweli mkuukujinyonga sana sababu ya msongo wa mawazo unaliongeleaji hili?
hili mm naona wanakosa muda wa kupigwa na kupiga dushe. ukipiga hii mambo issue za kujinyonga hupotea .
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mkuu. Nilisema kama unatumia njia kuu ya train. Jina lake linaunganishwa na maneno mawili yenye maana. Neno la kwanza ni Yama=Mlima/milima. Kama unajua kusoma Kanji ni: 山口Kitakyushu mkuu ama?
Mkuu mbona unanitesa hebu sema bhana au nikupe mji😄😄?Hapana mkuu. Nilisema kama unatumia njia kuu ya train. Jina lake linaunganishwa na maneno mawili yenye maana. Neno la kwanza ni Yama=Mlima/milima. Kama unajua kusoma Kanji ni: 山口
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari yako mtumishi wa mungu, Mimi niliondoka hapo Tz baada ya kumaliza kidato cha sita kipindi hicho serikali ilikuwa na makubaliano na baadhi ya nchi ili kusomesha vijana wake kwenye kozi ambazo ni kipaumbele kwa nchi niliondoka katika mgongo huo na nililipiwa kila kitu na nchi ya Ubelgiji kwenye masomo yangu na tangu kipindi hicho sijarudi.Asante mkuu kwa kutujuza ya huko kwa wenzetu,
Vp siri ya mafanikio yako kuishi, kusoma na kupata ajira ughaibuni, au ni mambo ya connection tu?
Na vipi nikija huko Japan kuna fursa ya kuichapa Injili ya Bwana Yesu au ndio hivyo kuwa ni wapinga Kristo.
Sent from my TECNO LA6 using JamiiForums mobile app