Ifahamu nchi ya Japan na jiji lake lenye viwanda vingi la Nagoya

Ifahamu nchi ya Japan na jiji lake lenye viwanda vingi la Nagoya

Hapana mkuu. Nilisema kama unatumia njia kuu ya train. Jina lake linaunganishwa na maneno mawili yenye maana. Neno la kwanza ni Yama=Mlima/milima. Kama unajua kusoma Kanji ni: 山口

Sent using Jamii Forums mobile app
Oooh Yamanashi mkuu Kama ni hapo Kuna umbali kidogo kwenda Hiroshima, na ni mji mzuri mno, na kule milimani huwa wanalima nini? Maana nikipita kwenye treni huwa naona kijani tu then kwa hiyo mkuu ulikula mademu wa Yamanashi sio😂😂halafu ukawakimbia
 
Nimependa ulivyoekezea hakika umeandika kwa nia nzuri,Mungu akubariki.Mimi binafsi nimekuwa na shauku yakufika japan siku moja,mwaka Jana nilijichanganya kidogo tu ilikua niende huko,ila bado sijakata tamaa huenda wakati mwingine na Mimi nikashuhudia hata kwa kuwa Mimi pia ni muumini wakusafiri sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Hutojuta mkuu
 
Pesa yao haina thamani sana
Screenshot_20200509-202944~2.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikiripoti kutoka KUMAMOTO ni mimi Uchito Yakuma 😂😂😂
 
Mkuu, umekosa, ha ha haa! Ni mji mmoja mdogo na tunaweza sema uko countryside. Uzuri wa mji huu ni kuwa uko salama sana hasa kwenye yale majanga ya asili. Japan ni nchi inayopigwa sana na MATETEMEKO, na MAFURIKO. Mkuu, huu mji unaitwa Yamaguchi. Pole kwa kukufikirisha!
Oooh Yamanashi mkuu Kama ni hapo Kuna umbali kidogo kwenda Hiroshima, na ni mji mzuri mno, na kule milimani huwa wanalima nini? Maana nikipita kwenye treni huwa naona kijani tu then kwa hiyo mkuu ulikula mademu wa Yamanashi sio[emoji23][emoji23]halafu ukawakimbia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom